Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapa kwetu pametulia sana, au tumekata tamaa!?

Mimi najua tutarudi tukiwa imara zaidi chini ya Potter
 
Timu ya Taifa la England (The Three Lions) lashushwa daraja Uefa National League kutoka Leage A kwenda League B
Wachezaji supperstars lakini wanacheza kilegelege sana
 
Timu ya Taifa la England (The Three Lions) lashushwa daraja Uefa National League kutoka Leagu A kwenda League B
Wachezaji supperstar lakini wanacheza kilegelege sana
Timu haina kocha wakuorganize vile vipaji, kocha had leo anakomaa na back 3 ,hataki kubadilika ,anawaacha Creative MD Kama maddson ,analeta mabisho Kama Grealish,

Anakomaa na kina magwaya, Wakati kwasasa ana CB wazuri wengi tu
 
Edson Alvarez for Ngolo Kante

Chelsea are expected to renew their interest in Mexican midfielder Alvarez in January.

According to transfer journalist Ben Jacobs, via football.london, the player also wants to complete the deal after a £40million bid was rejected by Ajax.

Alvarez, 24, may be a more expensive proposition in the January window however, particularly if he enjoys a good World Cup.
 
Luke Harris

Chelsea are in advanced discussions to sign Jersy-born striker Harris, 17, for a whopping fee of £30m according to the Mirror.

Having scored a hat-trick in an Under-21s clash with the Blues, Harris signed his first pro deal with their London rivals earlier this month.

An initial fee worth £25m is said to be on the table with around £5m extra in add-ons.
 
Umuhimu wa Kante na Way Forward kwa DM
Katika mechi 58 za TT akiwa kocha, Kante hakucheza 19
Katika mechi 44 alizocheza Kante, Chelsea imeshinda mechi 25 na imepoteza 4 tu na kufungwa goli 26
Katika mechi 19 ambazo Kante hakucheza, Chelsea imepoteza 7 na kushinda 9, imebugizwa goli 28
Hata kwenye umri wa 30+yrs bado Chelsea inakuwa na nafasi kubwa ya kushinda tofauti na asipocheza
mojawapo ya iliyomfanya Tuchel aanze ligi na UEFA vibaya ni kwa sababu ya Kante kuwa majeruhi

Biosca aliyemudu kumuweka Hazard injury free ameondoka na sasa atakayeletwa sijui kama atamudu kumuweka Kante injury free!
Mkataba wake nao naona una mauza uza, Juve wanamtaka na PSG nao hawajakata tamaa ya kumsajili

Chelsea bado wanamtaka Edson Alvarez kama replacement yake

Huko tunakokwenda bado giza kwa sababu tusipompata replacement ya kweli ya Kante Chelsea itaendelea kuwa kapu la magoli
 
Hatima ya POTTER Chelsea iko kwenye mabano

Ukweli ni huu, Boehly kampa Potter mkataba mrefu na mazingira mazuri ya kufundisha Chelsea
Hata tusipofuzu top 4 ataendelea kuwa kocha
Hata asipobeba vikombe ataendelea kuwa kocha
Tatizo la mpira ni kwamba akili huwa haina mawasiliano na hisia
Akili inasema hivi na hisia inasema vile

Ukweli ni kwamba Chelsea isipokuwa na matokeo mazuri, ikafungwa kizembe zembe, maisha ya Potter hayatakuwa salama Chelsea
Boehly ni kiongozi asiye na uvumilivu kuliko hata Abramovich

Hata Potter akifanya vizuri kwa maana ya kubakiza timu top 4 msimu huu, demand kutoka kwa wamiliki itapanda msimu ujao. Asipobeba kikombe kikub wa kwenye msimu wake wa pili hataingia msimu wa tatu, atafukuzwa

Na mimi kwa maoni yangu, mazingira legelege aliyopewa Potter kwenye mkataba unaweza kumfanya abweteke na hivyo akasahahu kuwa Chelsea inatakiwa ibebe vikombe
 
Huyo boehly na potter wanataka waigeuze Chelsea chuo Cha mpira wanakuza vijana Kisha wanauza kwa bei kubwa kama wanavyofanya Ajax, Dortmund,benfica hii timu haitakuwa ya kuchukua makombe makubwa Tena
 
Wachezaji wetu waendelea kufanya vizuri kwenye timu zao za Taifa
Havertz on the double score sheet for German and Mount on the score sheet for England
Reece James Assist
 
Huyu HARVETZ wa timu ya taifa na THE BLUES ni wachezaji wawili tofauti.

Tofauti inatokana na aina ya wachezaji anaocheza nao kati ya hivi vikosi viwili.

Ujerumani kuna mafundi wanaomzunguka Kai mfano Gundogan, kimmich, Sane, Gnabry, Muller

Pale THE BLUES wachezaji wanaomzunguka hawana uwezo na maamuzi ya kiufundi, hawapigi pass zinazoeleweka, hawaurahisishi mpira bali wanalazimisha vitu ambavyo havipo.

Kai ni mbunifu sana, ana umri mdogo lakini ana akili kubwa ya mpira.

Kama kawaida THE BLUES tutaishia kumuuza Kai na kuleta matakataka, badala ya kusajili mafundi wengi zaidi.
Kuna watu humu wanamuita Kai takataka tukimtetea tunaambiwa hatujui tunatetea eti kisa kafunga goli la ushindi UEFA. Wakati wengine tumemfahamu Kai misimu miwili kabla hajasajiliwa Chelsea
 
1664287356187.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom