Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
[emoji736][emoji736][emoji736]
Ila Lewandowski ni mtu na nusuBarcelina kaponea chupuchupu kufungwa tena na Inter. Huwa nafuurahi hii timu ikifungwa. Inter wanahitaji ushindi mmoja tu ili kuwapeleka Barca Europa
Mimi situkanagi nawakera tu🤣🤣🤣🤣Lin Arsenal walitukana ? Kuna watukanaji kuliko mashabik wa Chelsea wakiongozwa na ollachuga?
Mimi kwa kweli adi sahivi simkubali huyu Potter japo nafurahi timu inashinda. Yani saiv ni mwendo wa kuwafukua mitaro tu wananzengo wote🤣🤣🤣🤣Cc Olarchuga ktk mechi ya kwanza tu Chelsea FC ilipodroo na Salzburg FC [emoji1]
Mbape anaenda wapi!?Atapishana na Mbape
Sikuangalia match match ila baada ya kuona interanaongoza mbili moja, Nikaanza kupiga maombi barca asukumizwe uropa.Barcelina kaponea chupuchupu kufungwa tena na Inter. Huwa nafuurahi hii timu ikifungwa. Inter wanahitaji ushindi mmoja tu ili kuwapeleka Barca Europa
Hiyo kauli mbaya kutoka kwa shabiki kama wewe tu heshimu na kutambua mchango wa Kante katika timu yetu kabla ya majeruhi, tuwe na roho ya ku-appreciate wachezaji wetu kama wazungu walivyo mpokea Diego Costa alivyo pokelewa na wenye timu licha ya kua kwenye timu kizani, futa hiyo kauli yako tafadhari hamna anaye jitakia majeruhi tujitahidi kuonyesha maturity kwenye ushabiki wetu.Ngolo Knate kaumia tena mazoezini hata bila kuja kucheza
Huyu auzwe tu, Chelsea sio wodi ya majeruhi
Covax kweli huwa una weight parameters zotre za hoja?Hiyo kauli mbaya kutoka kwa shabiki kama wewe tu heshimu na kutambua mchango wa Kante katika timu yetu kabla ya majeruhi, tuwe na roho ya ku-appreciate wachezaji wetu kama wazungu walivyo mpokea Diego Costa alivyo pokelewa na wenye timu licha ya kua kwenye timu kizani, futa hiyo kauli yako tafadhari hamna anaye jitakia majeruhi tujitahidi kuonyesha maturity kwenye ushabiki wetu.
Hilo taira Lembu ni mamluki tu linaropokaga tu bila kutumia akili ake vizuriHiyo kauli mbaya kutoka kwa shabiki kama wewe tu heshimu na kutambua mchango wa Kante katika timu yetu kabla ya majeruhi, tuwe na roho ya ku-appreciate wachezaji wetu kama wazungu walivyo mpokea Diego Costa alivyo pokelewa na wenye timu licha ya kua kwenye timu kizani, futa hiyo kauli yako tafadhari hamna anaye jitakia majeruhi tujitahidi kuonyesha maturity kwenye ushabiki wetu.
GP anawapenda sana young age na anajua namna ya kuwainua viwango vyao. Sidhani kama Pulisic atawekwa nje ya plan za GP. Unaweza ukashangaa akina Callum Hudson Odoi, Levi Colwill. Ethan Ampadu wote wakabakizwa msimu ujao. Kizuri kwa Pulisic ni kwamba anayo speed na ana uwezo wa kudrible. Stayle ya mashambulizi ya Tuchel ndio ilimpoteza Pulisic. Mbona wakati wa Kampard alikuwa anaenda vizuri?
Barca to Europa 90%[emoji23]...Afu kocha wao xavi anautaifa Sana...watu kazi kina frenkie kessie sio WA Kula mbao mechi km Ile au FDJSikuangalia match match ila baada ya kuona interanaongoza mbili moja, Nikaanza kupiga maombi barca asukumizwe uropa.
I wish Inter angeshinda jana. Japo chance yake kushinda kwa Victoria ni kubwa sana.
Aiseeee dah kante mwenyewe binadamu humble akiona hii comment naona atajisikia vibaya Sana[emoji23]Ngolo Knate kaumia tena mazoezini hata bila kuja kucheza
Huyu auzwe tu, Chelsea sio wodi ya majeruhi