Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Safisha safisha daraja bado inaendelea, mtaalamu mkuu wa kitengo cha utatibibu wa majeruhi kupitia kukandakanda (Massage), joto na mazoezi ya mwili (Physiotherapist) naye atimua mbio baada ya kufukuzwa kupitia Zoom baada ya kutumika kwa zaidi ya miaka 17

1664351733223.png

1664372414614.png

Jamaa upande wa kulia baada ya miaka 17 anasepa
 
Safisha safisha daraja bado inaendelea, mtaalamu mkuu wa kitengo cha utatibibu wa majeruhi kupitia kukandakanda (Massage), joto na mazoezi ya mwili (Physiotherapist) naye atimua mbio baada ya kufukuzwa kupitia Zoom baada ya kutumika kwa zaidi ya miaka 17

View attachment 2370465
Namna cheltako mmepata magufuli wenu
 
Line up vs Palace on ! Oct

Formation: 3-5-2

-----------Sterling ------------------ Auba -----------

Chillwell ---------Kovacic -------Mount ---------- Jorginho

Cucurella ---------------- Silva ----------------Fofana

-------------------------Kepa------------------------
 
Shujaa wetu wa ubingwa wa UCL 2012 Ramires katangaza kushusha madaluga katika umri wa miaka 35
Tutamkumbuka sana kwa goli lake dhidi ya Barcelona 2012
From nowhere wakati muhimu kwa ushindi anajitokeza na kufunga bao la kiufundi

Hii ilikuwa mechi ya marudiano nusu fainali za UCL ambapo Chelsea ilishinda darajani kwa goli moja bila goli lililofungwa na Drogba dk ya 45+2 kabla ya HT kutoka kwa pasi murua ya kushtukiza kutoka kwa Ramires
Mechi ya marudiano Camp Nou Chelsea ilizidiwa sana na matukio haya makuu matano yalitokea
  1. Terry kupewa kadi nyekundu dakika 36 huku chelsea ikiwa nyuma kwa goli moja
  2. Dakika ya 43 Chelsea inabandikwa goli la pili huku wakichezaji 10 uwanjani
  3. Dakika ya 45 Ramires akitokea katikati ya mabeki wa Barcelona anafunga kwa maringo bila panic yeyote goli na kufanya matokeo kuwa 2-1 kabla tu ya HT
  4. Dakika ya 47 kipindi cha pili Drogba anasababisha penalti huku akionyesha hali ya kukata tamaa, penalti ambayo Mesi alipiga akagonga mwamba wa juu kulia na kurudi uwanjani. Lost chance
  5. Toress anashindilia msumari kwa goli la dakika ya 90 na kufanya matokeo kuwa 2-2
Chelsea ilishinda mechi hiyo kwa aggregate ya 3-2
1664391562692.png

Hii ilikuwa mechi ya marudiano nusu fainali za UCL ambapo Chelsea ilishinda darajani kwa goli moja bila goli lililofungwa na Drogba dk ya 45+2 kabla ya HT kutoka kwa pasi murua ya Ashley Cole
Mechi ya marudiano Camp Nou Chelsea ilizidiwa sana na matukio haya makuu matano yalitokea
  1. Terry kupewa kadi nyekundu dakika 36 huku chelsea ikiwa nyuma kwa goli moja
  2. Dakika ya 43 Chelsea inabandikwa goli la pili huku wakicheza 10 uwanjani
  3. Dakika ya 45 Ramires akitokea katikati ya mabeki wa Barcelona anafunga kwa maringo bila panic yeyote goli na kufanya matokeo kuwa 2-1 kabla tu ya HT
  4. Dakika ya 47 kipindi cha pili Drogba anasababisha penalti huku akionyesha hali ya kukata tamaa, penalti ambayo Mesi alipiga mwamba na kurudi uwanjani. Lost chance
  5. Toress anashindilia msumari kwa goli la dakika ya 90 na kufanya matokeo kuwa 2-2
Chelsea ilishinda mechi hiyo kwa aggregate ya 3-2
View attachment 2371033

Hata lile goli alilofunga Drogba mechi ya kwanza assist ilitoka kwa Ramirez mkuu,lile goli alilowafunga Barcelona nalirudiaga mara nyingi
 
Shujaa wetu wa ubingwa wa UCL 2012 Ramires katangaza kushusha madaluga katika umri wa miaka 35
Tutamkumbuka sana kwa goli lake dhidi ya Barcelona 2012
From nowhere wakati muhimu kwa ushindi anajitokeza na kufunga bao la kiufundi

Hii ilikuwa mechi ya marudiano nusu fainali za UCL ambapo Chelsea ilishinda darajani kwa goli moja bila goli lililofungwa na Drogba dk ya 45+2 kabla ya HT kutoka kwa pasi murua ya kushtukiza kutoka kwa Ramires
Mechi ya marudiano Camp Nou Chelsea ilizidiwa sana na matukio haya makuu matano yalitokea
  1. Terry kupewa kadi nyekundu dakika 36 huku chelsea ikiwa nyuma kwa goli moja
  2. Dakika ya 43 Chelsea inabandikwa goli la pili huku wakichezaji 10 uwanjani
  3. Dakika ya 45 Ramires akitokea katikati ya mabeki wa Barcelona anafunga kwa maringo bila panic yeyote goli na kufanya matokeo kuwa 2-1 kabla tu ya HT
  4. Dakika ya 47 kipindi cha pili Drogba anasababisha penalti huku akionyesha hali ya kukata tamaa, penalti ambayo Mesi alipiga akagonga mwamba wa juu kulia na kurudi uwanjani. Lost chance
  5. Toress anashindilia msumari kwa goli la dakika ya 90 na kufanya matokeo kuwa 2-2
Chelsea ilishinda mechi hiyo kwa aggregate ya 3-2
View attachment 2371033

Chelsea hii mechi sjui mliroga dah
 
Line up vs Palace on ! Oct

Formation: 3-5-2

-----------Sterling ------------------ Auba -----------

Chillwell ---------Kovacic -------Mount ---------- Jorginho

Cucurella ---------------- Silva ----------------Fofana

-------------------------Kepa------------------------
Auba futa andika Broja.
 
Hii line up yako umemsahau mchezaji mmoja, umeweka 10

Twende na 4231

---------------------------- AUBA----------------------

STERLING --------- MOUNT ------------ KAI

--------- KOVACIC ------ JORGNHO --------

CUCU --- KOLABALY --SILVA ---JAMES
Hizo middle zenu, Kova na huyo jojino

Hakuna rangi mtaacha kiuno

Na hao backs zenu mababu,
Mkipelekewa moto mara tatu, kuna moja lazima mtanue mapaja
 
Hii line up yako umemsahau mchezaji mmoja, umeweka 10

Twende na 4231

---------------------------- AUBA----------------------

STERLING --------- MOUNT ------------ KAI

--------- KOVACIC ------ JORGNHO --------

CUCU --- KOLABALY --SILVA ---JAMES
Nilimsahau James (Hii ya backline ya 4 akiwemo Jorginho haifai, labda tukiwa na DM mzuri)

Formation: 3-5-2

-----------Sterling ------------------ Auba -----------

Chillwell ----Kovacic ----Mount ---- Jorginho ---- James

Cucurella ---------------- Silva ----------------Fofana

-------------------------Kepa------------------------
 
Nilimsahau James (Hii ya backline ya 4 akiwemo Jorginho haifai, labda tukiwa na DM mzuri)

Formation: 3-5-2

-----------Sterling ------------------ Auba -----------

Chillwell ----Kovacic ----Mount ---- Jorginho ---- James

Cucurella ---------------- Silva ----------------Fofana

-------------------------Kepa------------------------
Hivi hatuwezi kumconvert Reece James/Chillwell mmoja akacheza kama midfielder Maana naona hawa ndio wana skills za kufit kwenye gap la Kante tofauti na hawa viazi wengine tulionao
 
CHALOBAH anaweza kucheza DM vizuri sana. Alishawahi kucheza hiyo position.

Tatizo lake hawezi kupiga pass kwa usahihi, anapoteza sana mipira anatumia chumba na sebule kutuliza mpira.

Chilwell na James wazuri sana wakicheza pembeni.

Tulifanya makosa sana kutosajili replacement ya Kante mapema. Ule usajili wa Saul kwa mkopo ulitakiwa uwe usajili wa DM mzuri.

Idadi za mechi anazocheza Kante kila siku zinaenda zikupungua kwa sababu ya majeruhi.

Kovacic mechi za October hatazimaliza tatizo lake la misuli litamweka nje wiki 2.

Tutabaki na Jorg, Kovacic na Zakaria
Kwanini wasimtumie Zakaria tumuone
 
Au kama vipi Yule dogo Chukwuemeka na zakaria wapewe mikoba pale kwenye mildfield ili kupata uzoefu na kukomaa zaidi n
 
Shujaa wetu wa ubingwa wa UCL 2012 Ramires katangaza kushusha madaluga katika umri wa miaka 35
Tutamkumbuka sana kwa goli lake dhidi ya Barcelona 2012
From nowhere wakati muhimu kwa ushindi anajitokeza na kufunga bao la kiufundi

Hii ilikuwa mechi ya marudiano nusu fainali za UCL ambapo Chelsea ilishinda darajani kwa goli moja bila goli lililofungwa na Drogba dk ya 45+2 kabla ya HT kutoka kwa pasi murua ya kushtukiza kutoka kwa Ramires
Mechi ya marudiano Camp Nou Chelsea ilizidiwa sana na matukio haya makuu matano yalitokea
  1. Terry kupewa kadi nyekundu dakika 36 huku chelsea ikiwa nyuma kwa goli moja
  2. Dakika ya 43 Chelsea inabandikwa goli la pili huku wakichezaji 10 uwanjani
  3. Dakika ya 45 Ramires akitokea katikati ya mabeki wa Barcelona anafunga kwa maringo bila panic yeyote goli na kufanya matokeo kuwa 2-1 kabla tu ya HT
  4. Dakika ya 47 kipindi cha pili Drogba anasababisha penalti huku akionyesha hali ya kukata tamaa, penalti ambayo Mesi alipiga akagonga mwamba wa juu kulia na kurudi uwanjani. Lost chance
  5. Toress anashindilia msumari kwa goli la dakika ya 90 na kufanya matokeo kuwa 2-2
Chelsea ilishinda mechi hiyo kwa aggregate ya 3-2
View attachment 2371033

Hilo goli ambalo Ramires alimfunga Valdes kwa kuuchop mpira jamaa kalichorea tattoo kabisa
 
Hivi hatuwezi kumconvert Reece James/Chillwell mmoja akacheza kama midfielder Maana naona hawa ndio wana skills za kufit kwenye gap la Kante tofauti na hawa viazi wengine tulionao
Sikumbuki nilisoma wapi ila katika pitapita zangu mitandaoni niliona kuna mahali wameandika katika hizi mechi za kirafiki Potter kamchezesha Chalobah kama kiungo mkabaji na amefanya nae mazungumzo kuona kama anaweza kumbadilisha position.
 
Hapo ndipo tunapofeli sasa kikosi chetu kina upana wa QUANTITY na sio QUALITY.

Na hizi mechi mfulilizo KOVACIC hataweza kuzihimili lazima misuli yake iwake moto kama kawaida. Atakaa nje wiki 2 kuiguza.

KANTE atarudi uwanjani kumbeba Jorginho mgongoni, baada ya Mechi mbili tatu ataumia tena atarudi kitandani.

JAMES atacheza mfulilizo bila msaada ataumia atakaa nje.
Pale Real Madrid kuna daktari alimsaidia Hazard kuwa injury free sasa kama nasisi tunampata mtu kama huyo naamini hawa kina Kante, Kovacic zitabaki kuwa injury za kawaida sio zile za kuwaweka nje miezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom