Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Infact tumechelewa, wakati Hazard anaondoka ndio ilitakiwa tufanye overhauling ya timu lakini, akina Willian, Luiz, gary carhil walitakiwa kufanyiwa replacement na matakataka mengine mengi, sasa hiyo delay ndio inatugharimu
 
Sidhani kama ku-rebulid team kongwe kama Chelsea kinajifanya ionekane dhaifu kiasi hiki, hi team ina uwezo wa kununua first class players, ambao unakuja kumnunua huyu mchezaji kulingana na uwezo wake katika kitu fulani, baada ya kumtazama uko aliko.
huwezi kufanya majarabio ya wa chezaji kwenye fixure ya match day muhimu kama hi, wakati unashinda na wachezaji kila siku ya mazoezi na umekua na friendly matches zakutosha.

Tukabali au tu katae Potter ni mzuri ila viatu vya chalsea ni vikubwa kuliko mguu wake atatembe kdgo kwa kupapasuka na kuanguka.

Makacha wenye asili ya uingereza hawana farisafa za kisasa za mpira wengi wana bebwa na wachezaji eti 4-2-2-2 formant gani hiyo? kwa kweli ataua uwezo wa wachezaji wa chache tulio bakiza potter is gambling hana formant inao eleweka, kwa mfano iliingiza Loftus cheek na pulisic wafanye jipya gani?
Mzee nahisi unapersonal problem na GP kwa mechi ya leo na muda aliokaa na timu ulitegema miracle gani, at least hata timu inajaribu kutake risk pass, Loftus kuingia kulikuwa hakuna namna Jorginho alikuwa uchochoro wa kufanyia mashambulizi. sio kwamba naiman kubwa na Potter ila kwa mazingira ya leo inaonyesha tatizo kubwa ni wachezaji kuliko hata kocha.
 
Kwanini Chelsea is struggling??? Worse even before spending $250m for acquiring new player.......tumeshinda ila mpira hauna mvuto wowote, Chelsea imekua kama team za middle league sidhani kama tutachukua trophy yoyote hata ile ya carabao
Tunasajil ilimradi tunaonekana tumesajil hatuna plan yeyote, ni mda sasa kuanza rebuilding,

Tunasajil wachezaj huku tukiwa hatuna falsafa ya uchezaj, je maeneo muhim yanayoonekena ya udhaif tunayatatua.

Hii tim bado inahitaj overhaul yakutosha, if tunataka kuwa na tim ya kucompete premier kila msim, otherwise tutakuwa tunasajil wachezaj wanaoperform tim flan kwa kuhis wataperform kwetu bila kuzingatia mfumo wetu utamfaa au lah. Then mwisho wa siku tunamuona ni flop kumbe style yetu ya uchezaj haimfai.

Ni mda wa kuanza upya, tutake tusitake,
 
Mkuu Kimmich hajawahi kucheza kama winga, yeye ni DM natural position yake, mara chache alicheza kama RB. Labda kwa sababu anapanda sana ukamchanganya na winger
Kwa asilimia 95% tangu aje Bayern Munich amekuwa akicheza kama Kiungo wa kushoto. Amecheza mara kadhaa kwenye RB position kati ya 2015/18 ila kuanzia nadhani 2018 hadi leo Kimich anacheza kama Kiungo upande wa kulia, spesifically DM, fuatilia utaona.
Pamoja na kwamba nimemfuatilia tangu 2015, sehemu kubwa ni DM ila pia ninatoa evidence ya stats zake kwa mechi 50 zilizopita
View attachment 2373688
Mkuu mechi hamsini si ni kama msimu mmoja tu. Mimi naanza kumjua Kimmich alikua ni Winga
 
Kwanini Chelsea is struggling??? Worse even before spending $250m for acquiring new player.......tumeshinda ila mpira hauna mvuto wowote, Chelsea imekua kama team za middle league sidhani kama tutachukua trophy yoyote hata ile ya carabao
Mkuu hebu tusahau makombe kwa muda. Ndio kwanza mechi ya pili chini ya Potter bado mnalalamia tunacheza vibaya. Tule mtori nyama zipo chini
 
Mzee nahisi unapersonal problem na GP kwa mechi ya leo na muda aliokaa na timu ulitegema miracle gani, at least hata timu inajaribu kutake risk pass, Loftus kuingia kulikuwa hakuna namna Jorginho alikuwa uchochoro wa kufanyia mashambulizi. sio kwamba naiman kubwa na Potter ila kwa mazingira ya leo inaonyesha tatizo kubwa ni wachezaji kuliko hata kocha.
Be stight forward mkuu uongelee pia kwenye formant yake ya leo 4-2-2-2 alikua analenga kupata matokeo gani? Wakati huo sterling ambae ni top scorer wetu kamficha kati kati wakati yule ni winger naturally... potter ni mzuri ila sio kwa Chelsea
 
Mkuu mechi hamsini si ni kama msimu mmoja tu. Mimi naanza kumjua Kimmich alikua ni Winga
Mkuu hata akiwa Leipzig sidhani kama aliwahi kucheza winger. Nilifuatilia mechi tangu 2015 akiwa Bayern hakuwahi kucheza winger. Alianza na RB baadaye wakamuhamishia DM kwenye formation ya 4231 ambayo Bayern ndio wanapendelea kucheza

Taarifa zinasema kuwa akiwa Leipzig alikuwa akicheza DM tu, alipohamia Bayern akachezeshwa kwenye RB na baadaye kuanzia 2018 regularly akawa anacheza nafasi aliyokuwa akicheza Leipzig ya DM
 
1664644277068.png
 
Be stight forward mkuu uongelee pia kwenye formant yake ya leo 4-2-2-2 alikua analenga kupata matokeo gani? Wakati huo sterling ambae ni top scorer wetu kamficha kati kati wakati yule ni winger naturally... potter ni mzuri ila sio kwa Chelsea
Kumbuka alianza na 352 UCL, leo kabadilisha bado. Mwacheni kocha ajaribu namna atakavyoishi darajani, Uharaka wenu wa makombe wekeni pembeni
 
Sidhani kama ku-rebulid team kongwe kama Chelsea kinajifanya ionekane dhaifu kiasi hiki, hi team ina uwezo wa kununua first class players, ambao unakuja kumnunua huyu mchezaji kulingana na uwezo wake katika kitu fulani, baada ya kumtazama uko aliko.
huwezi kufanya majarabio ya wa chezaji kwenye fixure ya match day muhimu kama hi, wakati unashinda na wachezaji kila siku ya mazoezi na umekua na friendly matches zakutosha.

Tukabali au tu katae Potter ni mzuri ila viatu vya chalsea ni vikubwa kuliko mguu wake atatembe kdgo kwa kupapasuka na kuanguka.

Makacha wenye asili ya uingereza hawana farisafa za kisasa za mpira wengi wana bebwa na wachezaji eti 4-2-2-2 formant gani hiyo? kwa kweli ataua uwezo wa wachezaji wa chache tulio bakiza potter is gambling hana formant inao eleweka, kwa mfano iliingiza Loftus cheek na pulisic wafanye jipya gani?
Daah hawa ndio aina ya mashabiki tunaosema siku zote ni ngumu kuendelea au kuiona ile Chelsea tunayotamani. Nasa hivi kwa sababu nyie mnaamini kila wakati unahitaji utumie pesa nyingi unasahau hata usajili wachezaji ghali kiasi gani na wao wanahitaji muda kuzoeana.

All in all naheshimu mawazo yako mkuu
 
Be stight forward mkuu uongelee pia kwenye formant yake ya leo 4-2-2-2 alikua analenga kupata matokeo gani? Wakati huo sterling ambae ni top scorer wetu kamficha kati kati wakati yule ni winger naturally... potter ni mzuri ila sio kwa Chelsea
Ila Sisi mashabiki nao Kwan ulitaka tuingie na mfumo gan
 
Auba ukimpatia Chance anafunga, goal la leo wangekuwa wale viwete wetu mpira ungeenda njee
Shida hatutengenezi nafasi za wazi hata hiyo chance aliyopata Auba huwezi kusema ni clear chance ni half chance kafunga kwa juhudi binafsi.Hatuna kiungo mbunifu na ndio maana strikers wengi wanastruggle wakiwa Chelsea
 
Hiyo hata Haaland angepata shida, that was a very difficult chance. Goli limefungwa bila kuangalia goli tena kwa kugeuka. Ingekuwa ni wachezaji wengine mpaka mpira utulize, upeleke kulia au kushoto halafu uangalie kipa yuko wapi ndipo upige. Saa zote hizo nani atakungoja. Saa nyingine najiuliza kwa nini wachezaji wazuri kama hawa wanazeeka?
 
Mzee nahisi unapersonal problem na GP kwa mechi ya leo na muda aliokaa na timu ulitegema miracle gani, at least hata timu inajaribu kutake risk pass, Loftus kuingia kulikuwa hakuna namna Jorginho alikuwa uchochoro wa kufanyia mashambulizi. sio kwamba naiman kubwa na Potter ila kwa mazingira ya leo inaonyesha tatizo kubwa ni wachezaji kuliko hata kocha.
Huyo Joginho lilikuwa ni swala la muda tu.

Kuna Jamaa flani nilimueleza tangu ile mechi ya kwanza kumkaribisha Kocha mpya Graham Potter kuwa ubora wake ktk ile mechi ilikuwa ni mbwebwe za "Karibu Kocha mpya" kumuaminisha ni bonge la mchezaji bora kumbe ni Maguire aliyechangamka tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom