Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Poor Chelshit
Shetani mwenyewe ashawaona matakataka akasepa
Poor Chelshit
Ilo ndio kombe lenu
Poor Chelshit
Shetani mwenyewe ashawaona matakataka akasepa
Lakwetu subiri mei.....sio nyie huo wenu wa kumfunga city.....Lako wewe lipo wapi?
Nani?? Hii mitakataka iliyopaishia Mpira Tandahimba😂,hadi leo inasemekana haujapatikanaHamna tofaut nao...wote vilema
Hamna tofaut nao...wote vilema
Naona umepata mbuzi wa kafara🤣Naitwa Dennis Zakaria nimesajiliwa na Chelsea kuja kula mshahara.
Mshahara wa bure ni mtamu nyamnyamView attachment 2396414
L
Lakwetu subiri mei.....sio nyie huo wenu wa kumfunga city.....
Sisi tunaenda hatua kwa hatua.....sisi ndio wenye ligi buana nyie matakataka wengine huku pambanieni top 10 na kina west hamNikajua unalo tayari
Kumbe huna!
Tuliza mayai hayo tuyatandike😂
Huyu dogo anajuaChukwuemeka ni usajili mzuri. Ni muda tu utatuambia wala sio mrefu. Huyu akimaliza msimu mmoja na dakika za kutosha, msimu unaofuata atakiwasha sana
View attachment 2395226
Wewe una roho ngumu, ulistahili kuwa mshabiki wa ArsenalUnatutajia timu za mabondeni
Hivi hujaona tulivyomtandika teke kipanga wenu City
Hamna kitu Mzee Kwahyo na mashambulizi yote tuliyofanyiwa na Aston villa ilikuwa geresha TuKilakitu inaanzia nadharia halafu inakuja kuwa halisi
Aston Villa kumfunga Brentford 4-0 ni ujumbe umetumwa hapo

Tunaimani na vijana wetu na potterKuna dalili mpk tunaenda World cup tukaendeea kuwa nje ya top 4
Ratiba yetu ya mechi 3 zijazo za ligi
Brighton (A)
Arsenal (H)
Newcastle (A)
Wewe una roho ngumu, ulistahili kuwa mshabiki wa Arsenal
Hata hivyo miaka 30 bila EPL imewafanya kuwa hivyo mlivyo





Hatua kwa hatua kwenye kucheza karetiS
Sisi tunaenda hatua kwa hatua.....sisi ndio wenye ligi buana nyie matakataka wengine huku pambanieni top 10 na kina west ham

KwendraaaaaHatua kwa hatua kwenye kucheza karetiView attachment 2396772
Siendi😂😂Kwendraaaaa
Wakutusumbua hapo newcastle tu.Kuna dalili mpk tunaenda World cup tukaendeea kuwa nje ya top 4
Ratiba yetu ya mechi 3 zijazo za ligi
Brighton (A)
Arsenal (H)
Newcastle (A)
Usiwachukulie Arsenal kirahisi hivyo. Game za darajan wamekuwa wakitusumbua na kuondoka ma 3 pts.Wakutusumbua hapo newcastle tu.
Natunza hii statementWakutusumbua hapo newcastle tu.