Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kila shabiki anatamani kuona team yake ikichukua makombe na kuwa na mwendelezo mzuri,

Chelsea yetu tunashinda cups sawa ilq kwenye long marathon tushapoteana, kwa sababu tunapenda vitu vya mda mfupi ila vya mda mrefu hatutaki.
Mara ya mwisho kuchukia premier league ni 2016/17, kuwin premier league ya sasa unahitaj uwe na plan inayoeleweka.

Kuwin premier haitako ushinde game 5 mfululizo, bali inahitaj ushinde 8+ games mfululizo,

Ukiangalia wakat wa Conte baada ya kupoteza game 2 dhid ya Arsenal.n Liverpool tukaenda cheza game 14 kama sijakosea bila kupoteza, hivyo ndio mabingwa wanavyocheza na si kila baada ya game 5 upoteze au udraw hapana,

Sisi tim yetu hii haiwez cheza hata game 5-6 tunashinda mfululizo katika league hatuwezi,

Tuamini katika project ya kocha tulionayo timua timua ya makocha haiwez itufanye tuwe stable.kizaz tulichonacho sio cha kina Lamps/terry,/dd/hazard/cech etc hichi cha sasa hakina mafighter o viongozi,

Now tuanze upya na tuandae tim ya ushindani itakayoweza pigania premier leaguer n other trophy kila msim sio tunaanza league tunakuwa na mawazo ya top 4, au msim huu tuko vizuri msim ujao tuko vibaya,

Tuangalie city,liverpool ya mism iliyopita, hata now Arsenal jins wanavyocheza unaona kabisa kina kitu wanakitafuta msim huu hawa wote walikuwa na project.
City ilihataj msim mmoja tu kwa guardiola kuweka project yake ikae kilichofata hapo ni kila msim kuongeza quality za wachezaj na kutatua mapunguf kwenye tim yake hichi ndicho kitu kilichoiyumbisha liverpool msim huu
 
Potter said the tactical error made him look ‘a bit of a fool’.

“The responsibility for those two wasn’t to defend against their wing-backs, but I understand that whenever you do something and it doesn’t work you look a bit of a fool,” said Potter. “That is how it is. I have to accept that, deal with that, do better, and I’ll learn. That’s the process.”

Potter alisema hiyo ilikuwa ni makosa ya kitaalamu iliyomfanya yeye aonekane mjinga kidogo
Kazi ya hao akina Sterling na Pulisic haikuwa ni kukaba kwenye hayo ameneo ya pembeni, lakini ninaelewa kwamba daima unapofanya kitu fulani na isipofanya kazi, unaonekana kama mjinga kidogo. Alisema Potter. Hivyo ndivyo ilivyo. Ninakubali hayo makosa, nimejifunza, ninafanyia kazi ili kufanya vyema zaidi. Huo ndio mchakato
Sometim tactics zikienda ndivyo sivyo huwa iko hivyo, if tungeshinda isingeonekana ni makosa,
 
Litimu lishajifia hili , machezaji yanacheza kama yana mimba ya miezi 7, yaani itachukua maelfu ya miaka kupata quality ya watu wanaojituma kama walivyokuwa akina Didier , Lampard , Zola ,Peter cezck , Michael barrack , Solomon kalou ,Makelele , Florent Malouda nk hii ndio ilikuwa squad sasa , wanaume wanapiga show mpaka refa anaomba po , sio watoto mayai akina pulisic , sterling ,mount ,hevertz na matakataka kama hayo nasi tunajigamba tuna timu, Mchezaji unatakiwa kuwa ngangari ,kiraka na kujituma uwanjani sio unacheza kiulojoulojo na kukosa adaptability + ubunifu
Ningekuwa Todd ningeanzisha adhabu ya viboko pale cobham , kuna matoto majinga sana pale .
Angekuwa Mourinho ule upumbavu asingevumilia ,angewanyoosha wale kenge .

Mazafakaz ,sokapo hapo mwaisa
Sasa kama michezaji mliyonayo kitu inachojua ni kuzurura na mabikini uwanjani unategemea nini zaidi ya wanaume kuwapiga mbupu tu
Screenshot_20221031_202722.jpg
 
Bei ya Caicedo hii hapa
A recent report from the Mirror has claimed that Chelsea transfer target Caicedo could be available in the summer, but Brighton are expected to demand in the region of £85m for the midfielder.

Jina: Caicedo
Umri: 20
Dhamani £85
Nafasi: Kiungo
 
Na mna bahati mbaya Todd Boehl ana tabia ya kutoa mikataba mirefu na Potter amepewa kandarasi ya miaka mi5 na wamesisitiza kuwa Potter hatafukuzwa regardless na position atakayomaliza msimu huu.

Hapo kwanza ncheke!😂😂
Kwanini afukuzwe na wakati ameidaka timu katikati?
Angekuwa amesajili wachezaji wake na akafeli basi angalau ingemake sense kumfukuza.
 
Katika timu ambazo hua sizihofii ni Chelsea na United yaani hata niwe na kikosi kibovu kiasi gani hua naamini hawaponi.
 
Katika swali ninalojiuliza kwamba Roman na Marina wangekuwa mpaka sasa hivi.

Hii changamoto ya kikosi kibovu kuendelea kushindwa kutamba EPL, wangeisolve vipi?

1. Roman angemwaga pesa zaidi kusajili mastaa wengi?

2. Kufukuza zaidi makocha?

Kama Lampard alifukuzwa, TT akaja akabeba makombe, pia Roman angemfukuza TT, Lukaku na Werner wangebaki

Kisha Roman angesajili mastaa zaidi na kumleta kocha mwingine ambaye naye angebeba kombe msimu mmoja, kisha kufukuzwa msimu unaofuata.
Sasa hayupo, yupo Bossi Boehly au mwite BoBo
 
Kwa form waliyonayo, Napoli na Bayern, kwa sasa ndio timu yenye uwezo wa kushinda UCL
Napoli atabeba pia Serie A title
 
Kwa form waliyonayo, Napoli na Bayern, kwa sasa ndio timu yenye uwezo wa kushinda UCL
Napoli atabeba pia Serie A title
Napoli Wana lile lijamaa linijeria linavaa mask , victor osimhen ,ni balaa linaubonda mpira ni noma
 
Big chances created in the PL this season:
  1. City - 36
  2. Liverpool - 29
  3. Brighton - 25
  4. Brentford - 25
  5. Arsenal - 24
  6. Man Utd - 22
  7. Newcastle - 21
  8. Leeds - 19
  9. Saints - 19
  10. Chelsea - 17
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom