Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Here are Evra’s predictions:

Newcastle 2-0 Brentford

Bournemouth 1 -2 Leicester

Man City 4-0 Southampton

Chelsea 2-0 Wolves

Brighton 2-2 Tottenham

Arsenal 3-2 Liverpool

West Ham 2-1 Fulham

Crystal Palace 3-1 Leeds

Everton 1-0 Man United

Nottingham Forest 0-2 Aston Villa.
 
Wolves siwapendi kwasababu wapo very defensive na najua wamefanya homework yao vizuri juu ya Chelsea nawamejua magoal mengi tumepata kupitia upande wa James so watakachofanya nikuziba upande huo ili james haziwe na madhara au hawasimruhusu kupanda nini kinatakiwa ni kwamba tujitahidi tuwe Bora kwenye maeneo mengine tusitegemee tu kwa james pekee
 
Wolves siwapendi kwasababu wapo very defensive na najua wamefanya homework yao vizuri juu ya Chelsea nawamejua magoal mengi tumepata kupitia upande wa James so watakachofanya nikuziba upande huo ili james haziwe na madhara au hawasimruhusu kupanda nini kinatakiwa ni kwamba tujitahidi tuwe Bora kwenye maeneo mengine tusitegemee tu kwa james pekee
Na wakifanya hivyo itakuwa advantage kwetu, lazima watapwaya tu na kuondoa team balance
 
Hii timu ya leo ya Chalobah kuwekwa katikati, duh
  1. No Silva - hata benchi hayupo
  2. No Auba
  3. No Sterling
  4. No James
  5. No Kova
 
1665234518345.png
 
Vs Wolves 343

-------- PULISIC --- AUBA --- ZIYECH -------

CHIL ----- ZAKARIA-----JORG ------CHEEK

---- CUCU -- KOULIBALY -- CHALOBAH --

Mount, Thiago, James, Sterling & Kovacic (Wapumzike kwa ajili ya mechi na Milan Jumanne)
Naona Auba na Chilwell naye kapumzishwa ila Mount yupo. Zakaria naona hata benchi hayupo
 
Kante akiwa mzima robo tatu ya mechi za UEFA, tumebeba tena UEFA
Kante na Kova wakiwa wazima robo tatu ya mechi za EPL, tunaweza beba na EPL
Hii ni fantasy yangu na naamini hivyo
Kiufupi Chillwell ,Kante ,James na Kova ni Engines za timu ,nadhani hata msimu mlishuhudia walipopata majeraha tukatoka kwenye reli ya kugombania title ,Ule Moto ukakata ,hizi njemba zikiwa nzima bila majeraha na fomu zipo fresh , Chelsea in thrive , tofauti na hapo ni majanga
 
Naona hii huenda ikawa 433, ngoja tuone jins tutakavyocheza,

Mashak yangu yapo kwa Azplicueta. Huyu wa sasa anazid kudecline kadri siku zinavyozid kwenda ni tofaut na silva
Nachukuaga Google na huwa mara nyingi wanachapia sana
Kama ni 433 itakuwa imekaa vizuri ila wasiwasi mkubwa kwa Jorginho atacheza nafasi ya DM na hawezi kukata umeme, anatuaribiaga sana kwenye huu mfumo na Silva mwenye kufanya a lot of clearance leo hayupo. Tutegemee pia leo buildi-up za magoli itakuwa nadra sana
4-3-2-1

---------------------Havertz ----------------------

----Mount ------------------------------- Pulisic----

--Galagher ------------Jorginho ------------- Cheek--

Cucurela -----Koulibaly ------ Chalobah ----- Azpilicueta
 
Real Madrid bado wanamtaka Reece James kama replacement ya Carvajal . Tuwapige ngapi? maana kumzuia inaweza ikawa ngumu
 
Huyu pulisic hafai hata kuanza, nashangaa hao mashabik wanaolalamika asipocheza
 
Kocha kwa kuanza awaingize Kova na Auba
Nia na ari ya kushambulia leo ipo tena sana ila nafasi nyingi sana tumepoteza kule mbele
Pulisic alitakiwa awe na hatrick, Mount decision making yake sio nzuri sana, baadhi ya chances alizokosa angeamua vizuri kutoa pasi ingeleta angalau goli moja. mfano pasi aliyompa Havertz wakati akijua ameotea angempa Pulisic ingekuwa goli (Possibly) nk.
Angalau goli la Havertz sio haba, imeturahisishia tukirudi ni kuua game
 
Azp leo ameamua kweli. Tunaenda HT tukuwa tunaongoza 1-0. Goli limefungwa dk 45+
 
Azp leo ameamua kweli. Tunaenda HT tukuwa tunaongoza 1-0. Goli limefungwa dk 45+
Ila pia sababu kubwa tunacheza na vibonde, Wolves tegemeo lao peke la kufunga goli ni counter na wamejaribu kama mara mbili hivi. Azpi yuko relaxed hana presure. Tukicheza na high pressing team, Azpi weka nje na pia wachezaji wengi wa leo weka nje. Jorginho hawezi high pressing
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom