Kabisa inatakiwa washabiki wa Chelsea tuombe mbinu za uvumilivu toka kwa washabiki wa Arsenal kujijenga vizuri kisaikolojia maana si kwa uhitaji wa ubora wa timu haraka haraka kwa kiasi hichi ilihali Kocha ni mpya, wachezaji wengi ni wa viwango vya chini kiubora, majeruhi na hata team chemistry bado haijatengamaa kulingana na muda ambao Kocha Mkuu GP kakaa na timu.Tuache unazi unafikiri TT angeshinda hiyo mechi? Timu iko na inconsistency na mediocre player lukuki lakini tunakaza fuvu kulazimisha positive results, mashabiki sometimes tupo vigeugeu sana mara utasikia aanze pulisic akizingua utasikia angeanza Zyech mara Azipilicueta mara wachezaji wa academy hawapewi nafasi wote ni mediocre at best wanaperform game 2 nne utumbo sasa zigo la lawama mnambebesha kocha na project bado changa kabisa. Ukiulizwa kocha gani mzuri aliyepo sokoni mzuri kuliko GP unaweza tutajia? Matatizo ya Chelsea ni ya muda mrefu na kuyatibu yatahitaji muda mrefu full stop mipango ya ujanjaujanja haipo tena EPL
Wachezaji hakununua GP bali walinunuliwa chini ya Kocha wa zamani TT, punguza chuki binafsi kwa GP ili ubongo uruhusu akili yako kudadavua hoja kimantiki.Tuwe wakweli bila kupendelea Chalsea ya TT ilikua na injuries nyi gi, na mediocre players wengi ila ilikua ina tupa matumaini na ili leta trophies na kucheza fainali kama 5 ndani ya miaka miwili tu kitu ambacho Frank Lampand alishindwa kufanya
huyu kanunua wachezaji worthy $250m, ila timu yake haina mvuto na matumaini ya kufika fainali yoyote huyu ana turudisha kule kwa FL mipila mitano tulio shinda it was luck sasa have runout of luck,...... eti apewe mda ajenge project hata akipewa miaka mitano hawezi kutufikisha popote.
Chelsea ni Timu kubwa ina structure zake na assets sio timu mpya katika Epl eti anaijenga kuipeleka wapi asijifiche kwenye kuijenga, mbona TT Sari Conte Morinho wali shinda trophies bila huo mda anao omba, potter hana Tactics na technicalities za kushinda epl au Uefa au F.A
Ana bahatisha mifumo mpaka sasa hana first 11 ya wakika ana tupotezea mda tutafute a non English coach ambaye ni 'result oriented' sio huyu anae tujazia wachezaji wa uingereza Stirling Loftus cheek Gharagha Mount hata kama hawana form anawapa number ache uzalendo kwenye team yetu.
Ni mtizamo wangu sio(professional analytics ) leta wako tujadili.
Ten Hag wa Man UTD ana CV gani kumzidi TT, lakini mbona klabu imemuamini na walianza vibaya kwa kufungwa hata na Brentford FC lakini hado hado wameshaanza kutengamaa na kuwa timu nzuri?Mkuu CV ya TT huwezi kuilinganisha na ya potter, ni tajie achievements zake Timu ipi ya maana alishawahi ku kochi, alisha wahi ku-handle mchezaji gani wa kimataifa?
swali sio kwamba tuna mbeza kocha hapana mashabika wa the blues wanahitaji reference zake kama alivyo fanya wapi?.......hizo tactics zake anataka ajifunzia kwenye Chelsea? Chalsea alisha zoea kuchukua trophies yoyote kila msimu, lakini kwa huyu potter sioni hata tunafika fainali za Carabao, asibadilishe utamaduni wa timu, Chalsea ni kubwa kuliko kocha yeye ndo wakufuata utamaduni wa Timu sio timu ifuate yeye matakua yake.
Usisahahu Man City anahaha usiku na mchana kulipata hilo kombe, so Man City pia wape nafasi kulibeba hilo kombe la UEFA 2022/2023 bila kusahau wenyewe Real Madrid FC.Kwa form waliyonayo, Napoli na Bayern, kwa sasa ndio timu yenye uwezo wa kushinda UCL
Napoli atabeba pia Serie A title
Kuna watu hawaamini kwamba sasa kocha ni GPWachezaji hakununua GP bali walinunuliwa chini ya Kocha wa zamani TT, punguza chuki binafsi kwa GP ili ubongo uruhusu akili yako kudadavua hoja kimantiki.
Na CV kubwa inapatikana kwenye timu kubwa, GP naye atapatia CV kubwa ya kwanza hapa hapa Chelsea na yeye kuingia kwenye orodha ya makocha wakubwa kwa sababu ya ChelseaTen Hag wa Man UTD ana CV gani kumzidi TT, lakini mbona klabu imemuamini na walianza vibaya kwa kufungwa hata na Brentford FC lakini hado hado wameshaanza kutengamaa na kuwa timu nzuri?
Usikariri maisha kuwa kila Kocha wa kufundisha klabu kubwa lazima awe na CV kubwa.
CV kubwa ya Kocha Mkuu yeyote itabaki kuwa CV na mafanikio ya Kocha Mkuu yeyote hayaangalii CV.
Mfano mzuri ni Carlo Ancelotti alipokuja mara 2 zote darajani alipata mafanikio gani ilihali alikuwa na CV kubwa tu kubeba makombe ya UEFA na klabu bingwa ya dunia?
Tutawafanya kama Klopp alivyomnanihii KiparaThe only way ya kuwakaba ArsenalView attachment 2406684
Siwaoni wababe kama Liverpool na Ac Milan maana hawa jamaa ndio wametuzidi UCL kwa mbali. Nawaza walikua wanachukuaje yale makombe?Chelsea ni timu ya sita katika historia ya UEFA kuweza kushinda mechi 100
Je timu zingine ni zipi?
- Real Madrid
- Bayern Munich
- FC Barcelona
- Manchester Utd
- Juventus
- Chelsea
4-3-3Predicted line up against Ars8 on Sunday
Formation 4-3-3
- Location: London, England
- Stadium: Stamford Bridge
- Date: Sunday 6 November
- Kick-off Time: 15:00 EAT
- VAR: Jarred Gillett
- Referee: Michael Oliver
Sterling ----------------Auba ----------------Mount
Jorginho -------------- Denis -------------- Galagher
Cucurella ------Kopulibally ------Silva ------ Chalobah
----------------- Mendy ---------------------
OR
Formation 3-4-3
Sterling -----------Auba -------------Mount
Cucurella -------Jorginho ------ Denis ------- Cheek
Kopulibally ------------Silva ------------ Chalobah
--------------------- Mendy ---------------------


Tunakosa watu kama Hazard wenye ukatili mbele ya goliKila tukicheza na Arsenal nakumbuka BAKU June 2019
Nyie vibwengo kesho mkifungwa na AsaniWali tena kwenye dimba lenu la Stamford Bridge dunia nzima itawadharau.Kila tukicheza na Arsenal nakumbuka BAKU June 2019
Sasa hii ni timu au hospitali ya rufaa?Kuelekea game na Ars8, tuna majeruhi nane
Wachezaji 6 ni rulled out
Wachezaji wawili wanaweza kuwepo kwenye bench na au kucheza kabisa kama fitness inaruhusu
- N'Golo Kante - Thigh Injury - Availability = Ruled Out
- Kepa Arrizabalaga - Ankle/Foot Injury - Availability = Ruled Out
- Ben Chilwell - Thigh Injury - Availability = Ruled Out
- Carney Chukwuemeka - Thigh Injury - Availability = Ruled Out
- Wesley Fofana - Knee Injury - Availability = Ruled Out
- Reece James - Knee Injury - Availability = Ruled Out
- Mateo Kovacic - Calf/Shin/Heel Injury - Availability = 100%
- Denis Zakaria - Body Crump - Availability = 100%