Kwenye DM Declan Rice ni mzuri kuliko hao wote, sema Declan rice sio mzuri na sio mbunifu kwa kupeleka mipira ya mashambulizi, De Jong anaweza kumshinda kwa attacking phase, Alvarez simjui kwa undani
Kama tunamtaka DM tu wa kuwalinda CB Rice is the best option ila kama tunamtaka a multipurpose MF, De Jong anaweza kuwa bora. De Jong kwa pasi na kupeleka key passes ni better than Rice, ila kwa kulinda goli Rice ana pumzi ya kutawala eneo la hatari na ana uwezo mkubwa wa kublock au kufanya clean tackles kuliko hao wengine
Hizi screenshot mbili ni stats za attacking phase kwa msimu huu ambazo zinaonyesha De Jong ni mzuri sana kule mbele kuliko Rice
View attachment 2372778
View attachment 2372797
Hizi ni stats zinazoonyesha defensive ability ya hao wawili, Rice kamuacha mbali De Jong
View attachment 2372794