Tukieka pembeni utani wa soka
Hiki chuma nakikubali sana
Huwa anauwezo wa kuleta balance kwenye timu
France anachukua kombe la dunia, kante aliwafanyia kazi safi sana pale dimbani
Pogba akawa ana shine tu kila game
Final wanawapiga Croatia kiulaini kabisa
Hakina mnapigo kubwa sana, majirani
Ilibidi muandae replacement yake mapema sana
City walimuandaa replacement ya fernandinho ambae ni rodri mapema sana
Kovasic na joginho kwa pamoja hawawezi kukupa kitu alichokua anatoa mnyama kante
Hazard alikua anasema "kante is everywhere"