Hii mashine haiuzwiReal Madrid bado wanamtaka Reece James kama replacement ya Carvajal . Tuwapige ngapi? maana kumzuia inaweza ikawa ngumu
Mkuu wazungu si wajinga inaonesha jamaa hayupo kwenye fitness level ndio maana hata benchi hawekwi sio suala la kupewa tu nafasi we si umeona kante karudi japo kapona lakini hata kwenye benchi hawekwi ni kwasababu wanataka awe full recoveryZakaria is eating salary free.View attachment 2380749
Tulia mkuu Everton anakusubiri kukunyoaNyie kenge kwa nafasi mlizopoteza kipindi cha kwanza ikitokea hii game ikaisha kwa draw au kufungwa itabidi muachane na ushabiki wa mpira muende mkachunge ng'ombe.
3 kwa nungeTumeshinda ngapi wakulungwa nianze kusumbua.
Mimi naona Diego Costa leo kaja tu kusalimia mashabiki
Mimi naona Diego Costa leo kaja tu kusalimia mashabiki
Formation ilikuwa ni 4-2-3-1 yeye alicheza katikati kama CAM, Havert striker✓Mount leo naona kacheza kama kiungo mshambuliaji aisee ile pass ya goal aliyompa Pulisic ni ya kiwango Cha juu Sana hiv ndio anatakiwa afanye karibia mechi zote
✓Kepa naona anataka kuwa no 1 uwezo wake wa footwork ni mzuri kuliko Mendy kuna wakati alitoa pass akiwa kwenye pressure nikasema angekuwa Mendy ingekuwa ni boko nafikiri Kepa amefika umri sahihi wa makipa wa kufanya vizuri naona uwezo wa kufanya saves umeimarika Sana
✓Ghaham Potter kuna kitu anakijenga nadhani akipewa nafasi zaidi tutaona sikumbuki mara ya mwisho kushinda goal zaidi ya 2 ila naona team yetu imekuwa inacheza soka la direct na wachezaji wamekuwa sometimes wakiwa huru kuexpress their talents
Au syo ni morari wa mwal mpya?✓Mount leo naona kacheza kama kiungo mshambuliaji aisee ile pass ya goal aliyompa Pulisic ni ya kiwango Cha juu Sana hiv ndio anatakiwa afanye karibia mechi zote
✓Kepa naona anataka kuwa no 1 uwezo wake wa footwork ni mzuri kuliko Mendy kuna wakati alitoa pass akiwa kwenye pressure nikasema angekuwa Mendy ingekuwa ni boko nafikiri Kepa amefika umri sahihi wa makipa wa kufanya vizuri naona uwezo wa kufanya saves umeimarika Sana
✓Ghaham Potter kuna kitu anakijenga nadhani akipewa nafasi zaidi tutaona sikumbuki mara ya mwisho kushinda goal zaidi ya 2 ila naona team yetu imekuwa inacheza soka la direct na wachezaji wamekuwa sometimes wakiwa huru kuexpress their talents
Ile timu iliyocheza jana si ndio ile mnaita ya matakataka, sasa hii analysis yako inaweza ikamisleadJana hongereni the blues tulishinda kwa big margin 3-0 ni liangalia mpira mwanzo mwisho ila tuambizeni ukweli kwamba:
1. Hatuja kua na winning team first 11 ya wakika.
2. Mpira wetu hauna mvuto bado japo kasi ya mashambulizi imeongezeka ila tunapoteza mipira sanaa mbeleni.
3.Mfumo wetu wa uchezaji hautabiliki na huwezi kujua goli litatokea wapi na nani atafunga?
4.Ulizi defence imeimprove sana ila middle field bado pengo la Kante liko wazi asiwachiwe kwasasa.
Ila hi team kimuujiza anaweza aka chukua Uefa au epl Mancity akiiteleza akizembea kama alivyo drop point 11 msimo ulio pita manusura apitwe na Liverpool kwa point moja kuchukua epl.
Ni kweli ila zipp muondoe hapo ana uzoefu tuna wakati tunamhitaji kuongoza team, usimuweka kundi moja na ziechy pulisic na MountHahahahana THE BLUES ikikata moto inakuwaga kituko mpaka Bournemouth wanatupiga 4 - 0 Stanford Bridge.
Mi nadhani Kocha atengeneze vijana wake wapya ambao watakuwa askari miavuli wake wa kumpambania vitani kila siku bila kuchoka wala usaliti.
Hawa wakina Pulisic, Ziyech, Mount, Kai, Azip, Jorgnho, Mendy sio wa kuamini sana hawakawii kuanza (Uvivu, uzembe na kuzira).
Mmh kwani hao takataka halipwi mishahara?Ile timu iliyocheza jana si ndio ile mnaita ya matakataka, sasa hii analysis yako inaweza ikamislead
Sio tu molari unaona kabisa pira likipigwaAu syo ni morari wa mwal mpya?
Jamaa hatasimuelewagi kwenye uchambuzi wake ni mtu wa negative kupita maelezoIle timu iliyocheza jana si ndio ile mnaita ya matakataka, sasa hii analysis yako inaweza ikamislead