lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,910
Hii mada angejibu vizuri zaidi mlengwa, najua anamis lakini sio kwa kuwafananisha na hawa kenge wetuSi kwamba hallaand nae hapotezi nafasi anapoteza ila ana uhakika wakupata chance zingine za maana na ndio maana confidence yake inakuwa ya juu lakini kwa Chelsea je inaweza ikawa hivi?