Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Unaongea utadhani timu yenu ipo siriaziView attachment 2396771


20221024_130020.jpg
 
Chelsea confirm Laurence Stewart will join as technical director from Monaco with a focus on “football globally”.
 
Cheltako chelwowowo chelyatima cheljuma lokole bora mcheze uropa tu huko uefa mtachapika mpka mtamkumbuka lukaku bolingoli
 
Generally hakukuwa na mpira mzuri. Hizo incidence chache zisituhadae.
 
Kweli ziyech mbovu yaani Hadi kocha mpya hampi nafasi Zaid ya kucheza Jana dkik za mwisho
 
Wana chelsea wenzangu tuwe tunajitahidi na kuangalia mechi nyingine ili tujilinganishe na timu zingine. Jana nimeangalia mech ya PSG hizo pasi na assist za visigino aisee! ni hatarii. kwenye pass 100, moja ndio back pass.
Kwa kiungo yetu Jorgihno huko mbele tutatia huruma
Tumecheza game nzuri leo, first half tulikuwa dominant , kwa jins tulivyocheza ingefaa tuwe mbele kwa goal hata 4, tumecreat chance za kutosha

Kuna chance mbili jins tulivyokuwa tunaflow,zile chance auba moja akapoteza nyingine akachelewa tungefunga zile,lingekuwa bao bora kwa miaka ya hiv karibun hatujawah fanya vitu kama vile jins tunavyomove mpira, wow

Ni mda sana kuonq tukitengeneza nafas huku tukiwa tunaflow
 
Wana chelsea wenzangu tuwe tunajitahidi na kuangalia mechi nyingine ili tujilinganishe na timu zingine. Jana nimeangalia mech ya PSG hizo pasi na assist za visigino aisee! ni hatarii. kwenye pass 100, moja ndio back pass.
Kwa kiungo yetu Jorgihno huko mbele tutatia huruma
Matatizo ya chelsea yanajulikana

Huwez ukawa na Neymar,Mbape,Messi halaf uwe unapiga back pass haiwezekani.

Kwa soka la sasa msingi wa tim ni kiungo,

Chelsea unaweza mpa mount/ziyech yeye mwenyewe akarudisha mpira mpira nyuma bila hata kuambiwa
 
Kweli ziyech mbovu yaani Hadi kocha mpya hampi nafasi Zaid ya kucheza Jana dkik za mwisho
Ziyech kapotea kabisa, kwa mechi ya jana hadi Pundits wanamshauri ahame aedne ligi ambayo mpira wake utarudi. Chelsea imemkataa mazima
 
Hapo unaposema tunashinda kwa bahat sikubaliani nawe,

Tumecreat chance za kutosha na sikama ubora wa kipa wa Salzburg we could hav won 4+,

Kuna chance kama 2 tumetengeneza na flow nzuri jins tulivyomove mpira kama si uhodae wa kipa wa salzburg auna angefunga nyingine auba amechelewa unaposema sijui tuko slow sijui game ipi hiyo.
Hatujashinda kwa bahati lakini pia Salzburg walikuwa wabovu kweli kweli. Mpira unaochezwa na Chelsea hauko kwenye kiwango cha kutufariji mashabiki. Kwenye top 6 bado Chelsea ina safari ndefu mno. January tusipofanya jambo la maana hasa kwenye kiungo na upande wa James, tutalia maumivu makubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom