Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa nimeelewa kwann hamtaki kumpa mkataba Mwingine, huyu jamaa KATUMIKA Sana , bila kupumzika toka 2015 Leicester

Get well soon Kante

🚨🚨 BREAKING: N’Golo Kante is OUT for three months with a hamstring injury.

He will miss the World Cup!

(Source: @David_Ornstein)
 
Kante atakuwa nje kwa kipindi cha miez 3.
Wote tunasikitika kwa mwisho mbaya wa Ngolo Kante, Kafanya makubwa sana Chelsea na atabaki kwenye vitabu vya historia. Ila sasa tukubaliane tu kwamba Kante basi, anayebisha haitakii Chelsea mema, Akipona tena anarudi miezi sita. Miaka 31 na kwa style ya uchezaji wake tutegemee injuries zaidi na zaidi huko mbeleni.
Huyo hata January hauziki kwa sababu atakuwa bado majeruhi. Itabidi tu June aondoke bure. Barcelona wapenda bure wameshatega mitego yao huko.
Na ninavyomjua Boehly, kama alikataa kumpa mkataba wa miaka mitatu alipokuwa mzima, hata huu wa mwaka mmoja sidhani kama atakuwa tayari kutoa ili aendelee kulamba paundi 300K/wiki huku akiwa nje ya uwanja.
Kante utabaki kuwa Legend wa Chelsea kama alivyo Azpilicueta ila sasa basi ni muda wa kuondoak kama walivyoondoka akina Tery, Lampard, Drogba, Makelele, Esien, Petr Cech na wengineo
 
Ubora wa Potter ndio sasa utaonekana kwa hizi injuries mbili ambazo ni a big setback kwa Chelsea, japo tumezoea kuishi maisha darajani bila Kante, ila James and who knows nani atafuata hatujazoea. Chilwell naye kaanza kucheza vizuri. Hawa wacheza wakifikia tu ile Top Form yao mara injuries.
1665769733854.png
 
Sasa nimeelewa kwann hamtaki kumpa mkataba Mwingine, huyu jamaa KATUMIKA Sana , bila kupumzika toka 2015 Leicester

Get well soon Kante

🚨🚨 BREAKING: N’Golo Kante is OUT for three months with a hamstring injury.

He will miss the World Cup!

(Source: @David_Ornstein)
Hizi habari zinaweza kuwa za uongo, Kocha kwenye press cofrence alisema bado ataonana na consultant wikendi hii ili kujua undani wa tatizo. Yeye alikoment tu anaweza kukosa mechi 4 hadi 5
 
Daah James week 6, Kante miez mitatu

𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Chelsea midfielder N’Golo Kante will miss the World Cup with a hamstring injury he suffered in training, which is expected to rule him out for around three months.

The midfielder, whose contract expires in the summer of 2023, suffered a fresh injury setback in training and is set for an extended period on the sidelines.

Chelsea declined to comment, pending the player seeing a specialist.

David Ornstein - The Athletic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah James week 6, Kante miez mitatu

𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Chelsea midfielder N’Golo Kante will miss the World Cup with a hamstring injury he suffered in training, which is expected to rule him out for around three months.

The midfielder, whose contract expires in the summer of 2023, suffered a fresh injury setback in training and is set for an extended period on the sidelines.

Chelsea declined to comment, pending the player seeing a specialist.

David Ornstein - The Athletic

Sent using Jamii Forums mobile app
Reece James' scan yesterday showed he sustained knee ligament damage, which is likely to rule him out for between six and eight weeks.

Sami Mokbel - Daily Mail

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GP anawapenda sana young age na anajua namna ya kuwainua viwango vyao. Sidhani kama Pulisic atawekwa nje ya plan za GP. Unaweza ukashangaa akina Callum Hudson Odoi, Levi Colwill. Ethan Ampadu wote wakabakizwa msimu ujao. Kizuri kwa Pulisic ni kwamba anayo speed na ana uwezo wa kudrible. Stayle ya mashambulizi ya Tuchel ndio ilimpoteza Pulisic. Mbona wakati wa Kampard alikuwa anaenda vizuri?
Tumpe muda angalau msimu huu utaona nafasi chache atakazopewa kwa style hii ya GP ataboresha kiwango chake. Na hizo dalili zimeshaonekana. Na pia nilipenda kauli zake za mwanzoni mwa msimu aliposema atabakia Chelsea kupambania nafasi yake. That mentality is very good in football. Tofauti na Ziyech aliyejawa na hasira ,,kuktaa tamaa na kulalamika. Ziyech sijui anamgomea nanai. Akipewa muda hapambani kabisa na ZIyech ni bonge la mchezaji.
Graham Potter ni kocha mzuri ila shida ni awa wachezaji wetu wengi wavivu hawataki kujituma. Kipaji cha Pulisic na Odoi wangekua mbali sana ila ndio ivyo wavivu. GP atawapa nafasi ila kama hawatajituma bado watabaki kuwa walewale tuliowazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah James week 6, Kante miez mitatu

𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Chelsea midfielder N’Golo Kante will miss the World Cup with a hamstring injury he suffered in training, which is expected to rule him out for around three months.

The midfielder, whose contract expires in the summer of 2023, suffered a fresh injury setback in training and is set for an extended period on the sidelines.

Chelsea declined to comment, pending the player seeing a specialist.

David Ornstein - The Athletic

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi habari bado not confirmed jamani, sources za uhakika hazijasema lolote
Kwenye press conference ya leo GP amedai watakutana na consultant wikiend hii so bado majibu ya uhakika hadi keshokutwa au jtatu tusubiri
 
Reece James' scan yesterday showed he sustained knee ligament damage, which is likely to rule him out for between six and eight weeks.

Sami Mokbel - Daily Mail

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatima ya Kante na James itajulikana wikiendi hii. Maamuzi ya kwamba atakaa nje muda gani bado kutolewa ila tu injuries walizopata ni mbaya sana hawatarudi hivi karibuni. Mungu epusha Chelsea na majeruhi zaidi
 
  1. Wesley Fofana will return after World Cup
  2. Ngolo Kante will return after Janury 2023
  3. Reece James will return after World Cup
1665787730008.png
 
Tumsajili Moisés Caicedo au Edson Alvarez January hawa tutawapata kwa bei poa tofauti na Declan Rice wame mdecorate sana
 
Kocha mkuu wa Chelsea ya wanawake Emma, hatofundisha timu kwa muda
View attachment 2386083

Statement from Emma Hayes​

Chelsea Women’s manager Emma Hayes has just released the below statement…


‘Last Tuesday I underwent an emergency hysterectomy following my ongoing battle with endometriosis. I’m now in recovery and will need time and patience to return to full health.

‘I just want to say thank you also to my amazing doctors, Dr Alex Laurence and Dr Sally Harris for their outstanding care. A huge thank you to our owners, the board and our HR director, Jo Stone, for the support they’ve shown and of course all of my family, staff and players.

‘Throughout my absence, Denise Reddy will be making the on-field decisions along with Paul Green who will be carrying out all press obligations on my behalf.

‘We have built a tremendous team over many years and we’ve adopted a very multi-disciplinary approach so that if situations like this arise, we are capable of being able to respond to the challenge. We have full confidence in Paul, Denise and all of the staff.

‘We also know the team are very special and we have no doubt they’ll do everything to maintain their high standards.

‘To our fans, you’ve had to listen to me bellowing from the other side of the pitch every week but now I want to hear you even louder because I’ll be sitting at home watching the team on the television until my return.

‘I know you’ll respect that my health comes first and at this time I’ve got to prioritise what I need to do for me. I fully expect to make a full recovery and I look forward to seeing you in the foreseeable future.

All the best,

Your Manager
Emma.'
1665826036561.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom