Umekuja kuleta fitna sasa unajifitini mwenyeweNyie kenge kwa nafasi mlizopoteza kipindi cha kwanza ikitokea hii game ikaisha kwa draw au kufungwa itabidi muachane na ushabiki wa mpira muende mkachunge ng'ombe.
Match zipo nyingi mzee.... unataka apange wachezaji walewale kila siku?Leo kocha kaona aanze na matakataka tupu
Alichoongeza Potter ni ukatili kwenye kushambulia na pia naona pressing imeongezekaSijabahatika kuangalia hii mechi.
Ila kwa Line up nilivyoiona na matokeo ninayoona livescore, haina budi kusema kocha Potter kuna kitu amekiongeza au kukiboresha kwa wachezaji.
Tusiseme Wolves ni wabovu kwa sababu tungekuwa tunacheza zile style za back pass kama zamani ingekuwa kazi kuongoza 2 - 0
Litimu lako ni lipi broo wa magauniHivi na nyie ze blauzi mnajihesabiaga mna timu!!??
Serious kabisa!!
Magalasa yaliyofeli timu zao yanakuja kuanza first eleven kwenye timu yenu!
Kiukweli Cheltako mmeishiwa
Leo ilikuwa pia ni fursa ya wachezaji wasiopata muda kudhihirisha kuwa wanawezaMatch zipo nyingi mzee.... unataka apange wachezaji walewale kila siku?
Huu mwezi pekee tulikuwa na match 9 kabla ratiba haijabadilika.
Naona time wanayoingia ni kama game inakuwa ishaisha so inakuwa ngumu kwao kutengemezewa nafasLeo ilikuwa pia ni fursa ya wachezaji wasiopata muda kudhihirisha kuwa wanaweza
Kwa mechi ya leo naona pulisic bado apewe mechi ndogo ili ajiongeze zaidi, kakosa nafasi nyingi sana
Broja pamoaj na kufunga ila bado movemenet zake kule mbele sio nzuri sana, haangaiki kutafuta chances nzuri lii apewe mipira kama wanavyofanya wenzake wa mbele
Kacheza na naona composure yake nzuri, labda anasubiriwa kwenye Carabao na FA ndio atapata nafasi nyingiChukwuemeka amecheza?
Dah natamani nimuone huyo dogo aina yake ya uchezaji
Hivi na nyie ze blauzi mnajihesabiaga mna timu!!??
Serious kabisa!!
Magalasa yaliyofeli timu zao yanakuja kuanza first eleven kwenye timu yenu!
Kiukweli Cheltako mmeishiwa