Lazima tuwe na kelele ninyi Arse8 mna kombe lolote la Wanaume "UEFA/ WORLD CLUB CHAMPIONSHIP CUP"OllaChuga Oc lembu huwa mna kelele sana kwenye jukwaa letu kumbe team yenu ndio hii?Chelsea mnayoitambia?matak* yenu tumewanyanyasa kinyuma na mbele I think itakuwa mwisho wa kuja kupiga kelele kwenye jukwaa na Arsenal


Punguza makasiriko kijana.sasa uyu nae alikuwa anafanya nini hapa kamkumbatia mtu muda wote utadhani mmewe.View attachment 2408569
Pamoja na ubovu wao wote Arse8 lakini ndiyo timu pekee EPL iliyokaa na wachezaji wengi vijana kwa zaidi ya miaka mitatu iliyopita, lazima wawe na chemistry nzuriKinacho tuuma ni kume fungwa na Arsenal mbovu kwasabb ya majeruhi wengi akiwemo na kocha huyu chakinorisi wenu hatupeleki popote ana bahatisha mbinu.
Leo beki imecheza vizuri sana, labda majeruhi wengi ndiyo sababu.Tunatim mbov ambayo haijawah tokea, tuko nyuma kwa goal 1 ila no response ya kutafuta goal la kusawazisha.
Umenena hoja sahihi kabisaTODDY BOEHLY aondoe wachezaji wote bure, asajili upya tuanze kujenga timu upya na sio kujenga timu kwa kupitia wachezaji hawa tulionao kwa sasa.
Kwan lazima utukane?OllaChuga Oc lembu huwa mna kelele sana kwenye jukwaa letu kumbe team yenu ndio hii?Chelsea mnayoitambia?matak* yenu tumewanyanyasa kinyuma na mbele I think itakuwa mwisho wa kuja kupiga kelele kwenye jukwaa na Arsenal
Bora hata Bournemouth wanaelewana ingawa jana walifungwaTHE BLUES hatuna wachezaji kabisa.
Jina la timu ni kubwa ila wachezaji ni wa caliber ya Bournemouth
Tuendelee kufungwa tu ili michezaji hovyo hovyo yote ipukutike tusajili wachezaji wapya ndipo tutakuwa wazuri.Tim mbov sana hii,
Tuchel alikuwa yuko sahihi, japo watu tulimuona hafai.
Tumemfanya arsenal aonekane kama prime barcelona or city,
Sion tukishinda game yoyot katika game 2 zijazo
Carabo cup dhid ya city naona kabisa tunatolewa,
Game ya league dhid ya newcastle naona tunaona poteza
Game ya 4 kwenye league hatuna ushindi
Ila goli la Arse8 lilitokana na faulo aliyochezewa Silva ukiangalia kwa makini, lakini Kocha alikuwa wa Arse8 ndiyomaana kadi za njano zimetembea sana kwa Chelsea FCHivi THE BLUES tumeshawahi kuvuta picha siku akiumia Silva nafasi yake atacheza nani?
SawaHiki ndio kinawapa jeuri lakini uhalisia ni kwamba hiyo kesho mtapasuka vibaya
Sent using Jamii Forums mobile app