Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,572
- 235,412
Nyie ni wa maporomokoniKuna dalili mpk tunaenda World cup tukaendeea kuwa nje ya top 4
Ratiba yetu ya mechi 3 zijazo za ligi
Brighton (A)
Arsenal (H)
Newcastle (A)
Nyie ni wa maporomokoniKuna dalili mpk tunaenda World cup tukaendeea kuwa nje ya top 4
Ratiba yetu ya mechi 3 zijazo za ligi
Brighton (A)
Arsenal (H)
Newcastle (A)
Game walizoshinda arse88 hakuna hata moja refa hajaboronga. Game ikiwa ya haki arse88 huwa ni wake zetu.Usiwachukulie Arsenal kirahisi hivyo. Game za darajan wamekuwa wakitusumbua na kuondoka ma 3 pts.
Tunza kwnye makabrasha kbs,sisi ndio tunawatoa pale juu, safari yenu y kwenda kwenye nafas yenu ya saba tutaianzisha sisi.Natunza hii statement
Unamkandia sana aisee, akija kukiwasha atakapopewa nafasi utasemaje?Hatuna uwezo wa kumfunga Arsenal kwa sasa. Wamekamilika kila idara Halafu morali yao ya kushinda mechi ipo juu.
Kwa upande wetu kuendelea kukosekana kwa Kante & James ni kama tunacheza pungufu + Safu ya Ushambuliaji bado ni butu.
Arsenal sio ile Man u mbovu tuliyodraw nayo.
January tusajili kiungo mkabaji, mchezeshaji na RWB.
Mwisho naitwa Dennis Zakaria nimesajiliwa na Chelsea kuja kula mshahara bure.
Mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam
View attachment 2397018
Mtoe hapo Kovacic kwenye hiyo list tafadhariHuyu Bruno Guimaraes ameitransform kiungo ya New Castle, very creative. Amesababisha yale matakataka ya zamani ya New Castle sasa wanacheza kandanda safi
Hii ndio tunasema hata hapa Chelsea, wanaotuchelewesha ni akina Jorgninho, Kova na Cheek. Sio wabunifu kabisa hata kama wakicheza vizuri. Viungo wasioweza kutengeneza nafasi au kuanzisha mashambulizi BURE KABISA
Newcastle vs Spuirs 2-0 - Wamewazidi Conte mens kila kitu
View attachment 2395720
Huyu jamaa amekukosea Nini?😂😂😂Hatuna uwezo wa kumfunga Arsenal kwa sasa. Wamekamilika kila idara Halafu morali yao ya kushinda mechi ipo juu.
Kwa upande wetu kuendelea kukosekana kwa Kante & James ni kama tunacheza pungufu + Safu ya Ushambuliaji bado ni butu.
Arsenal sio ile Man u mbovu tuliyodraw nayo.
January tusajili kiungo mkabaji, mchezeshaji na RWB.
Mwisho naitwa Dennis Zakaria nimesajiliwa na Chelsea kuja kula mshahara bure.
Mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam
View attachment 2397018
Tunahitaji new generation kama walivyofanya Real MadridMtoe hapo Kovacic kwenye hiyo list tafadhari
Mechi ya leo ni ngumu, ugenini na hatuko fit kwa sababu ya majeruhiLeo tukishinda tutakuwa tumequalify kwenda round 16.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunapata shida eneo la kiungo, halafu aliyesajiliwa eneo hilo yuko benchi anakula mshahara bure anatusanifu.
Bora hata SAUL alicheza cheza kidogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kilaleheri THE BLUES [emoji123]
Ila naitwa Dennis Zakaria nimesajiliwa na Chelsea kuja kula mshahara bure.
Mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam View attachment 2397718
Wachezaji wanne wako injuryTunaitaka round ya 16View attachment 2397716
Kilaleheri THE BLUES [emoji123]
Ila naitwa Dennis Zakaria nimesajiliwa na Chelsea kuja kula mshahara bure.
Mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam View attachment 2397718wewe jamaa una utani wa ngumi na Zakaria
Leo jamaa atabapa debut yake ChelseaKilaleheri THE BLUES [emoji123]
Ila naitwa Dennis Zakaria nimesajiliwa na Chelsea kuja kula mshahara bure.
Mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam View attachment 2397718