Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
🤣🤣🤣🤣🤣hamis77 na Aaron Arsenal
Naona mnapiga makombora Ukraine (unyumbuni) mkiwa mmekunja nne Russia (chelsea)
Nimeipenda style yenu![]()
🤣🤣🤣🤣🤣hamis77 na Aaron Arsenal
Naona mnapiga makombora Ukraine (unyumbuni) mkiwa mmekunja nne Russia (chelsea)
Nimeipenda style yenu![]()
Mkuu umeongea facts sanaIla Potter Ni Kocha mzuri hata kimbinu ,Chelsea ilishakuwa butu kufunga , niliwahi kusema humu nikashambuliwa ,Chelsea ushindi wao chini ya Tuchel msimu huu ilikuwa 1-0,1-1,2-1,0-0,
Ila Potter ka unlock Attacking , Sijui man u wanakwama wapi kupata makocha Kama Potter, Yule kipara wao anashinda lkn dah unaona kabisa JINI KATOKA MGANGA HOI.
Mech na everton magoli yote mawili Ni Baada ya Gueye na Iwobi kukosea pass , ila Sio Kwamba eti Man u ya kipara unaona kabisa mipango ya kutafuta goli, do za mwisho Man u akapaki Basi🤣🤣(+_+)
Sio Kwamba ana wachezaji wabaya ila naamini Ten hag uwezo mdogo ,anayebisha nipo tayari kwa mjadala
Kwasasa Chelsea ya Potter lazima tuiangalie kwa makini , nabadili Kauli , 🤣🤣
Chelsea ya Tuchel ilikuwa inatabilika , inarukaruka tu,
Lakini Potter timu yake in flow , Ten hag anasubiri miujiza dk 90 aone kasshinda,
Kwasasa Naiona Chelsea kwenye Challenge pale juu .
Ni tetesi tu mkuu ila akiendelea kukiwasha Chelsea watamuongezea mkatabaAuba anajulikana uwezo wake , shida yake nidhamu tu
Nimeona sehemu anaenda PSG msimu ujao
Sasa hivi nimeona mashabiki wa Arsenal mnazungumzia mpira zaidihamis77 na Aaron Arsenal
Naona mnapiga makombora Ukraine (unyumbuni) mkiwa mmekunja nne Russia (chelsea)
Nimeipenda style yenu![]()
Denis Zakaria alikuwa kama emergency maana chaguo la kwanza alikuwa ni Edson Alvarez wa Ajax dakika za mwisho kabisa Ajax wakagoma kumuuza tukiwa tayari tumeshakubaliana na mchezaji mwenyewe.Ila niwaambie kitu Aaron Arsenal na hamis77 sisi Chelsea faida yetu ni kitendo Cha kusajili wachezaji nyota hii umetusaidia Sana kiasi ambacho hata kocha mwingine akija anafaida ya kukuta wachezaji wazuri mfano Conte kaja Chelsea ikiwa tuna Costa, Fabregas,Hazard, Oscar, Willian, Matic n.k ndio maana imemrahisishia kuchukua ubigwa. Kuna Wachezaji tayari ni mipango ya Team kuwasajili dirisha la January na Summer bila hata kujali kama GP anawataka au lah! Ambao ni Nkunku pamoja na Josko gvardiol hivi kweli kea kocha mzuri anawakataa vipi hao kuna wakati Chelsea haifuati matakwa ya kocha inaangalia quality ya mchezajiMan u hawawez kuelewa wanadai anajenga timu , wanadai mbona Klopp kachukua misimu mitatu,, Sijui Arteta kachukua muda, 🤣🤣
Wanasahau hao Ni sababu ya bajeti zao ndio zimevuta muda
Kama Klopp msimu wa Kwanza angepewa £250m ,msimu wa 2 angepigania mataji makubwa , mfano mzuri Pep , msimu wakwanza kafanya usafi ,wapili kawekewa Mzigo timi ikatembea , Klopp msimu wa 3 ndio alipewa kibunda £180m
Arteta msimu wa Kwanza kapewa £70m, wa pili £150m watatu huu £120m
Hawa kweli Ni sawa kujenga timu kwa muda maana bajeti inatoka mdogomdogo
Ten hag kapewa £250m kaenda kumnunua Casemiro 70 ambaye anaonekana haendan na mfumo wake, kamnunua MALACIA ,Sasa hivi karudi kwa Shaw ambaye alimuona hafai
Cha ajabu timu inacheza Kama Burney ya Sean Dyche.
Tuchel alifukuzwa maana huwez kutumia £230m halafu timi haipati magoli
Ww cheltako chelyatima huna uwezo wa kunifunga hata mechi ya kirafikiTaja timu yako kwanza, usijekwua unaropoka tu kumbe ni wa vibanda umiza




Atapishana na MbapeAuba anajulikana uwezo wake , shida yake nidhamu tu
Nimeona sehemu anaenda PSG msimu ujao
Kukufunga wewe naniWw cheltako chelyatima huna uwezo wa kunifunga hata mechi ya kirafiki![]()
Arsenal bana, kumbe iliyokuwa inawafanya muongee utumbo ni stress za kufungwa. Sasa timu inashhinda mechi mmegeuka kuwa mapadre na watumishi wa Bwana wenye kuongea maneno iliyojazwa munyu. Hongereni na karibuni darajani. Wale watukanaji wote wa Arsenal hawapo tenaMan u hawawez kuelewa wanadai anajenga timu , wanadai mbona Klopp kachukua misimu mitatu,, Sijui Arteta kachukua muda,
Wanasahau hao Ni sababu ya bajeti zao ndio zimevuta muda
Kama Klopp msimu wa Kwanza angepewa £250m ,msimu wa 2 angepigania mataji makubwa , mfano mzuri Pep , msimu wakwanza kafanya usafi ,wapili kawekewa Mzigo timi ikatembea , Klopp msimu wa 3 ndio alipewa kibunda £180m
Arteta msimu wa Kwanza kapewa £70m, wa pili £150m watatu huu £120m
Hawa kweli Ni sawa kujenga timu kwa muda maana bajeti inatoka mdogomdogo
Ten hag kapewa £250m kaenda kumnunua Casemiro 70 ambaye anaonekana haendan na mfumo wake, kamnunua MALACIA ,Sasa hivi karudi kwa Shaw ambaye alimuona hafai
Cha ajabu timu inacheza Kama Burney ya Sean Dyche.
Tuchel alifukuzwa maana huwez kutumia £230m halafu timi haipati magoli
Lin Arsenal walitukana ? Kuna watukanaji kuliko mashabik wa Chelsea wakiongozwa na ollachuga?Arsenal bana, kumbe iliyokuwa inawafanya muonge utumbo ni stress za kudungwa. Sasa timu inashhinda mechi mmegeuka kuwa mapadre na watumishi wa Bwana wenye kuongea maneno iliyojazwa munyu. Hongereni na karibuni darajani. Wale watukanaji wote wa Arsenal hawapo tena
Wale waliokuwa wanamponda GP wako wapi. Mara hana uzoefu na timu kubwa, mara hana uzoefu wa UEFA ni mara yake ya kwanza, mara Mwingereza huyo waingereza hawana rekodi ya kichukua makombe. Na blaa blaa nyingi. Wanasubiri ateleze waje na dharauNaona now back pass, zimepungua tuko more direct now na vertical pass, n sharp katika kushambulia.
Goal la pulisic vs Wolves na goal la Auba vs Milan jana unaona kabisq wqcheza wanajaribu bilq hata kuogopa kitu ambacho mwanzon ni kama walikuwa wanaogopa na wanacheza kwa kuenjoy mpira wao
Natumai tutaendelea kuimarika kadri siku zinavyozidi kwenda,
Mbappe hawez Kuondoka pale, PSG waliikataa €200m akiwa kabakiza miez 6, iwe Sasa akiwa na miaka sijui minne 🤣🤣Atapishana na Mbape
Acha kubisha wanajulikanaLin Arsenal walitukana ? Kuna watukanaji kuliko mashabik wa Chelsea wakiongozwa na ollachuga?
🤣🤣Mimi binafsi nadra Sana kutukana , tatizo mashabik hatupend Ukweli hasa ukisemwq na wapinzan,Acha kubisha wanajulikana
Cc Olarchuga ktk mechi ya kwanza tu Chelsea FC ilipodroo na Salzburg FCWale waliokuwa wanamponda GP wako wapi. Mara hana uzoefu na timu kubwa, mara hana uzoefu wa UEFA ni mara yake ya kwanza, mara Mwingereza huyo waingereza hawana rekodi ya kichukua makombe. Na blaa blaa nyingi. Wanasubiri ateleze waje na dharau

Mbona pale Ajax Ten Hag alikuwa mzuri tu na mpira ulikuwa unapigwa kisawa sawa, shida ni nini haswa akiwa sasa hivi Old TraffordMimi binafsi nadra Sana kutukana , tatizo mashabik hatupend Ukweli hasa ukisemwq na wapinzan,
Mimi nilikuwa nawaponda humu na sikuwaona hata top 6 Kama mngeendelea na tuchel
Ila GP Mimi namkubali kitambo, Kama utagundua Mimi Ni muumini wa mpira mzuri, Sex football, ndio maana sikuwahi kumkubali Unai emery pale arsenal .
Now ndio maana napingana Sana na mashabiki wa man u wanaomuona ten hag bonge la kocha wakati anacheza mpira wa ujanja ujanja

Ajax Kama Ajax Wana falsafa yao ,halafu Ligi laini,Mbona pale Ajax Ten Hag alikuwa mzuri tu na mpira ulikuwa unapigwa kisawa sawa, shida ni nini haswa akiwa sasa hivi Old Trafford![]()
Mbape mwenye ndie kaanzisha PSG wameenda kinyume na mkataba waliousaini. Hariziki na formation ya kocha yeye anapendelea formation yenye mastriker wawili. Na mamlaka hayo alipewa kwenye mkiataba wa kuinfluence nani asajiliwe, Kocha gani aje, formation ipi itumike na blaa blaa nyingi. Sasa PSG wamekiuka hayo makubalianoMbappe hawez Kuondoka pale, PSG waliikataa €200m akiwa kabakiza miez 6, iwe Sasa akiwa na miaka sijui minne 🤣🤣
Wapo tayari aozee bench Kama alivyowahi fanyiwa rabiot
Ndio nini hii Sex football au ulimaanisha Sexy football🤣🤣Mimi binafsi nadra Sana kutukana , tatizo mashabik hatupend Ukweli hasa ukisemwq na wapinzan,
Mimi nilikuwa nawaponda humu na sikuwaona hata top 6 Kama mngeendelea na tuchel
Ila GP Mimi namkubali kitambo, Kama utagundua Mimi Ni muumini wa mpira mzuri, Sex football, ndio maana sikuwahi kumkubali Unai emery pale arsenal .
Now ndio maana napingana Sana na mashabiki wa man u wanaomuona ten hag bonge la kocha wakati anacheza mpira wa ujanja ujanja
🤣🤣🤣🤣 Kumbe na wewe umegunduaNdio nini hii Sex football au ulimaanisha Sexy football
Sex football ni matusi pia na umedhihirisha jinsi Arsenal mlivyo