Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,760
- 6,333
Kocha mzuri hufundisha waliopo.Narudia tena kusema Potter ni kocha mzuri sana ila asajiliwe wachezaji wazuri.
Kocha mzuri hufundisha waliopo.Narudia tena kusema Potter ni kocha mzuri sana ila asajiliwe wachezaji wazuri.
[emoji1488][emoji1488]Leo ni mwendo wa sare tu hakuna namna
Ukisikia roho mkononi ndo iyo [emoji23][emoji23][emoji23]Ule upande wa Azplicueta siku akikutana na Martinel, tuwe na bahat tu otherwise tutakuwa tupe matatizone mda wote
Nyumbu FC ilikubandua, sisi tumetoa drawNov 2 msiingize team yenu uwanjani nawapa tahadhari mtadhalilika
Yani hata mashabiki hamjuani mko tim moja [emoji23][emoji23][emoji23]Timu yako imepapaswa kaa tulia.
Nenda wewe ukapokee iyo mipiraJamaa wanajitahidi ku attack ila naona kabisa hii game hatupotezi. Auba bado hajapokea mpira vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nakuona unavyosema hayo manenoNenda wewe ukapokee iyo mipira
.