Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Karibuni tujumuike ndugu zangu
20220831_151536.jpg
 
Sasa hii ni timu au hospitali ya rufaa?
Acheni visingizio Kenge nyie, sisi tunachotaka muifunge hio misukule ya Arteta.
Timu imejaa wazee hii, kesho tutawakimbiza ,ulimi nje TU

Kesho utashuhudia watu wakihema Kama mambwa

Maana martinel na saka plus Jesus wanavyopenda Sifa

Wote hao Average age Yao Ni 23 tu, Sasa beki za Chelsea average age Ni 35
 
Natarajia kesho kuona Babu Silva na Koulibaly wakiwatuma chalobah na Cucullera kuwakaba Saka na martinel maana wao hawatataka kuaibika
 
Tumemkosea nini Mungu tuadhibiwe hivi?
Majeruhi 8 na wote wa first team ukiondoa wawili tu
  1. N'Golo Kante - Thigh Injury - Availability = Ruled Out
  2. Kepa Arrizabalaga - Ankle/Foot Injury - Availability = Ruled Out
  3. Ben Chilwell - Thigh Injury - Availability = Ruled Out
  4. Carney Chukwuemeka - Thigh Injury - Availability = Ruled Out
  5. Wesley Fofana - Knee Injury - Availability = Ruled Out
  6. Reece James - Knee Injury - Availability = Ruled Out
  7. Mateo Kovacic - Calf/Shin/Heel Injury - Availability = 100%
  8. Denis Zakaria - Body Crump - Availability = 100%

1667717198743.png
 
Frank Lampard akimuongelea Ngolo Kante alisema

"Kante aliniambia baada ya dakika 105, mapumziko ya muda wa nyongeza.
Miguu yangu imekufa, miguu yangu imekwisha. Halafu baadaye nikamuona akikimbia mita 50 kwenda kunyang'anya mpira"

1667717624974.png
 
Vs Aser8, 4-4-2 mambo yasiwe mengi.

---------- Sterling ----------- Auba -----------

Gallagher--Kovacic--Cheek --Mount

Cucu -----Koulibaly ----Silva ----- Chalo
Sehemu ya Cheek lazima acheze Zakaria, Cheek bado anatabia ya kuremba mpira miguuni
Galagher anacheza vizuri akicheza kulia, Mount weka kushoto
 
Mungua ashukuriwa aliyewafanya hawa jamaa wa FIFA kupanga michuano Nov/Dec
Majeruhi wetu watapumzika, tukirudi ni moto kwenda mbele. Naamini na hawa wanaotucheka WC itawazawadia majeruhi wa kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom