Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kama tajiri atamwaga hela kiangazi kijacho naomba
  1. Mbele abaki tu Sterling na broja kama sub
  2. viungo wabaki Kovacic na Galagher kama sub hata Mount abaki kama Sub
  3. Wingbacks upande wa James atafutwe mwingine Azpi abaki amalizie mkataba wake kama mshauri wa timu
  4. CB naona kumekamilika sina neno huko
Wanaotakiwa kusajiliwa
  1. Striker au winga wa 20+ goals a season
  2. Viungo wasajiliwe wawili DM an Attacking wote wawili wawe wabunifu
  3. Wingback mmoja wa kulia
Jumla tusajili wachezaji wa nguvu wanne
 
Huu ujinga wa Pulisic huwezi kuona wala kuusikia Man city.

Angekuwa pale CITY angeongea huu ujinga over Grealish, Marhez, Foden

Pep angempiga benchi msimu mzima na angemuondoa kwa makofi.

Pulisic anajiamini kuongea hivi kwa sababu nafasi yake anayocheza THE BLUES, mbadala wake bado ni low quality players.

Mpaka leo namlaumu sana Marina kutujazia magarasa mengi kikosini.

Potter anafanye juu chini awaondoe kikosini Pulisic, Ziyech, Azipuculeta, Jorginho.
Tutakuja ongea lugha moja huko mbelen, tim yetu imejaza matakata mengi ambayo yanajihisi yashakuwa masuperstar wakat bado wanasafar ndefu.

Bila kutatua hili tatizo la wachezaj kujiona wako juu dhid ya kocha tutaendelea na hii circle
 
Kiongozi acha kutuangusha Sasa, Imani imeporomoka ghafla hata msimu haujasogea. Haaland angeletwa pia na wapikaji wangeletwa kama sio msimu huu ni unaofuata. Kwa ninsi ninavyomuona Boehly viungo wote baada ya misimu miwili watakuwa wapya. Na ndio maana Kante anapewa mkataba miaka 2, Jorginho sidhani kama ataongezewa mkataba. Wewe subiri uone
Joginho ,Havertz ,Ziyech , Azpilicuetta ,Pullisic hawa ni takataka WA kuuzwa ,tukubali tukatae kuna madeadwoods kibao mle la sivyo hatutoboi .
Msimu ujao wapigwe bei wanunuliwe replacement za maana
 
1663896180380.jpeg
 
Kila nikisoma hii stori ya Hazard kuhamia Real Madrid nahuzunika. Ni stori ya kumhuzunisha kila shabiki na mpenzi wa soka lakini pia ni stori yenye mafunzo ndani yake kwamba sio kila NDOTO inayokuja kwako ni ndoto njema, ndoto zingine ni MITEGO

Hazard amekuwa akitamba kuwa Real Madrid ilikuwa ni timu yake ya ndotoni "Dream Team" na akaaga kwa mbwembe na ushujaa mkubwa hapa darajani kuwa anakwenda kwenye timu yake ya ndotoni tangu akiwa mdogo lakini ikageuka kuwa wodi ya kulazwa wagonjwa.

Hata wale wa timu ambazo Hazard alikuwa akiwanyanyasa hasa wa Liverpool, Arsenal na Barcelona wakisoma stori ya Hazard wanarudi kumhurumia badala ya kucheka na kudhihaki. Mnyanyasaji yule wa Chelsea aliyekuwa anautendea mpira jambo lolote atakalo leo hii amekuwa FLOP wa kukanyagwa kanyagwa barabarani na wapita njia

EDEN HAZARD NO MORE IN THE WORLD OF FOOTBALL

1663898557718.png
 
Jinsi Bruce Buck, Marina, Petr Cech na Tuchel walivyofukuzwa yaweza kuwa ndio sababu ya kuwafanya watu muhimu kuogopa kufanya kazi na Boehly.
 
Kocha wa AC Milana adai Chelsea ni mteremko kwenye UCL, Empoli ni wagumu kucheza nao kuliko Chelsea

Pioli: ‘Empoli will be more difficult’ than facing Chelsea in the Champions League.
 
Kila nikisoma hii stori ya Hazard kuhamia Real Madrid nahuzunika. Ni stori ya kumhuzunisha kila shabiki na mpenzi wa soka lakini pia ni stori yenye mafunzo ndani yake kwamba sio kila NDOTO inayokuja kwako ni ndoto njema, ndoto zingine ni MITEGO

Hazard amekuwa akitamba kuwa Real Madrid ilikuwa ni timu yake ya ndotoni "Dream Team" na akaaga kwa mbwembe na ushujaa mkubwa hapa darajani kuwa anakwenda kwenye timu yake ya ndotoni tangu akiwa mdogo lakini ikageuka kuwa wodi ya kulazwa wagonjwa.

Hata wale wa timu ambazo Hazard alikuwa akiwanyanyasa hasa wa Liverpool, Arsenal na Barcelona wakisoma stori ya Hazard wanarudi kumhurumia badala ya kucheka na kudhihaki. Mnyanyasaji yule wa Chelsea aliyekuwa anautendea mpira jambo lolote atakalo leo hii amekuwa FLOP wa kukanyagwa kanyagwa barabarani na wapita njia

EDEN HAZARD NO MORE IN THE WORLD OF FOOTBALL

View attachment 2365180
Anatia huruma sana. Walijazana sana ujinga na Courtois wakajiona wao ndio kila kitu.
 
Hata hajamaliza mwezi baada ya kuajiriwa katimuliwa. Tulimsifia sana kwa ajili ya profile yake na mapinduzi ambayo angeleta Chelsea, sasa hizo ndoto basi tena.
Chelsea sack commercial director Damian Willoughby after ‘inappropriate messages’ sent to agent before starting role
Source: Chelsea sack Damian Willoughby after 'inappropriate messages' sent to agent before starting role


View attachment 2363146
The Telegraph say Kim produced texts showing that Willoughby asked if she was naked and introduced sex as a subject, whilst he also posted an alleged sexually-explicit video.

She also said he suggested he would arrange a meeting with Manchester City CEO Ferran Soriano if she agreed to be “naughty”.

Chelsea dismissed Willoughby after Kim alerted the club's president of business Tom Glick about conduct dating back to before he was brought in as a senior executive earlier in September.

The Blues told the Telegraph: “Chelsea Football Club confirms that it has terminated Commercial Director Damian Willoughby’s employment with immediate effect.

"Evidence of inappropriate messages sent by Mr Willoughby, prior to his appointment at Chelsea FC earlier this month, has recently been provided to and investigated by the Club.

"While they were sent prior to his employment at the Club, such behaviour runs absolutely counter to the workplace environment and corporate culture being established by the Club’s new ownership.“

Kim is chief executive of C&P Sports Group and has set up multi-million pound deals between European giants like champions City and Spurs.

The Telegraph say they have seen her text exchanges with Willoughby, showing she repeatedly rebuffed him and reminded him he is married.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom