Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Game ya leo ni ngumu, ila tunahitaj kushinda ili kujiweka katika mazingira mazuri yakufudhu hatua ya 16 bora

Watakaokesekana leo ni Fofana,Kante n Ziyech.
Tukishinda leo tunakuwa na uhakika wa Europa
Tukishinda mechi na Dinamo tunakuwa na uhakika wa kuendelea kwenye makundi ya UCL
Today game is a must win game
 
Jorginho leo kaanza, huyu ndio wasiwasi wangu leo, ndio huenda akawa weak link yetu.

XI vs Milan
Kepa
Chalobah Silva Koulibaly
James Jorg Kova Chilwel
Sterling Auba Mount
 
Jorginho leo kaanza, huyu ndio wasiwasi wangu leo, ndio huenda akawa weak link yetu.

XI vs Milan
Kepa
Chalobah Silva Koulibaly
James Jorg Kova Chilwel
Sterling Auba Mount
Kocha kaangalia jorginho hiko kiwanja kacheza Sana na anajua utamaduni wa huko ukoje so tusubiri tuone nini jorginho nini atafanya kuliko kumjudge mapema yote hiyo
 
Wasiwasi wangu ni Jorginho tu hapo kwenye DM, wanamuweka DM na hawezi kukaba
 
Formation 3-4-2-1

1665512526751.png
 
Chelsea wako mbioni kumuappoint Christopher Viviel kuwa Mkurugenzi wa ufundi, hii ni baada ya Mr Viviel kuachishwa nafasi hiyo Na RB Liepzig juu ya kuwa na maono tofauti.

Huku mchakato wa kumuappoomt Mkurugenz wa michezo ukiwa unaendelea.
Ok
 
Nina mashaka Leo hapo Kwa joginho ,onyo tusije pelekewa Moto Maana joginho ana madhaifu Sana kwenye kukaba ni Bora kidogo ya cheek
 
Niko nimekaa kiti cha mbele kabisa, Poter usituangushe
Silva usituangushe
Aub usituangushe
Sterling fanya mambo
Mount fanya mambo
Chilwell tunakuamini
James wembe ni ule ule
 
Mori yao kaondoka nayo Tomori nje ya uwanja, sasa tutawafanyiza ile mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom