Niliangalia vizuri alifanya kazi yake ya kupanda na kushuka ila alikosa backup kutoka middlefield na striker wetu walikua wa hovyo mno siku hiyo zile Cross zake hazikutendewa hakiUmeangalia match iliyopita Huyo Cucurella alivyocheza?

Kweli usikate tamaa comrade pia tunawezi kushinda au kutoka sare kocha wetu akisoma mchezo mapema.James & Kante hizi silaha zingekuwepo leo tungeshinda mechi.
Kwani tunashindwa?James & Kante hizi silaha zingekuwepo leo tungeshinda mechi.
Zile mil 250 msimu uliopita TT alizichezea tu sijui hata tulisajili nini. Hatuna kabisa timu yenye quality ya ushindaniPotter ni kocha mzuri sana ila asajiliwe wachezaji wazuri.
Timu yako imepapaswa kaa tulia.Hii timu inavyocheza inasikitisha sana
C wana build team kutoka kwenye academy kwanzaZile mil 250 msimu uliopita TT alizichezea tu sijui hata tulisajili nini. Hatuna kabisa timu yenye quality ya ushindani
Wachezaji anao sema anatapata tu hajua afanyeje nao nn. Kilichomfanya amuweka Kova nje ni nn kwa mfano.Potter ni kocha mzuri sana ila asajiliwe wachezaji wazuri.
Loftus cheek kapotea kabisa mpaka ainglia covicic ndo anze kuonekana, tunahitaji wachezaji kama Kante, joghinho amekua mzuri kuliko Loftus cheek