Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mechi za UCL leo Group E sio rahisi hata kidogo

Japo matokeo hayana madhara kwa Chelsea ila kama Chelsea inataka kushinda kwa kulipiza kisasi na kulinda heshima ya daraja, Dinamo hawatakuwa warahisi kwa sababu ushindi kwao ni muhimu ili hata waende Europa huku wakliamini AC Milan lazima wawafunge Salzburg ili waqualify kwenda round of 16
 
Line up ya leo UCL dhidi ya Dinamo
Formation ni 4-3-3
Matokeo ni 3-1

---------------------- Broja --------------------

Chukwuemeka ---------------------------- Ziyech

Jorginho ----------- Denis --------------Cheek

Chilwell ----- Koulibaly ----Chalobah ------- Azpilicueta

---------------------- Mendy --------------------
 
Tuwe wakweli bila kupendelea Chalsea ya TT ilikua na injuries nyi gi, na mediocre players wengi ila ilikua ina tupa matumaini na ili leta trophies na kucheza fainali kama 5 ndani ya miaka miwili tu kitu ambacho Frank Lampand alishindwa kufanya

huyu kanunua wachezaji worthy $250m, ila timu yake haina mvuto na matumaini ya kufika fainali yoyote huyu ana turudisha kule kwa FL mipila mitano tulio shinda it was luck sasa have runout of luck,...... eti apewe mda ajenge project hata akipewa miaka mitano hawezi kutufikisha popote.

Chelsea ni Timu kubwa ina structure zake na assets sio timu mpya katika Epl eti anaijenga kuipeleka wapi asijifiche kwenye kuijenga, mbona TT Sari Conte Morinho wali shinda trophies bila huo mda anao omba, potter hana Tactics na technicalities za kushinda epl au Uefa au F.A

Ana bahatisha mifumo mpaka sasa hana first 11 ya wakika ana tupotezea mda tutafute a non English coach ambaye ni 'result oriented' sio huyu anae tujazia wachezaji wa uingereza Stirling Loftus cheek Gharagha Mount hata kama hawana form anawapa number ache uzalendo kwenye team yetu.

Ni mtizamo wangu sio(professional analytics ) leta wako tujadili.
TT hakuwa na presure kubwa kama aliyokuwa nayo Lampardf na huyu Potter
Wakati wa Lampard kulikuwa na BAN, ilizingua sana
Wakati wa Potter amekuta timu imeuzwa, wachezaji wengi walipoteza matumaini na wengine kuondoka na kuacha timu kwenye rebuilding kubwa
So tuliza woga wacha kwanza kipindi hiki kipite, msimu huu mmoja hata tukiwa kwenye mid table wacha iwe hivyo tuweke akiba ya maneno ila msimu ujao tuanze kuongea sasa
 
We are coming London cowboys View attachment 2405271
IMG_20221102_192518.jpg
 
Timu limetumia £300m

Lakini uwanjani Kama unaweza kudhani lilifungiwa kusajiri

Hivi huyu Sterling ndio mlitupigia kelele ?

Unamuondoa Timo Werner unasajiri Sterling

Nafasi 10 goli 1
 
Confirmed Line up UCL
Chelsea VS Dinamo
Formation ni 4-2-3-1

------------------- Auba --------------------

Mount --------------Havertz------------- Sterling

---------Jorginho -------------- Denis ---------

Chilwell ----- Koulibaly ----Chalobah ------- Azpilicueta

-------------------- Mendy --------------------

Google wameweka hii ila watakuwa wamekosea

1667416393221.png

1667416474556.png
 
Hii timu ukiambiwa ilitumia £300m unaweza pigana


Today bohel inabidi ahesabu £300m alitumbukiza chooni aanze na moja tu
 
Nilisema hii mechi itakuwa ngumu kwa Chelsea kwa sababu watacheza kimlenda leo kuliko siku zote kwa kuwa hawana cha kupoteza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom