Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe unashindwa kuelewa jambo dogo sana. Unatolea mfano City na Arsenal ambazo wao tayari wana timu msimu huu wamefanya maongezeko kidogo tu. Utafananisha na sisi ambao tumebadili kocha na kuna ingizo la wachezaji 5+ na hapo kuna majeruhi kama yote. Huitaji elimu kubwa kulielewa hili nashanga ndugu unavyokaza fuvu.

Kabla ya mechi dhidi ya Brentford hao kina Auba walianza lakini hawakua na threat dhidi ya Aston Villa then mechi iliyofuata ndio ikabidi awaanzishe bench. Kwa sababu gani ili kumlinda mchezaji na majeraha pia kumkumbusha hananamba ya kudumu hasa pale anapokua na kiwango dhaifu.

Kuhusu Havertz nadhani yeye ndie anashinda na players wake Cobham kuna kitu anamshawishi ndio maana anamuanzisha ukizingatia kwa mchezaji kama Havertz unajua muda wowote anaweza kukupa kilicho bora ila tu nahisi atakua na matatizo nje ya uwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mada ya wadau huwa ni kuacha tu mtu aelewe anavyojua kwenye akili yake kwa sababu hata ujitahidi sana hataelewa.
Tunazo mechi nyingi sana na kocha changamoto yake ni kuweka balance kwenye timu na hapo hapo kuavoid majeruhi. Mchezaji asipofanyiwa rotation anaweza kuchoka au kupata majeruhi na hivyo timu kuadhirika sana. GP anakwepa hilo kwa kumuweka Havertz uwanjani
 
Kwani yeye Kei hapati majeruhi kwa kupangwa kila match day? Pia timu zingine kama Arsenal Mancity zinafanya je rotatation na bado zinapata matokeo, ukiangalia Mancity wachezaji kila match ni wale wale isipo kua wa wili au watatu na wana match sawa saw na sisi na arsenal ni hivo hivo Manchester United ni wale wale mpaka Ronaldo anakasilika kwanini hapangwi

Lakini kwanini sisi blues hiyo rotation inaonekana hata kwenye armature kama sisi, unapanga boloja, Gharagha Chalabo Chikwe loftus cheek, Kei hiyo ni karibia ni team nzima , hapo unahitaji point 3 kama zile zile utakazo pata kwa Man U. Match ukiufunga.

GP ajifunze kufanya rotation kama top 4 wengine sio rahisi mtu amateur kuona kama kuna rotation sio kubadili team nzima kama anavo fanya, hapo Chelsea ni kama ina team mbili kwa league moja. team A na B kwa goal keeper ule ule yeye hamfanyie rotation

Naomba tuepuke kijadili personality tujadili content ya mtu sio mtu, tuleta facts reasoning na data hapa tuko kwa ajili ya burudani kwani fedheha kwa mwezio ya nini? kama hujampata pita mgine atamjibu alio muelewa sio lazima umuelewa au umjibu wewe, fedheha sio nzuri, wote hapa hatuko professional analytics
 
Kwa kikosi gani kipana chenye QUALITY ulichonacho mpaka usimpange KAI 1st eleven?

Kwa kikosi gani kipana chenye QUALITY ulichonacho mpaka KAI asiwe kwenye ROTATION ya kucheza?

Labda pale Man city ndio Kai anaweza asicheze 1st eleven wala rotation.

Huyu STERLING tunayemuona mashine panga pangua 1st eleven pale CITY alikuwa anasugua benchi.

Tusidanganyane hapa THE BLUES hatuna kikosi hicho cha kufanya hawa wachezaji tulionao wasipate namba labda yule Zakaria mgonjwa wa fitness
Benchi lipi alilokua anasugua Sterling??
 
Kwani yeye Kei hapati majeruhi kwa kupangwa kila match day? Pia timu zingine kama Arsenal Mancity zinafanya je rotatation na bado zinapata matokeo, ukiangalia Mancity wachezaji kila match ni wale wale isipo kua wa wili au watatu na wana match sawa saw na sisi na arsenal ni hivo hivo Manchester United ni wale wale mpaka Ronaldo anakasilika kwanini hapangwi

Lakini kwanini sisi blues hiyo rotation inaonekana hata kwenye armature kama sisi, unapanga boloja, Gharagha Chalabo Chikwe loftus cheek, Kei hiyo ni karibia ni team nzima , hapo unahitaji point 3 kama zile zile utakazo pata kwa Man U. Match ukiufunga.

GP ajifunze kufanya rotation kama top 4 wengine sio rahisi mtu amateur kuona kama kuna rotation sio kubadili team nzima kama anavo fanya, hapo Chelsea ni kama ina team mbili kwa league moja. team A na B kwa goal keeper ule ule yeye hamfanyie rotation

Naomba tuepuke kijadili personality tujadili content ya mtu sio mtu, tuleta facts reasoning na data hapa tuko kwa ajili ya burudani kwani fedheha kwa mwezio ya nini? kama hujampata pita mgine atamjibu alio muelewa sio lazima umuelewa au umjibu wewe, fedheha sio nzuri, wote hapa hatuko professional analytics
Chelsea sio Arsenal na sio city
Chelsea ina Kocha mpya hawezi tu kugues kwamba huyu mchezaji anaweza na huyu hawezi. Lazima kocha aende nao kwa muda fulani ili awajue. Na akisha wajua ndio rotation inapungua makali. Kila kocha mgeni huwa anafanya hivyo ndg kama unajua mpira. Arteta amekaa na wachezaji wake muda mrefu
PEP kakaa na wachezaji wake muda mrefu anawajua wote
GP wachezaji wote ni wageni kwake lazima awafanyie rotation ili ajue uwezo wao na ndipo atakapoweza kuwatumia kisawasawa
 
Hawa cheltako eti wanajadiliana
yaani timu yenye ukuta wa miaka 150 inataka ubingwa
nyinyi chelsea ni mavi kunuka
 
1666359573375.png
 
Kwenye mechi na Brentford mimi naona Broja na Chukweuemeka walicheza vizuri. Sikutegemea wangecheza kwa kiwango kile. Mfano broja amekuwa too physical na kujiposition vizuri ni bahati mbaya tu hakufunga goli
Naye Chukwuemeka kacheza kwa nguvu na ana mwili mzuri, ana mbio na anayo compusure nzuri akiwa na mpira
Natumaini kocha atazidi kuwapa mechi na muda zaidi ili wajenge kujiamini na kuanza kuleta uhai kwenye uchezaji wa Chelsea ambao mimi naona bado hatuko consistence hasa kwenye eneo la kiungo, Kova, Jorginho na Cheek bado hawajatulia hapo. Tukicheza na high pressing team tutapata shida sana. Mechi na Brentforn kwa mfano, ni Kepa pekee ndie aliyejitahidi kuzuia tusifungwe. Kama sio umahiri wake tungelala kwa zaidi ya goli 3
1666360393527.png
 
Actions za Ronaldo zinaonyesha kuwa sio tu ana madharau kwa Erick Ten Hag bali pia hana mahusiano mazuri na wachezaji wenzake. Kwenye ushindi mnono kama ule wa 2-0 thid ya wanaume wa Conte na pia wametawala maeneo yote ya mpira uwanjani, Ronaldo nalitakiwa afurahie ushindi na kuwa bega kwa bega na wenzake kufanya sherehe ya ushindi badala yake wakati wenzake wanasheherekea ushindi yeye kasepa anakojua yeye mwenyewe. Katoka uwanjani dk ya 89 kabla game halijaisha na pia kumgomea kocha kwenye sub aliyofanya dk za lala salama. Sasa Ten Hag kamshusha kutoka kwenye first team na kumuweka kwenye development team akacheze na watoto wa academy. Hatakuwepo kwenye mechi ya kesho dhidi ya Chelsea darajani. Naomba kabisa Boehly aachane na mpango wa kumsajili Ronaldo. Mimi ni admirer mkubwa wa Ronaldo ila kwa level hii Ronaldo hafai kuja kuichezea Chelsea. Atamtibua sana Poter kama anavyofanya kwa Ten Hag na kama Alivyofanya kwa Ralf Rangnick
 
jiandae tu mkuu kama una roho nyepesi lala tu home.
Aisee mbolea itufunge nyumbani, noway bora daraja libomoke, najua ule ushindi wa ile timu ya mbinde mbinde inategemea ujanja wa Conte najua mtakuwa mmelewa sana
 
No new injury problems​

Potter confirmed there are no new absences so far apart from the three longer-term injuries to Reece James, N’Golo Kante and Wesley Fofana, who will all miss the visit of United.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom