Msimu huu haitawezekana, msimu ujao ukiwezekana ni miracle, ligi hatuchezi wenyewe, wakati sisi tunarangaranag na midiocre players wao walikuwa wanajenga timu (Man City na Liverpool) sasa tumeshtuka wamejiimarisha. Tukubali na sisi tupitie phase ya rebuilding na kutofanya makosa tena, Rebuilding haifanyiki overnight. Inahitaji muda nimeeleza 3 aspects to consider
- Kuzoeana kwa wachezaji wapya
- Kocha kujua wachezaji na awatumiaje
- Kuziba viraka na kuwaondo takata na kuwaleta capable players
Tuspoheshimu hii phase tutabakia kuwa midtable team na tutaumia sana na mashabiki wasio wavumilivu kuhama