Tatizo letu kubwa liko kwenye midfield, hao akina Auba, Pulisic, Sterling hawakupelekewa vya kutosha washindwe kufunga. Hizo cases chache haitoshi kuwapa hukumu ya mwisho. Siwatetei ila tuanze mageuzi kwenye viungo na tuongeze wing-backs wazuri hasa kulia halafu tuone. Hao akina Pulisic tukisafisha upande wao wakati viungo tulionao ni hawa hawa, hata aje mshambuliaji hatari kuliko Haaland, story itakuwa ni ile ileMageuzi yaanzie hapa
Pulisic
Auba
Ziyech
Harvetz
Sterling
Jorgnho
Cheek
Azipculeta
Tayari katimu kenu ka academy kanarudi to defaultMbona mnalialia????![]()
Chalii yangu OllaChuga Oc atasema mko vizuriCity wanaviungo wapikaji, n viungo wao wanaweza control game yoyote
Uwepo wa bernardo n gundogan + kdb, hawa wote wanauwezo wa kutengeneza nafasi bado hujawaongeza Foden+Mahrez+Grealish
Sisi sasa viungo wetu hawana uwezo wengi ni spana mkononi,
Bila kuwa na kiungo mbunifu ambae anaweza tengeneza nafasi tutaendelea kuhangaika,.
Yani ukiangalia tim yetu james akiwepo na asipokuwepo ni usiku na mchana,
Tuko matatizon kama mchezaj wetu bora n mtengenezaj wa nafasi ni james
Yani Usajil wa viungo now ni wa muhim kuliko shm yoyote ile, bilq hivyo tutaendelea kuhangaika
Kante,Kovacic,Loftus Cheek hawa wote ni spana mkononi mdq wowote wanarudi wodin.
Naitwa Dennis Zakaria nimesajiliwa na Chelsea kuja kula mshahara bure.
Mshahara wa bure ni mtamu nyamnyamView attachment 2395680








Sikujua kama na nyinyi ni wabovu kiasi hikiTatizo letu kubwa liko kwenye midfield, hao akina Auba, Pulisic, Sterling hawakupelekewa vya kutosha washindwe kufunga. Hizo cases chache haitoshi kuwapa hukumu ya mwisho. Siwatetei ila tuanze mageuzi kwenye viungo na tuongeze wing-backs wazuri hasa kulia halafu tuone. Hao akina Pulisic tukisafisha upande wao wakati viungo tulionao ni hawa hawa, hata aje mshambuliaji hatari kuliko Haaland, story itakuwa ni ile ile
Unakuwa na kiungo kama Jorgnho ambaye akipata mpira anageukia nyuma ili arudishe mpira kwa mabeki au kipa na pasi zake ni mbovu kuliko maelezo. Unakuwa na kiungo kama Jorginho siku akicheza vizuri sana ndio tunapata droo. Unakuwa na Kiungo kama Cheek akipata mpira anatuliza kwanza ili awasubiri adui ndipo aanze kufanya dribling zake za kuvuta na za kitoto
Pale katikati for sure Kante ataondoka, Jorginho na wenzake waondolewe pia, waletwe experience MF watakao endana na akina Chukwuemeka ili kuleta mapinduzi pale katikati. Sina shaka na falsafa ya GP ila hana viungo wa kutekjeleza hiyo falsafa
Umeamua kuja kujifarijia huku kwetu eh, jana wenzako walipotea kabisa ila wewe una roho ngumu aiseeSikujua kama na nyinyi ni wabovu kiasi hiki
Chizi maarifa huyo mkuu; mwache atakuumiza kichwa bure 😀 😀 😀 😀Umeamua kuja kujifarijia huku kwetu eh, jana wenzako walipotea kabisa ila wewe una roho ngumu aisee
Umeamua kuja kujifarijia huku kwetu eh, jana wenzako walipotea kabisa ila wewe una roho ngumu aisee






Nyie ni Wachovu FC
Wabovu FC mambo vipi
Na nyie tunawaitaje?Nyie ni Wachovu FC

Huwa naamini ukifanya scouting vizuri utapata wachezaj wazuri tu kwa less than 55MHuyu Bruno Guimaraes ameitransform kiungo ya New Castle, very creative. Amesababisha yale matakataka ya zamani ya New Castle sasa wanacheza kandanda safi
Hii ndio tunasema hata hapa Chelsea, wanaotuchelewesha ni akina Jorgninho, Kova na Cheek. Sio wabunifu kabisa hata kama wakicheza vizuri. Viungo wasioweza kutengeneza nafasi au kuanzisha mashambulizi BURE KABISA
Newcastle vs Spuirs 2-0 - Wamewazidi Conte mens kila kitu
View attachment 2395720