Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cheltako hakuna timu hapa
watu wanakuja kustaafu
timu ina wachezaji wamecheza tangu enzi za pele
 
Chelsea tuna uwezo wa kumfunga Mancity Potter akiwa strategical angalau tupate draw.

nguvu za mancity ziko kwenye middle field Halaad sio chochote au lolote ukimbana KDB na Forden huyu halaad kafunga 'tap in goals' 11 zote kutoka kwa pass safi za KDB hapo KDB ndo mchawi lazima atafutiwe dawa.

Kocha azigatie wachezaji wakongwe wenye uzoefu katika defence asiangalie umri au current form
Thiago sliva Azippe(chillewel) Kouribara na James(cucu) wawe safu ya ulinzi wakae nyuma bila kupanda kipindi cha kwanza, Kante jihginio kovicic mount(Kei) Wawe middle field kuvuruga mipango ya KDB Forden. Na wapige mipira mrefu long passes kwa double strikers.

Auba na sterling wabaki kama strkers kwa kupokea mipira mirefu tu.
hapo Mancity tutaipiga vizuri bila shida akijichanganya na gambling zake mara ameweka gharagha mara Loftus cheek, zienchy Boroja tuna pokea kipingo kama cha Man-u

Mchambuzi nguli katika ubora wako
 
Kikosi leo kianze hivi

Kepa; Chilwell,Thiago Silva, Koulibaly;cucurela, Kovacic, Jorginho, pulisic,Mount, Aubameyang, Sterling.

Sub waje kuingia kina havertz, connor galagher,RLC na Broja
 
Chilwell aanze Cucurela SUB. Cucurela ana mawenge sana.

Azip aanze RWB.
Hivi mimi naomba mtu wa kunieleza ma wenge/mapungufu ya cucurela, kwa sabb na muona kama right back anae panda na kushuka anatoa pass za wakika za chini na za juu chenga anapiga vizuri kasi anao, mwataka afanye lipi la ziada jamani, japo hamfikie chellwell ila ni mbadala wake mzuri, huyu hatukupigwa kabisa
 
Hivi mimi naomba mtu wa kunieleza ma wenge/mapungufu ya cucurela, kwa sabb na muona kama right back anae panda na kushuka anatoa pass za wakika za chini na za juu chenga anapiga vizuri kasi anao, mwataka afanye lipi la ziada jamani, japo hamfikie chellwell ila ni mbadala wake mzuri, huyu hatukupigwa kabisa
Cucu na Chilwell hawafananishwi uchezaji wao ni tofauti kabisa japo ni wote ni fullback. Kocha ndie anayejua kulingana na oponent nani aanze na nani aje baadaye
Tukisema Cucurela ana mapungufu haya ambayo CHilwell hana utakuta pia Chilwell anayo mapungufu ambayo cucu hana. Mazuri ya Chilwell yaliyo dhahiri tofauti na Cucu ni ule uwezo wake wa kuoverload final third ya oponent na hivyo kuongeza nguvu ya mashambilizi na fursa za kufunga mabao. Chilwell anauwezo wa kufanya movements na runs kwenye final third ambayo mabeki ni ngumu kumtarck kitu ambacho Cucu hawezi Hizo runs zimempatia Chilwell goli moja na assists moja msimu huu na msimu uliopita nadhani magoli matatu na assist 1 kwenye ligi tu. Chillwell sio mzuri kwenye kukaba wakati cucu ni mzuri kwenye ku-defend. Chillwell hana mazoea ya kupiga crosses waka cucu anamazoea ya kumiminia crosses golini mwa adui na hizo crosses zimempatia assists mbili nadhani hadi sasa

Advantage nyingine aliyonayo Cucu dhidi ya Chilwell ni kwamba Chilwell ni injury prone wakati Cucu hajawahi kupata injury tangu 2017

So to say that, kama tunataka kupaki mabasi, Cucu ndie mzuri
Kama tunataka kuattack, Chilwell ni mzuri
Falsafa ya GP ni kushambulia kwa hiyo usione ajabu Chilwell kama yuko fit kwenye form yake akichaguliwa mara kwa mara against cucu
 
Kwenye mechi na Brentford mimi naona Broja na Chukweuemeka walicheza vizuri. Sikutegemea wangecheza kwa kiwango kile. Mfano broja amekuwa too physical na kujiposition vizuri ni bahati mbaya tu hakufunga goli
Naye Chukwuemeka kacheza kwa nguvu na ana mwili mzuri, ana mbio na anayo compusure nzuri akiwa na mpira
Natumaini kocha atazidi kuwapa mechi na muda zaidi ili wajenge kujiamini na kuanza kuleta uhai kwenye uchezaji wa Chelsea ambao mimi naona bado hatuko consistence hasa kwenye eneo la kiungo, Kova, Jorginho na Cheek bado hawajatulia hapo. Tukicheza na high pressing team tutapata shida sana. Mechi na Brentforn kwa mfano, ni Kepa pekee ndie aliyejitahidi kuzuia tusifungwe. Kama sio umahiri wake tungelala kwa zaidi ya goli 3
View attachment 2393809
Hivi hii Ng'ombe inaangaliaga mpira kw mataQo, Huyo Muhindi alicheza vizuri wapi? kwanza yeye ndio aliyesababsha tumedroo manina.
 
Mjiandae tunakuja hapo.
Screenshot_20221022-173133.jpg
 
Hivi mimi naomba mtu wa kunieleza ma wenge/mapungufu ya cucurela, kwa sabb na muona kama right back anae panda na kushuka anatoa pass za wakika za chini na za juu chenga anapiga vizuri kasi anao, mwataka afanye lipi la ziada jamani, japo hamfikie chellwell ila ni mbadala wake mzuri, huyu hatukupigwa kabisa
Umeangalia match iliyopita Huyo Cucurella alivyocheza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom