Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
[emoji3591] Huyo kocha bora alipokua Everton alifanya nini? Pamoja na ubora wake lakini hakufua dafu kwa wachezaji wa kawaida, muangalie alipokutana na qualityPale wana kocha bora, tena hiyo timu imeboreshwa dani ya mwaka moja kwa asilimia kubwa Madrid ya mwaka jana sio hi........sisi tumeanza kujuficha kwenye kujenga timu, nani asie jenga timu?
[emoji3484] Chelsea haikua inajenga timu ilikua inafanya kitu sawa na msuli zimamoto, mnasajili lakini anakuja kocha mwingine baadhi ya wachezaji wanaanza kuonekana takataka
[emoji783] Unapojenga timu haina maana hautafanya maboresho, hao kina Vinicius, Rodrygo walikua ovyo sana kipindi wamefika lakini angalia saivi wameimarishwa na kuongezewa watu kina Tchoumeni, Alaba, Camavinga na Rudiger(maboresho) hawana expenditure kubwa