Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1666719428340.png
 
Sio tu tumequalify bali pia tutaongoza group kwa 99% miujuza tu ndio itakayofanya tusiongoze group
Salzburg hataweza kutufikia kwa point
Milan hata akifikisha 10pts hawezi kuongoza group
Dinamo akishinda mechi zote mbili zilizobaki ndio anaweza kuongoza group
 
Tumecheza game nzuri leo, first half tulikuwa dominant , kwa jins tulivyocheza ingefaa tuwe mbele kwa goal hata 4, tumecreat chance za kutosha

Kuna chance mbili jins tulivyokuwa tunaflow,zile chance auba moja akapoteza nyingine akachelewa tungefunga zile,lingekuwa bao bora kwa miaka ya hiv karibun hatujawah fanya vitu kama vile jins tunavyomove mpira, wow

Ni mda sana kuonq tukitengeneza nafas huku tukiwa tunaflow
 
Daah unavyosema najarubu kuivutia picha game jinsi ilivyokua. Mimi sijafanikiwa kuiona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumecheza game nzuri leo, first half tulikuwa dominant , kwa jins tulivyocheza ingefaa tuwe mbele kwa goal hata 4, tumecreat chance za kutosha

Kuna chance mbili jins tulivyokuwa tunaflow,zile chance auba moja akapoteza nyingine akachelewa tungefunga zile,lingekuwa bao bora kwa miaka ya hiv karibun hatujawah fanya vitu kama vile jins tunavyomove mpira, wow

Ni mda sana kuonq tukitengeneza nafas huku tukiwa tunaflow
Ila pia tulikuwa wazuri kwa sababu Salzburg walikuwa hovyo leo
 
Mimi huwa nawashangaa wanaoita wachezaji takataka. Kwann umuite mwenzako takataka? Je Mungu alikosea kumuumba? Je wewe unayemuita mwenzako takataka una uwezo gani? Kama unaweza kucheza mpira mbona hujasajiliwa kwenye timu yoyote hata tuone uwezo wako? Je umewahi kucheza mpira hata mara moja?

Unao waita taka taka wanakuzidi mara elfu kumi wala hutokuja kulingana nao kamwe.

Mpira ni burudani kwanin usikosowe kwa analysis, techniques au tactics? Kwani kumuita mchezaji taka taka ndiyo unaonekana mjanja?

Naamini kwa asilimia mia moja wanaobeza wachezaji na kuwaita takataka ni wale wanakuwa na matokeo yao mfukoni. Hawajui maana halisi ya mpira, wanabeti wakitegemea ushindi kila mechi. Wanapima uwezo wa mchezaji kwa magoli anayofunga bila kuona contributions yake kwenye timu.

Binadamu wote ni sawa Mwenyezi Mungu hakuumba taka taka bali aliumba binadamu. Tuwe na heshima kwa wenzentu.
 
Tumecheza game nzuri leo, first half tulikuwa dominant , kwa jins tulivyocheza ingefaa tuwe mbele kwa goal hata 4, tumecreat chance za kutosha

Kuna chance mbili jins tulivyokuwa tunaflow,zile chance auba moja akapoteza nyingine akachelewa tungefunga zile,lingekuwa bao bora kwa miaka ya hiv karibun hatujawah fanya vitu kama vile jins tunavyomove mpira, wow

Ni mda sana kuonq tukitengeneza nafas huku tukiwa tunaflow
Sijaiona hiyo game nzuri unayosema tupo very slow kufanya maamuzi movement zetu tukiwa na mpira zinatabirika mno
Tunashinda kwa bahati zaidi kuliko uwezo wetu tukija kucheza big mechi tutapata aibu
 
Inavyoelekea Chelsea top of the group
Mechi na Dinamo ni kutunza heshima tu
 
OCTOBER FIXTURES

1. Palace vs Chelsea (1-2)
2. Chelsea vs Milan (3-0)
3. Chelsea vs Wolves (3-0)
4. Milan vs Chelsea (0-2)
5. Aston villa vs Chelsea (0-2)
6. Brentford vs Chelsea (0-0)
7. Chelsea vs Man Utd (1-1)
8. RB Salzburg vs Chelsea(1-2)
9. Brighton vs Chelsea
 
Mechi ya mwisho dhid ya Zagreb, haitokuwa ya muhim, maana tumeshaongoza group hata tukipoteza hiyo game na Ac milan wakashinda stil tutaongoza group due to h2h

Nadhan itakuwa mechi ya kjwapa wale ambao hawapat nafas huku hawa wengine wakirecharge
 
Sijaiona hiyo game nzuri unayosema tupo very slow kufanya maamuzi movement zetu tukiwa na mpira zinatabirika mno
Tunashinda kwa bahati zaidi kuliko uwezo wetu tukija kucheza big mechi tutapata aibu
Hapo unaposema tunashinda kwa bahat sikubaliani nawe,

Tumecreat chance za kutosha na sikama ubora wa kipa wa Salzburg we could hav won 4+,

Kuna chance kama 2 tumetengeneza na flow nzuri jins tulivyomove mpira kama si uhodae wa kipa wa salzburg auna angefunga nyingine auba amechelewa unaposema sijui tuko slow sijui game ipi hiyo.
 
Unapopata chance kama zile na unashindwa kuscore unategemea nn kama sio kuwa butu kwa forward zetu
Ukweli tunacheza slow sana karibu mechi zote angalia hata mechi na Man u labda kama hilo ulioni ila tutakuja kupata aibu siku za karibuni

Tumepata matokeo lakini huwezi kujisifia tumecheza vizuri angalia pia tumekutana na nani kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom