Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naanza kumkubali GP, em niendelee kujionea shughuli.
GP Ni Kocha mzuri , huyu mngempa Zile £250m mlizompa Tuchel angewaletea watu wa Ukweli kama kina CAICEDO ,

GP kitakochomsaidia bado wengi wanamdharau hivo hatakuwa na presha

Mimi bado ugomvi wangu na Hawa makocha wanaotumia £200m+ dirisha moja halafu timu zao zinakaa nyuma , nini maana ya kutumia £200m+ Sasa

Mpe Klopp hiyo 200 uone shughul yake dirisha moja tu ,

Wengi wanajifichia kichaka ohoo hata Klopp ilimchukua miaka 3 kuijenga Liverpool ,nikweli lkn sababu wamiliki wao hawakumpa 200 dirisha moja, walimpa kidogo kidogo, had msimu wa 2017/18 walipomuuza coutinho ile hela ndipo wakampa Klopp £177.5m , ndipo akaleta kina Allison, Vvd , ox, keita,fabinho , n.k ndipo akaipata hi Liverpool ya Sasa inayoishia

Pep alifanya usafi msimu mmoja , msimu wa 2 akapewa £200m+ akabeba epl

Lampard alipewa £230m ,hicho kikos msimu huo huo kikabeba UCL na Tuchel

Ukiona Kocha dirisha moja katumia £200m+ timu bado inacheza kama Westham ,lazima mmliki amtimue

GP kwa ile Brighton ya bajeti ndogo ,asipoingiliwa majukumu ya Usajiri Chelsea atafanya vzr
 
.......... Liverpool ya sasa inayoishia ......... 😂
 
Unamuonaje mkuu Auba snachokifanya huku
 
1665537455246.png
 
Atleast siku hizi comments zako zimekaa kama mdau wa mpira. Safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru ile laana ya no 9 Auba ameiyondoa jamaa nimependa Sana anajua kutumia nafasi namuona kabisa atatupeleka nchi ya ahadi.

Good news pia Mount kiukweli amerudi kwenye ubora wake GP amefanya kazi yake kisawasawa kumrudisha Huyu mwamba mechi mbili ameshatengeneza assist 4
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom