lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,482
Na unakeraga kweli kweli hadi humu ndaniMimi situkanagi nawakera tu🤣🤣🤣🤣
Na unakeraga kweli kweli hadi humu ndaniMimi situkanagi nawakera tu🤣🤣🤣🤣
What ever, ukweli ndio huo ukibaki kuhudumia wagonjwa kama Kante kweli tutafika kwenye nchi ya ahadi?Aiseeee dah kante mwenyewe binadamu humble akiona hii comment naona atajisikia vibaya Sana![]()
Ila wewe jamaa unamkosea heshima lembu , Kante Sasa hivi hawez tena kucheza mech 3 mfululizo,Hilo taira Lembu ni mamluki tu linaropokaga tu bila kutumia akili ake vizuri
Wewe ambaye hata live score unashindwa kudesa matokeo, sijui uko sayari ipiHilo taira Lembu ni mamluki tu linaropokaga tu bila kutumia akili ake vizuri
Kante bado ni potential mkuu japo majeruhi yanamuandama ila uwezo wake kila mtu anaujua .. tatizo Lembu anaongeaga sometime vitu visivyo na akili🤪🤪🤪Ila wewe jamaa unamkosea heshima lembu , Kante Sasa hivi hawez tena kucheza mech 3 mfululizo,
Na anataka mkataba mpya mrefu, pia anataka kubaki jiji la London, Sijui nan atamsajiri kwa mkataba wa miaka mitatu anaotaka
Yaani wanaoharibu hili jukwaa na kuwaharibia ushuhuda mashabiki wa Chelsea ni Matahira kama huyo Olachugan OcIla wewe jamaa unamkosea heshima lembu , Kante Sasa hivi hawez tena kucheza mech 3 mfululizo,
Na anataka mkataba mpya mrefu, pia anataka kubaki jiji la London, Sijui nan atamsajiri kwa mkataba wa miaka mitatu anaotaka
Chambua, usije dandia mada na kukariri tu. Leta uchambuzi wako hapa ni kwa nini Kante ana pontential wakati ndio anaishia na majeruhi. Kijana wa miak 18-22 tunasema ana pontetial na wewe unakuja kutuambia Kante wa 30+ ana pontetial tukueleweje sasaKante bado ni potential mkuu japo majeruhi yanamuandama ila uwezo wake kila mtu anaujua .. tatizo Lembu anaongeaga sometime vitu visivyo na akili🤪🤪🤪
Sorry mkuu Lembu wewe ni mwanagu kichizi🤣🤣🤣🤣Wewe ambaye hata live score unashindwa kudesa matokeo, sijui uko sayari ipi
Kante kacheza mechi mbili tu tangu msimu uanze na kuna uwezekano hatacheza hadi January na kama January atauzwa ili June asiondoke bure Kante anaweza asiichezee Chelsea tenaSorry mkuu Lembu wewe ni mwanagu kichizi🤣🤣🤣🤣
Hii imekuwa shida msimu ulioisha alikuwa Chilwell now James halafu wote wameumia kipindi kinachofananaInjury ya James ni mbaya kuliko ilivyotegemewa hapo mwanzo. Katika uchunguzi wa jana uluofanywa umedhihirisha kuwa James kaumia sana na kuna uwezekano akafanyiwa upasuaji. Na ikifikia hatua hiyo anaweza akawa nje hata kwenye kipindi cha WC. Bado madaktari wa timu wanaangalia options zilizopo za kumtibu kwa kumfanyia upasuaji au bila upasuaji. Pia bado muda kamili ambao James hatacheza mpira haujajulikana
View attachment 2387044
Je yupo vizuri?
Tukianza kufanya vizuri ndipo wao waanza kuumia sijui Wana pepo la aina gani alafu Chelsea nina walaumu Sana wamefanya signing bila kuzingatia upande wa James sijui ni kwaniniHii imekuwa shida msimu ulioisha alikuwa Chilwell now James halafu wote wameumia kipindi kinachofanana
Tutamalizia January, ila Azpi naye akiumia sijui itakuweje, Itabidi Cheek ndie ashike huo usukani, tubangaishe hadi January japo ni ngumu kumpata Fullback mzuri JanuaryTukianza kufanya vizuri ndipo wao waanza kuumia sijui Wana pepo la aina gani alafu Chelsea nina walaumu Sana wamefanya signing bila kuzingatia upande wa James sijui ni kwanini
Ukiondoa timu ya Wanawake na Wanaume, hizi academy na development team zinafanya vibaya sana kwenye mashindano yao. Sidhani kama tutapata kitu mule. Yaani ni kupasua kichwa tukianza kuangali kwa wale watoto. Kule wachezaji wazuri kidogo wako kwenye midfield. Hatuna ujanja ni lazima tu tubangaize na akina Azpi, Cheek, hadi dirisha la January. Hata Sterling alishacheza kama Wing-back ila kwa upande wa Chilwell, Pulisic naye alishacheza nk. We do not have options zaidi ya hawa wa main teamUpande kushoto tumecover vizuri kwa Chilwell n Cucurella
Sasa huku kulia bila James nani ataziba
Neither Azp Nor Loftus Cheek sio wakuwategemea kila mecho
If kuna uwezo tutafute dogo mzuri huko academy anaeweza kucover,
Hofu yangu ni dhidi ya top team , yule Azp siku akikutana na Martinell utakuwa uchochoro,Ukiondoa timu ya Wanawake na Wanaume, hizi academy na development team zinafanya vibaya sana kwenye mashindano yao. Sidhani kama tutapata kitu mule. Yaani ni kupasua kichwa tukianza kuangali kwa wale watoto. Kule wachezaji wazuri kidogo wako kwenye midfield. Hatuna ujanja ni lazima tu tubangaize na akina Azpi, Cheek, hadi dirisha la January. Hata Sterling alishacheza kama Wing-back ila kwa upande wa Chilwell, Pulisic naye alishacheza nk. We do not have options zaidi ya hawa wa main team