DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,518
Tulia mpakwe kilainishi umbwa nyie[emoji1787]Hahahaha[emoji23]
Sasa wazee mnatutukana tumewakosea nini?
Kwani kuna ambaye alishasema timu yetu ina uwezo wa kuifunga Arse8?
Mnatuonea bure tuu.
Kutesa kwa zamu.
Mpaka kesho nitailaumu vita Ukraine, Roman asingevumilia huu unyanyasaji wa kudumu.