The coolest jw
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 782
- 1,155
Takataka jo kafunga
Ndio mkuu hiv huangaliagi mpira?
Ndio mkuu mara nyingi live skoo tu mzee ..mishe mishe nyingi😀😀😀Ndio mkuu hiv huangaliagi mpira?
Kataja kilimanjaro. Uyu mtangazaj atakuwa mchaga nini🤣🤣🤣Mtangazaji amesema Milani wana kazi ngumu kupindua meza kama kupanda mlima "Kilimanjaro"
Sawa, haya leta hilo taco lako sasa tulipige kama ngomaHii cheltako Leo tutapiga kama ngoma giroud hat trick![]()
Tukimfunha Dinamo Zagreb mechi ijayo tumemaliza shughulJamani tunaongoza group na hapo hatutoki tena, mechi mbili zilizobaki tutazifunga Dinamo na RB Salzburg