Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pulisic na Ziyech huwataki wakati bado wapo kikosini?

Basi ungewaondoa dirisha la usajili, mbona ukawaacha kikosini?
Kuwepo sio sababu ya kuwatumia. Mbona Chelsea ilikuwa na wachezaji wengi tu na wengine siku wakiondoka ndio tunajua kumbe na hawa walikuwa ni wachezaji wa Chelsea! Kuwapa waanze ni kuharibu morale ya wachezaji iliyokuwa imeshaanza kupanda kwa kuwaweka watu wasiojituma hasa Ziyech. Waingie kutokea benchi ili waprove kuwa wanaweza kuaminiwa

Hawa wachezaji wapo
Conor Galgher
Havertz

Sub
Chukwuemeka
Casadei

Ukisoma maoni ya mashabiki wake wa Kimarekani wanavyosema utumbo kwamba eti Chelsea ina subotage Marekani kwenye WC ili Pulisic asiwe kwenye form ya kuiumiza Uingereza kwa vile wako kundi moja
1665151711299.png

1665151737176.png

1665151864722.png

More here USMNT fans urging Christian Pulisic to leave Chelsea
 
Chelsea wako mbioni kumuappoint Christopher Viviel kuwa Mkurugenzi wa ufundi, hii ni baada ya Mr Viviel kuachishwa nafasi hiyo Na RB Liepzig juu ya kuwa na maono tofauti.

Huku mchakato wa kumuappoomt Mkurugenz wa michezo ukiwa unaendelea.
 
Vip ni mzuri?
 
Et new London cow boy ,yaani mkibadli jina la timu yenu kuwa cow boy nyie mtakuwa mang'ombe kabisa ....

Hivi kweli mnaweza kubadili kutoka Chelsea to new London cow boy ??
Haki nitacheka sana
 
Et new London cow boy ,yaani mkibadli jina la timu yenu kuwa cow boy nyie mtakuwa mang'ombe kabisa ....

Hivi kweli mnaweza kubadili kutoka Chelsea to new London cow boy ??
Haki nitacheka sana
Ni jokes tu hizo za watu,
 
Nasikia Kante alikuwa na mawasiliano na Conte tangu arudi EPL ndio maana kuna tetesi anaedna huko
 
Nadhani tumeanza kuona tofauti ya TT na Potter
Formation ile ile lakini style ya uchezaji tofauti
Potter yeye kaja na ukatili mbele
Hata Chelsea walipokuwa hjawaposes sana kipindi cha kwanza lakini wakipeleka mpira mbele unaona ukatili ambao haukuwepo kwa TT
Hakika, ilimradi isije ikawa ni nguvu za soda tu kwa wachezaji ili kumuaminisha Kocha kuwa wanauweza mpira kisawa sawa, kama mechi yake ya kwanza Joginho kucheza vizuri sana mbele ya Kocha Potter lakini baada ya hapo hajacheza vizuri tena ktk mechi zingine
 
Tusubiri tuone
 
Koulibaly katoka timu ambayo nafasi ilikuwa yake na haikua na ushindani. Kaja kwenye timu ambayo ina ushindani hata kijana wa miaka 19 anaweza kumuweka benchi, YES namaanisha hata Levi Colwill akirudi anaweza mweka Kou benchi asipojituma kama Silva
 
Tunaweza tukawapata Gvardiol na Nkunku kwa paundi mil 100 msimu ujao wa kiangazi
 
Wolves big problem today

Wolves face Chelsea today without,
  1. Sasa Kalajdzic,
  2. Raul Jimenez,
  3. Pedro Neto
  4. Chiquinho are all on the sidelines through injury, while
  5. Nathan Collins and
  6. Ruben Neves are out through suspension.
 
Kante apewe mkataba wa miaka mitatu na atafutiwe Daktari wa Physiotherapy atakayemjenga na kumpunguzia injuries ili tuweze kufaidi potential zake. Huyo daktari pia akae karibu na akina Kova, Fofana na wengineo ambao ni injury prone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom