Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyo Ndiye Potter ninayemjua, atawapa Nafas had vijana waliokuwa wanabaniwa,

Potter mzee wa mbinu ,mpira mzuri ,

Na huenda mazoezin Kepa yupo vizuri mguuni kuliko Mendy ,

Mendy atachezea mkeka Sana, Potter miumini wa GK mwenye skills mguuni, rejea Sanchez pale Brighton

Zakaria , Arthur melo pale Liverpool moja ya Sajiri za kitapeli Juve katika kupunguza Wage bills ,Huyo Zakaria mvivu ,Kama Ziyech kwa makocha kama Potter mtashangaa hawachez, halafu wachezaj wanaojituma mazoezin na mashabik mnawadharau wakapata namba

Potter ka suprise watu kikos kilichoshinda dhidi ya Milan kwa wolves kaja nacho tofaut ,

Hata Auba ajiangalie Sana
Umeongea mkuu kama mtu wa mpira
 
Nawapenda sana makocha wa hivi

Mpira mzuri ,watu wanalipa viingilio sio kuja kuona timu inajificha inavizia kaunta

Potter naona hatakawia kuleta mpira mzuri , mzoefu epl

Tuchel alishaishiwa mbinu ,bila Kante cova hapat matokeo, muoga kutumia makinda aliowasajiri
Hiyo ya muoga kutumia makinda ndio Moja ya sababu iliyomfanya afukuzwe chelsea
 
Wesley Fofana, Ngolo Kante na Hakim Ziyech hawapo kwenye orodha iliyosafiri kwenye Milan
 
Umeongea mkuu kama mtu wa mpira
Ukweli hakuna asiyejua uwezo wa Potter , ile timu Brighton ya kawaida tu lakin inacheza soka Safi, halafu Kuna timu kubwa zimetumia mabilon zinacheza ovyo ,

Nimeangalia Chelsea vs Milan nikaanza kuona Potter aki unlock hata eneo la ushambuliaji ambao Tuchel lilimshinda .

Angalia kikos dhid ya wolves , hajaanza na no.9 kashinda goli 3 , Tuchel alishafikia hatua timu haifungi.
 
Kabisa mkuu binafsi sikumbuki mechi ya mwisho tulioshinda goal zaidi ya mawili ni ipi chini ya TT?ukame wa magoal pamoja na soka lisiloridhisha build up yetu ya mashambulizi ilikuwa slow, pass nyingi zisizo na impact yoyote kwa Wapinzani.GP wengi wa mashabiki walikuwa hawajampokea vizuri lakini wanaanza kumuona yupo vizuri jamaa akipewa muda Chelsea itakuwa tishio Sana kwasababu kikosi chetu ni kizuri na tuna vijana wazuri ambao TT hakuwapa nafasi lakini naona kwa huyu kocha anawapa chance na anawadevelop
 
Predicted Line up today vs AC Milan

3-4-2 -1

-------------------- Auba --------------------

---Sterling -------------------------- Mount ---

Chillwell ---- Kovacic ------ Cheek -------James

--Koulibaly --------- Silva---------Chalobah ---

-------------------- Kepa --------------------

AU
4-2-3-1

Sterling ------------- Mount ----------- Galagher

--------- Kovacic -------------- Cheek -------

Cucurela -----Koulibaly ------ Silva------James

Mkuu inawezekana ikawa ni honeymoon tu hawa wachezaji wetu tunawajua sisi bana. Akijaga kocha mupya mzee wanajituma ni hatari. Ila wakishamuzoeya basi kila kitu kinafeli. Ngoja tuone kwa Potter itakuwaje.
 
Predicted Line up today vs AC Milan

3-4-2 -1

-------------------- Auba --------------------

---Sterling -------------------------- Mount ---

Chillwell ---- Kovacic ------ Cheek -------James

--Koulibaly --------- Silva---------Chalobah ---

-------------------- Kepa --------------------

AU
4-2-3-1

-------------------- Auba --------------------

Sterling ------------- Mount ----------- Galagher

--------- Kovacic -------------- Cheek -------

Cucurela -----Koulibaly ------ Silva------James

-------------------- Kepa --------------------
Mendy ndio hana namba tena?
 
Hata cheltako chelwowowo chelyatima cheljuma lokole hata mkishinda nyie ni wasindikizaji tu waja laana nyie yatima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom