Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Amekata mauno na bado ameshindwa kulipa goli9 tulizomtandikaHao manjestaa walimkalisha yule arse8 ambao walikukalisha wewe kuku🤣🤣🤣 kwaiyo usiwachukulie poa manjestaa
Nyie takataka mnadraw
Amekata mauno na bado ameshindwa kulipa goli9 tulizomtandikaHao manjestaa walimkalisha yule arse8 ambao walikukalisha wewe kuku🤣🤣🤣 kwaiyo usiwachukulie poa manjestaa
Nyie kwenu ni huku chini kabisa madonge kwinamaNew Castle wakishinda leo wametutoa kwenye top 4
Umenyukwa na Nottingham forest unapata wapi nguvu za kuingia humu?Tulimtandika City,nyie wahuni mtatuambia nini
Wewe unadraw na nyumbu kwenu na bado upo na nguvu ya kupiga keleleUmenyukwa na Nottingham forest unapata wapi nguvu za kuingia humu?
epl NI 15 wakati anandika hiyo mada kwa mechi 10,sasawewenadhani unarefer ile ya City na BrightonIn all competitions ni 22 goals
EPL 17 ,uefa 5
Nafasi yako ni ya 10 msimu huu na usipoangalia utashushwa darajaNyie kwenu ni huku chini kabisa madonge kwinama
Sawasawa.....epl NI 15 wakati anandika hiyo mada kwa mechi 10,sasawewenadhani unarefer ile ya City na Brighton
Naona umekuja kupeana moyo na matakataka wenzioUmefuraaaahi ila tulikatandika vibaya hako kadogo kenu
KwendaaaaNaona umekuja kupeana moyo na matakataka wenzio
Hiyo kumi ndio yako sasaNafasi yako ni ya 10 msimu huu na usipoangalia utashushwa daraja
Wewe unadraw na nyumbu kwenu na bado upo na nguvu ya kupiga kelele
Timu linaporomokea mabondeni hili.
Arsenane yupo KileleniWewe nyumbu alikunyuka...
Its shame mmejazana humu ndani na ndugu zako wa Arsenane...
Wewe upo Bondeni umetulia huko....Arsenane yupo Kileleni
Wewe maporomokoni unazidi kuporomoka
Hili timu ni bure
Wapi mmemshindwa Noham forest amayeshika mkia, kibonde wa mwisho kabisa ndo mje kuwaweza wengine. Kubalini tu kuwa mwaka huu mnachopigania ni kutoshuka darajaHiyo kumi ndio yako sasa
Sisi tunarudi kule juu
Sasahivi tunafagia takataka zote kule juu.
Unatutajia timu za mabondeniWapi mmemshindwa Noham forest amayeshika mkia, kibonde wa mwisho kabisa ndo mje kuwaweza wengine. Kubalini tu kuwa mwaka huu mnachopigania ni kutoshuka daraja
Tunafagia takataka zote zilizovamia pale juuWewe upo Bondeni umetulia huko....
Kaa hukohuko size yako.
Ilo ndio kombe lenuUnatutajia timu za mabondeni
Hivi hujaona tulivyomtandika teke kipanga wenu City
Tunafagia takataka zote zilizovamia pale juu
Game ya pili tunawapakata matakataka nyie.....na usikae unatutolea reference kila saa mtatuambukiza kideriUnatutajia timu za mabondeni
Hivi hujaona tulivyomtandika teke kipanga wenu City
Hiyo ya pili ataingia Klopp mwenyewe kumsokomeza teke Bwana KiparaGame ya pili tunawapakata matakataka nyie.....na usikae unatutolea reference kila saa mtatuambukiza kideri