Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahaha na THE BLUES ikikata moto inakuwaga kituko mpaka Bournemouth wanatupiga 4 - 0 Stanford Bridge.

Mi nadhani Kocha atengeneze vijana wake wapya ambao watakuwa askari miavuli wake wa kumpambania vitani kila siku bila kuchoka wala usaliti.

Hawa wakina Pulisic, Ziyech, Mount, Kai, Azip, Jorgnho, Mendy sio wa kuamini sana hawakawii kuanza (Uvivu, uzembe na kuzira).
Akiondokaga Jorgninho Chelsea hiyo hali itapungua sana kwa sababu yeye hana consistence na pia passing style yake sio rafiki na ubingwa na kwa umri wake hatutegemei atabadili style yake ya kucheza. Pia squad ikifanywa kuwa pana itaondoa wachezaji wengine kuchoka.

Tukiweza kushughulikia middle tukapata viungo wenye uwezo wa kudefend na kuweka amani nyuma kama Silva alivyofanya na pia wakawa na ari na uchu wa kushambulia kwa kujenga mashambulizi kila mara, kila kitu hapoo Chelsea itakuwa hakuna matata. Mendy atakuwa kipa bora EPL, Pulisic, Mount, Kai watakuwa moto kule mbele

Tatizo kubwa sasa hivi Chelsea ni viungo
Tupate DM supa wawili calibre ya akina Makelele na mshambuliaji mmoja calibre ya Fabregas ili hao uliowahorodhesha waweze kuhudumiwa kule mbele

Ziyech umri haumpi fursa ya kujirekebisha, aondoke tu

Pulisic na Kai umri unawalinda, bado wanaweza kufanya U-turn kwenye zareer yao kwa kuongeza ukatili na umakini kwenye kufunga
 
Diego Costa amsodoa Conte

Akihojiwa baada ya mechi Costa alisema

"Sikuwahi kuwa na matatizo na mashabiki wa Chelsea
Nimeondoka katika mazingira mabaya kwa sababu ya huyo kocha
Niliondoka baada ya ubingwa mara ya pili na yeye hakuliona hilo. Sikuwa na la kufanya hapo
Leo imeonekana wazi kuwa sikuandoka vibaya kwa upande wa mashabiki
Kwangu ni maalum sana, ni hisia kuwa muda niliokaa hapa nilifanya kazi nzuri na nimeacha kumbukumbu nzuri
Mashabiki wa Chelsea daima wamekuwa wakinitendea mema siku zote. Huwa siku zote nashangaa kwa jinsi wanavyonitenda. Inaridhisha"

English version
He said to the foreign media post-match: "I've never had a problem with the fans. I left in bad terms with that manager, I left a champion for the second time, and he didn't count on me. That was nothing I could do. I had to leave. Today showed that I did not leave on bad terms with the fans.

"It's very special. It's the feeling that in the time that you spent here, you did good work and left good memories. Chelsea fans always treated me very well. I was always surprised by the way they treated me. It's satisfying."
1665303868614.png
 
Kwenye squad ya Chelsea wenye shida sasa hivi na Potter ni wachezaji wawili, Ziyech na Denis Zakaria
Na mimi namuona Potter kama kocha anayemsulu mtu direct kule kule mazoezini
Ukifanya uvivu kwenye mazoezi hupewi hata mechi ndogo
Tangu Ziyech aanze mechi ile na Soton wakati wa TT hakucheza tena ukiondoa na ile sub dk ya 81 dhidi ya RB Salzburg

Ziyech hachezi kwa kujituma, anadhani Chelsea ni kama timu yake ya Morocco amabyo anadeka halafu anapigiwa magoti au kubembelezwa, Ziyech hajashuka form kwa maoni yangu. Bado ni mchezaji mzuri anayeweza kufanya vitu kama alivyokuwa anavifanya kule Ajax ila kiburi kitamuondoa kwenye soka mapema kabla hajastahafu
Ziyech ana kibri ile mbaya. Kwa timu kubwa na pana kama Chelsea atasota sana
Kama tu Lukaku tumemnunua 100m na tukamtoa mkopo kwa milioni 8 ndani ya msimu mmoja, yeye hajui kuwa tutamuondoa bure kama tulivyofanya kwa muopka mikate yule Ross Barkley?
 
4-2-3-1

----------------------- Auba ----------------------

Leao ----------- Nkunku --------- Stealing

-------------- Rice ----------De Jong-----------

Chil --- Koulibaly -- Fofana --- James

SUB/ROTATION:- Mount, Broja, Cucurela, Kovacic, Chalobah, Chukwumeka, Gallagher, Thiago, Azip, Casadei, Kai, Cheek.
De Jonga huyo ni mfia Barcelona, amesema yuko tayari kurengetwa mshahara ili tu abaki. Bora hapo ungemweka Wilfred Ndidi wa LCFC au hiyo nafasi ajaribishwe Chalobah
De Jong, Ruben Neves wote hao ni wafia Barcelona, wako tayari hata kulipwa vijidhumni lakini tu waichezee Barcelona
 
Kule high table ina wenyewe bana
Viti vile vinne vina wenyewe
Sisi Chelsea tumeshakalia kiti chetu, kilichobaki ni kubadilisha tu position, iwe ya kwanza, ya pili au ya tatu
Bado kuna mmoja kanyang'anywa kiti sijui anaweza kukidai au ndoo tena imekwisha hiyo
 
Imagine line up ndio hii ya 4-2-3-1, halafu Kante hapati injury, halafu play style ndio hii ya kupress na kupeleka mashambulizi mbele kwa mbele

----------------- Auba -----------------

Leao ----------- Nkunku --------- Stealing

----- Rice ----------Kante-----------

Chil ----- Gvardiol ---- Fofana ---- James
 
Kwenye squad ya Chelsea wenye shida sasa hivi na Potter ni wachezaji wawili, Ziyech na Denis Zakaria
Na mimi namuona Potter kama kocha anayemsulu mtu direct kule kule mazoezini
Ukifanya uvivu kwenye mazoezi hupewi hata mechi ndogo
Tangu Ziyech aanze mechi ile na Soton wakati wa TT hakucheza tena ukiondoa na ile sub dk ya 81 dhidi ya RB Salzburg

Ziyech hachezi kwa kujituma, anadhani Chelsea ni kama timu yake ya Morocco amabyo anadeka halafu anapigiwa magoti au kubembelezwa, Ziyech hajashuka form kwa maoni yangu. Bado ni mchezaji mzuri anayeweza kufanya vitu kama alivyokuwa anavifanya kule Ajax ila kiburi kitamuondoa kwenye soka mapema kabla hajastahafu
Ziyech ana kibri ile mbaya. Kwa timu kubwa na pana kama Chelsea atasota sana
Kama tu Lukaku tumemnunua 100m na tukamtoa mkopo kwa milioni 8 ndani ya msimu mmoja, yeye hajui kuwa tutamuondoa bure kama tulivyofanya kwa muopka mikate yule Ross Barkley?
Mpira wa uingereza sasa hv una demand sana matumizi ya nguvu,kasi na kukaba haijalishi ni kwa striker,midfielder au defender.Wote wanatakiwa wawe na hivyo vitu vitatu. Ziyech ni mchezaji wa slow sana na huwa si mzuri katika kukaba pindi timu inapokuwa haina mpira na physic yake pia ni shida ndo maana huwa anakata moto mapema uwanjani.

Ligi inayomfaa ziyech ni kama serie A, La liga, eredivisie au bundesliga.Epl itampa shida sana .
 
Kwenye squad ya Chelsea wenye shida sasa hivi na Potter ni wachezaji wawili, Ziyech na Denis Zakaria
Na mimi namuona Potter kama kocha anayemsulu mtu direct kule kule mazoezini
Ukifanya uvivu kwenye mazoezi hupewi hata mechi ndogo
Tangu Ziyech aanze mechi ile na Soton wakati wa TT hakucheza tena ukiondoa na ile sub dk ya 81 dhidi ya RB Salzburg

Ziyech hachezi kwa kujituma, anadhani Chelsea ni kama timu yake ya Morocco amabyo anadeka halafu anapigiwa magoti au kubembelezwa, Ziyech hajashuka form kwa maoni yangu. Bado ni mchezaji mzuri anayeweza kufanya vitu kama alivyokuwa anavifanya kule Ajax ila kiburi kitamuondoa kwenye soka mapema kabla hajastahafu
Ziyech ana kibri ile mbaya. Kwa timu kubwa na pana kama Chelsea atasota sana
Kama tu Lukaku tumemnunua 100m na tukamtoa mkopo kwa milioni 8 ndani ya msimu mmoja, yeye hajui kuwa tutamuondoa bure kama tulivyofanya kwa muopka mikate yule Ross Barkley?
Huyo Ndiye Potter ninayemjua, atawapa Nafas had vijana waliokuwa wanabaniwa,

Potter mzee wa mbinu ,mpira mzuri ,

Na huenda mazoezin Kepa yupo vizuri mguuni kuliko Mendy ,

Mendy atachezea mkeka Sana, Potter miumini wa GK mwenye skills mguuni, rejea Sanchez pale Brighton

Zakaria , Arthur melo pale Liverpool moja ya Sajiri za kitapeli Juve katika kupunguza Wage bills ,Huyo Zakaria mvivu ,Kama Ziyech kwa makocha kama Potter mtashangaa hawachez, halafu wachezaj wanaojituma mazoezin na mashabik mnawadharau wakapata namba

Potter ka suprise watu kikos kilichoshinda dhidi ya Milan kwa wolves kaja nacho tofaut ,

Hata Auba ajiangalie Sana
 
Graham potter ni kocha anayehusudu mpira wa pasi na kushambulia kwa sana. Naiona chelsea ikibadilika kimfumo.
Nawapenda sana makocha wa hivi

Mpira mzuri ,watu wanalipa viingilio sio kuja kuona timu inajificha inavizia kaunta

Potter naona hatakawia kuleta mpira mzuri , mzoefu epl

Tuchel alishaishiwa mbinu ,bila Kante cova hapat matokeo, muoga kutumia makinda aliowasajiri
 
The blues tumeimarika sasa tunawataka hao arsenyeto na nyumbu
Arsenal wapo vizuri sana msimu huu...sio wa kuwachukulia kirahisi kama unavyofikiria. Arteta amefanikiwa kuuhamisha mfumo wa pep guardiola na kuupeleka pale emirates!! So ili kuwakabili arsenal unatakiwa ucheze nayo mithili ya unavyocheza na man city
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom