lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,911
Ebu tupeni mrejesho. Mimi sikubahatika kuangalia mechi jana kwa sababu za kiufundi
- Je Zakaria mchezo wake umeridhisha? Analysis na maoni ya Potter zinaonyesha kacheza vizuri na kwa nidhamu ya hali ya juu
- Je injury ya Chilwell ni serious?
- Je ni kweli Zakaria naye kapata majeraha madogo na ndio maana akafanyiwa sub?