OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,311
Safi sana kazi nzuri sana.Tumeshinda 2 kwa nunge
Safi sana kazi nzuri sana.Tumeshinda 2 kwa nunge
GP anajua kuinua ubora wa mchezaji ila mtu mwenye kibri kama Ziyech hawezi kamwe kuinuka labda apende mwenyewePulisic yupo vizuri na kwa Huyu kocha atafanya awe tishio we si umeona kuwango Cha Mount kilivyorudi
GP anamuona pulisic kama trossard wake, na am sure atamfanya awe Bora Sana.Pulisic yupo vizuri na kwa Huyu kocha atafanya awe tishio we si umeona kuwango Cha Mount kilivyorudi
HUYO TROSSARD MKUUU ACHA NAE KABSA HUYO NI MWAMBA SANAGP anamuona pulisic kama trossard wake, na am sure atamfanya awe Bora Sana.
Nilimshangaaa sanaJana kuna kosa Chalobah alifanya uzuri akawah kurekebisha,
Kutaka kutak kupiga kichwa kweny shm ya kutumia mguu
Nasubiri hiyo miujiza ya Pulisic kupandisha kiwangoPulisic yupo vizuri na kwa Huyu kocha atafanya awe tishio we si umeona kuwango Cha Mount kilivyorudi
Mbabe wa serie A kwa msimu uliopita msimu huu Napoli wako motoKwa hiyo mbabe WA serie A , aka kipanga wao ndio kapigwa nje ndani au sio ?
Hili pia alifanya kwa mane pale darajani ile game tuliotoka 2 kwa 2Jana kuna kosa Chalobah alifanya uzuri akawah kurekebisha,
Kutaka kutak kupiga kichwa kweny shm ya kutumia mguu
Nilimshangaa jana kutaka kurudia kosa lilelile km bado hajaelewaHili pia alifanya kwa mane pale darajani ile game tuliotoka 2 kwa 2
Denis Zakaria Sajiri ya mchongo hi, Kama Juve mbovu anakosa namba na mwenzake melo ,Ni wazi juve walikuwa wanatafutaga Sehemu ya kuwabwaga.TETESI
Ziyech and Densi Zakaria out of POTTER PLANS
Nasikia January wote wanaondolewa, mkataba wa Denis utafupishwa na Ziyech kuuzwa dirisha likifunguliwa
Mendy vipi majeruhi au tayari Kocha anataka kipa mzuri mguuni?
Mendy ashapona, ilq ndio Potter anapenda kipa mzuri kwenye kucheza mpiraMendy vipi majeruhi au tayari Kocha anataka kipa mzuri mguuni?
Auba anajulikana uwezo wake , shida yake nidhamu tuUnamuonaje mkuu Auba snachokifanya huku
Man u hawawez kuelewa wanadai anajenga timu , wanadai mbona Klopp kachukua misimu mitatu,, Sijui Arteta kachukua muda, 🤣🤣Ila Potter Ni Kocha mzuri hata kimbinu ,Chelsea ilishakuwa butu kufunga , niliwahi kusema humu nikashambuliwa ,Chelsea ushindi wao chini ya Tuchel msimu huu ilikuwa 1-0,1-1,2-1,0-0,
Ila Potter ka unlock Attacking , Sijui man u wanakwama wapi kupata makocha Kama Potter, Yule kipara wao anashinda lkn dah unaona kabisa JINI KATOKA MGANGA HOI.
Mech na everton magoli yote mawili Ni Baada ya Gueye na Iwobi kukosea pass , ila Sio Kwamba eti Man u ya kipara unaona kabisa mipango ya kutafuta goli, do za mwisho Man u akapaki Basi🤣🤣(+_+)
Sio Kwamba ana wachezaji wabaya ila naamini Ten hag uwezo mdogo ,anayebisha nipo tayari kwa mjadala
Kwasasa Chelsea ya Potter lazima tuiangalie kwa makini , nabadili Kauli , 🤣🤣
Chelsea ya Tuchel ilikuwa inatabilika , inarukaruka tu,
Lakini Potter timu yake in flow , Ten hag anasubiri miujiza dk 90 aone kasshinda,
Kwasasa Naiona Chelsea kwenye Challenge pale juu .