Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
Mshakuwa takataka kama Liverpool tu, mshakalia mapeeeeema
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Achana n livescores hizoHii ya Sterling kucheza wing back mnaonaje
Na Chilwell kucheza kama CB, duh
Chillwell angcheza nafasi yake na Sterling angecheza kama second striker
Mara nyingi hizi lineups wanazikosea hata kwenye TV live wale warushaji wanataja lineup tofauti kabisa na inayochezwa uwanjani. Huwa wanaguess kulingana na kocha.Achana n livescores hizo
Jamaa mchokoz wwMbona amchangii chochote uzi utembei kabisa soka vipi linaeleweka.
Unajua maana ya rebuilding???Kwanini Chelsea is struggling??? Worse even before spending $250m for acquiring new player.......tumeshinda ila mpira hauna mvuto wowote, Chelsea imekua kama team za middle league sidhani kama tutachukua trophy yoyote hata ile ya carabao
Pengo la technical director, sajili za maana hatujawahi fanya kama misimu 5 nyuma tuna alot of mediocre playerKwanini Chelsea is struggling??? Worse even before spending $250m for acquiring new player.......tumeshinda ila mpira hauna mvuto wowote, Chelsea imekua kama team za middle league sidhani kama tutachukua trophy yoyote hata ile ya carabao
Lugha rahisi usiumize kichwa, timu bado inafanyiwa rebuilding. Sio tu Technical director wako wengi, wengine wameajiriwa mwezi haujaisha wamefukuzwa, wengine hawajaajiriwa kabisa, nafasi muhimu za wacheza hazikujazwa. So wanaotaka matokeo ya haraka wahamie City ndio timu imekamilika. Sisi bado tunajenga nyumbaPengo la technical director, sajili za maana hatujawahi fanya kama misimu 5 nyuma tuna alot of mediocre player
Abramovich alituzoesha matokeo ya haraka haraka, naona safari hii mashabiki wa kweli wa Chelsea watajulikanaSidhani kama ku-rebulid team kongwe kama Chelsea kinajifanya iwe dhaifu kiasi hiki, hi team inauwezo wa kununua first class players, ambao unakuja kununua huyu mchezaji kulingana na uwezo wake katika kitu fulani, huwezi kufanya majarabio ya wa chezaji kwenye fixure wakati unashida na wachezaji kila siku na imekua na friendly matches zakutosha.
Tukabali au tukatae Potter ni muzuri ila viatu vya chalsea ni vikubwa kuliko mguu atatembe kdgo kwa kupapasuka na kuanguka.
Makacha wenye asili ya uingereza hawana farisafa za kisasa za mpira wengi wana bebwa na wachezaji eti 4-2-2-2 formant gani hiyo kwa kweli ataua uwezo wa wacheji wachache tulio bakiza potter is gambling hana formant inao ileweka, kwa mfano iliingiza Loftus cheek na pulisic wafanye jipya gani?
Mpira ni victory+ trophies sio kitu kingine,Abramovich alituzoesha matokeo ya haraka haraka, naona safari hii mashabiki wa kweli wa Chelsea watajulikana
Msimu huu haitawezekana, msimu ujao ukiwezekana ni miracle, ligi hatuchezi wenyewe, wakati sisi tunarangaranag na midiocre players wao walikuwa wanajenga timu (Man City na Liverpool) sasa tumeshtuka wamejiimarisha. Tukubali na sisi tupitie phase ya rebuilding na kutofanya makosa tena, Rebuilding haifanyiki overnight. Inahitaji muda nimeeleza 3 aspects to considerMpira ni victory+ trophies sio kitu kingine,