Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu Potter sioni kama yuko serious kwenye kuipa timu matokeo maana tangu amekuja amekuwa hana first 11 yeye anafanya majaribio kila mechi

Hajui kama sisi mashabiki tunataka matokeo na sio majaribio yake akafanye mechi za carabao na Fa sio mechi za ligi au Uefa
Rotation mzee. Na anafanya hivyo kwa sababu pia ya majeraha wachezaji muhimu tunawakosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa huu mpira wa Potter, kikosi kingeendela kuwa na James, full fit Kante na Mount kwenye form, tungeshinda mechi nyingi sana.
Potter tu mshukuru sanaa wana blues amejitahidi kutu onyesha uwezo wa wachezaji wetu wengi tulio kua hatujui uwezo wao, kama Loftus cheek ime improve sana kama kiungo ila bado pass ndefu (penetrative pass) na dribbling na chenga za wakika ni changamoto kwake, Gharagha bado ni average player kwa chalsea, chukwe ina jitahidi japo alipewa dakika chache ila ana onyesha uchu wa kufunga ma goli. Pulisic alibadili timu alivo ingia akiendelea na form hiyo sioni kama kuna haja ya Kei kuanza keppa ndo alikua (motm) alifanya 5 saves hiyo form sijui kama Merdy anaweza akawa no 1 tena

Boraja bado sana kwa nafasi ya kua 'key striker' wa the blues bado basics nyingi za ufungaji hana, kuji- space, ku-hit target, non stop punching, kutoa assist panapo stahili nk. jana Boraja angekua kama pulisic hiyo game tunge iua mapema ila ndo basi tuna build team.

Tukifunga mpira wa jmosi hatuta kua na lawama juu ya uamuzi wa potter wa kikosi alicho chezesha jana, ila tu kifungwa ndo tutakua na maswali juu ya hizo point mbili tulizo poteza kwa sabb uwezo kwa 100% wakufunga hiyo team kama tulianza na first 11 yetu tulikua nao, hiyo match tunge ifunga mapema tu hawakua wazuri ki vile.

Angalia nafasi ya kufunga tulio kosa na huyu Broja kumpassing Mount alishindwa hamna striker selfish namna hi.View attachment 2393732
 
Kikosi cha jana mbna kingeweza kutupa matokeo. Ila nadhani kilichotucost ni kocha kumuacha havertz mpaka dakika ya 80 wakati alikua anacheza utumbo tu. Broja nae asije akaja kulalamika hakupewa nafasi ya kuonyesha uwezo wake maana alipata chance nzuri ya kutoa assist akaamua kuwa mchoyo.

Bora tungembakiza CHO na kumtoa kwa mkopo au kumuuza ziyech, kwasab sion kama ana faida tena kwenye tim.
 
Huyu Potter sioni kama yuko serious kwenye kuipa timu matokeo maana tangu amekuja amekuwa hana first 11 yeye anafanya majaribio kila mechi

Hajui kama sisi mashabiki tunataka matokeo na sio majaribio yake akafanye mechi za carabao na Fa sio mechi za ligi au Uefa
Mkuu jaribu kuelewa kipindi hichi lazima kuwe na rotation based na ratiba ilivyokaa, kumbuka mwez ujao world cup inaanza , so tim zinacheza kila baada ya siku 3, ili ziweze kuhakikisha hata ¾ yw mechi za mzunguko wa kwanza ziwe zimechezwa + uefa makundi yawe yamekamilika

Same player hawawez cheza kila baada ya siku 3, zaidi ya hapo watapata majeruhi
 
Kocha kazingua kwenye kikosi
Fixture nyingi Sana rotation mara mojamoja sio mbaya NI muhimu kuwaepusha wachezaji na ishu za misuli au majeraha mengine....km tungeanzisha kina Silva Afu wakaumia au chilwell akapata Kadi nyingine ya njano czan km ungekuwa n amani kucheki game ijayo n nyumbu yunaitedi
 
Kuna mashabiki wa THE BLUES hapa wana ujinga mwingi sana, wachezaji sio maroboti ni binadamu kama sisi wanachoka na wanaumia.

Kwa hizi mechi mfululizo huwezi kupanga 1st eleven ya wachezaji wale wale kila baada ya siku mbili, madhara yake tumeshaona kwa James na bado injury kibao zitakuja

Potter apongezwe sana kwa ugeni wake anafanya vizuri sana uwanjani kwenye rotation na kupata matokeo mazuri (hajapoteza mechi mpaka sasa, draw 1)

Apongezwe zaidi haswa la kuendelea kuwapa moyo wachezaji kuipambania timu na kujitoa uwanjani ijapokuwa kikosi chetu bado sio kipana kwa quality.

Kwa fixture hii ya October angekuwa TT kwa wale wachezaji wake wazembe na wavivu tungefungwa mechi nyingi. Hapa mngetukana matusi ya kila aina.

OCTOBER FIXTURES

1. Palace vs Chelsea (1-2)
2. Chelsea vs Milan (3-0)
3. Chelsea vs Wolves (3-0)
4. Milan vs Chelsea (0-2)
5. Aston villa vs Chelsea (0-2)
6. Brentford vs Chelsea (0-0)
7. Chelsea vs Man Utd
8. RB Salzburg vs Chelsea
9. Brighton vs Chelsea
Umenena vizuri Sana chief...bado hawatokuelewa
 
Mashabiki kama wewe hasara mno...

Hivi fixture ya October umeiona ilivyo?

Tunacheza na Man U weekend halafu Dynamo Zagreb j4.
Nafikiri ww ndo una hasara kubwa kwani Man u hawajui weekend wanakutana na nani lakini kocha anatafuta matokeo kwanza ndio anapumzisha watu mechi za ligi ukifanya majaribio utaishia namba 10 huko
 
Kuna ushabiki wa timu na kuna ushabiki wa mchezo wa mpira.

Huyo jamaa ni kama wale mashabiki wa Simba na Yanga wengi wanashabikia timu ila hawaujui mchezo wa mpira.
Hata kama una mechi nyingi lazima winning team ianze upate matokeo ndio upumzishe watu kaangalie Arsenal sasa wanachofanya hata Man U wenyewe kila mechi ni fainal
 
Mkuu jaribu kuelewa kipindi hichi lazima kuwe na rotation based na ratiba ilivyokaa, kumbuka mwez ujao world cup inaanza , so tim zinacheza kila baada ya siku 3, ili ziweze kuhakikisha hata ¾ yw mechi za mzunguko wa kwanza ziwe zimechezwa + uefa makundi yawe yamekamilika

Same player hawawez cheza kila baada ya siku 3, zaidi ya hapo watapata majeruhi
Hiyo rotation sawa inafanyika lakini kikubwa matokeo kwanza kumbukeni hii ni Chelsea sio Brighton
 
Kuna ushabiki wa timu na kuna ushabiki wa mchezo wa mpira.

Huyo jamaa ni kama wale mashabiki wa Simba na Yanga wengi wanashabikia timu ila hawaujui mchezo wa mpira.
Na kuna shabiki wa kocha na wa mchezaji
Huyo kocha wake akitimuliwa anaikandia timu hadi mchoke
Mchezaji wake asipopangwa atamkandia kocha na timu hadi mchoke
 
Hiyo rotation sawa inafanyika lakini kikubwa matokeo kwanza kumbukeni hii ni Chelsea sio Brighton
Wewe unaona kabisa Chelsea ina wachezaji wa kuku guarantee matokeo kiasi hicho? Au wewe ni shabiki wa YouTube.tuache kuwa na expectation kubwa na hii timu mpaka pale itapofanyika massive overall GP binafsi nampa bigup hata angekuwa pep kwa majority ya hawa average player asingefanya cha maana zaidi ya anachokifanya GP
 
Mkuu unalo sema ni sawa ila GP anajitahidi kutu aminisha kwamba wachezaji wote ni wazuri na wana weza kutupa matokeo, overhauling haiwezakane tena kwasbb msimu hu wamenunua wachezaji zaidi ya wa tano huwezi kukuwauza hao hao ulio nunua gari zaid $250m kwahiyo kilocho bakia kwake ni kutuonyesha mbinu za ukocha wake.

Mashabiki wa Chelsea wengi ni mashabiki wa matokeo wana chambua na kupenda timu baada ya kufunga, tukifungwa mipira mitatu mfulilizo naona siku za GP zina hisabika licha ya kua na mkataba wa miaka mitano. Kwenye soka mkataba hauna maana bila matokeo chanya.
 
Kwa kikosi gani kipana chenye QUALITY ulichonacho mpaka usimpange KAI 1st eleven?

Kwa kikosi gani kipana chenye QUALITY ulichonacho mpaka KAI asiwe kwenye ROTATION ya kucheza?

Labda pale Man city ndio Kai anaweza asicheze 1st eleven wala rotation.

Huyu STERLING tunayemuona mashine panga pangua 1st eleven pale CITY alikuwa anasugua benchi.

Tusidanganyane hapa THE BLUES hatuna kikosi hicho cha kufanya hawa wachezaji tulionao wasipate namba labda yule Zakaria mgonjwa wa fitness
Aisee we jamaa ni mfia KAI, ana uspesho gani asikose first team? Kwa ulegevu ule! We ni shabiki wa mchezaji kw hiyo hautakaa ukakubali kocha some time anazingua. Kwa mahaba hayo kwa huyo takataka uchelewi kutuambia Ballon d'or alistahili kupewa KAI.

Arsenal ina kikosi gani kipana? zaid y hicho kinachocheza kila siku, panga pangua jesus, saka. Na pale nyuma ukuta ni ule ule kila mechi. Kila mech kwao ni final haijalishi timu ndogo au kubwa, kwani wao hawana ROTATION.

Pale City yenyewe na upana wake wa kikosi, hawafanyi Rotation ya kidunz hivyo, siku moja moja ndio utakuta wachezaji wawili hawapo, wengine wote ni wale wale, sasa sisi ROTATION kikosi kizima.

Sisi ni wehu eti bora tudroo na Brentford, kuweka wachezaji kw ajili y mechi ya Man u ni upuuzi, mechi yenyewe hatuna uhakika kama tutashinda.
 
Wewe unashindwa kuelewa jambo dogo sana. Unatolea mfano City na Arsenal ambazo wao tayari wana timu msimu huu wamefanya maongezeko kidogo tu. Utafananisha na sisi ambao tumebadili kocha na kuna ingizo la wachezaji 5+ na hapo kuna majeruhi kama yote. Huitaji elimu kubwa kulielewa hili nashanga ndugu unavyokaza fuvu.

Kabla ya mechi dhidi ya Brentford hao kina Auba walianza lakini hawakua na threat dhidi ya Aston Villa then mechi iliyofuata ndio ikabidi awaanzishe bench. Kwa sababu gani ili kumlinda mchezaji na majeraha pia kumkumbusha hananamba ya kudumu hasa pale anapokua na kiwango dhaifu.

Kuhusu Havertz nadhani yeye ndie anashinda na players wake Cobham kuna kitu anamshawishi ndio maana anamuanzisha ukizingatia kwa mchezaji kama Havertz unajua muda wowote anaweza kukupa kilicho bora ila tu nahisi atakua na matatizo nje ya uwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom