Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea's majority owner, Clearlake Capital, announces $2.5bn in fundraising for their 'COP 3' scheme (a model focused on non-controlling investments for partners). Clearlake also confirm they've raised $27bn since the start of 2021 & have $70bn of assets under management.
 
Hata hajamaliza mwezi baada ya kuajiriwa katimuliwa. Tulimsifia sana kwa ajili ya profile yake na mapinduzi ambayo angeleta Chelsea, sasa hizo ndoto basi tena.
Chelsea sack commercial director Damian Willoughby after ‘inappropriate messages’ sent to agent before starting role
Source: Chelsea sack Damian Willoughby after 'inappropriate messages' sent to agent before starting role


1663723938403.png
 
1. Mkurugenzi gani wa michezo mzuri atakubali kufanya kazi na Tajiri miluzi (mhemko/papara nyingi kwenye kuendesha timu)?

2. Mkurugenzi gani wa michezo mzuri atakubali kuja kufanya kazi na kocha mwenye uwezo mdogo?

3. Mkurugenzi gani wa michezo mzuri atakubali kuja kufanya kazi kwenye club ambayo haijatulia ajiri na fukuza nyingi?

4. Mchezaji gani mzuri baadae atakubali kuja THE BLUES timu yenye tajiri mhemko?
Soon atakuwa takataka. Hahahaaa 😉
 
According to new reports, #Chelsea are considering an early recall of Hudson-Odoi from Leverkusen to London, which they can push through under the terms of the loan.

Potter had an interest in signing CHO for his previous club Brighton. #CFC
 
Hata Mount unamuweka, kweli wewe umetumwa, mchezaji mwenye uwezo wa kufukisha double digits kwenye magoli na assists kweli na ameprove hivyo. Mchezaji bora kwa misimu miwili iliyokaribiana, misimu mitatu ya first team, mchezaji bora misimu miwili. Futa kauli yako juu ya Mount ama watakuona huelewi soka
mount anatuzngua sana kwa nafas yake anahitajka mtu ambae awe anarahsisha mpira kwanza yeye hilo hawez anacheza mpira mgum kwa maana cio creativity pil hatengenez nafas,hawez hat kumdrible mchezaj sas namba kum gan huyo jarbu ku refer namba kum wa chelsea kabla ya mount na huyo chz havertz

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
 
Tajiri miluzi mapepe, papara, ujuaji mwingi mbele giza. Mipango yake anaifanya vise versa.

1. Angemuajiri kwanza Mkurugenzi wa michezo.

2. Tajiri na Mkurugenzi wa michezo washauriane na kumleta kocha mpya, atakayematch maono na mipango yao.

3. Kufanyika kwa Usajili.

4. Kuajiri na kuboresha vitengo vingine vya kimasoko n.k

Sasa Tajiri miluzi ameanza kwa kufukuza watendaji wakuu, amejimilikisha vyeo vyote, kafanya sajili za kukurupuka kwa kushirikiana na TT na amemfukuza.

Kamleta Potter ambaye atapata Changamoto ya kufanya kazi na wachezaji ambao hakuwasajili, wachezaji kachumbari, mwisho wa siku tajiri miluzi atakurupuka tena atamfukuza.

Yaani bora dirisha hili tusingesaji wachezaji bali wangeletwa kwanza Mkurugenzi wa michezo na kocha halafu Tajiri, Mkurugenzi na Kocha wakakaa pamoja wakakisoma kikosi na kushauriana kisha kuja na mahitaji na mipango ya kukiboresha kikosi kimkakati kwenye madirisha yajayo ya usajili.

Tungekwenda vizuri kuliko hii vise versa ya sasa
kutosajil kabisa ilikuw haiwezekan kwa sabab tulishauza mabek watatu na ndio sabab inayotusumbua chelsea hilo dirisha mbali na kusajil viongoz wa ngaz tofaut tulitakiw tuwalinde wale mabek tuliokuwa nao ndpo tusajil frontline na midfielder mmoja ingependeza zaid

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
 
mount anatuzngua sana kwa nafas yake anahitajka mtu ambae awe anarahsisha mpira kwanza yeye hilo hawez anacheza mpira mgum kwa maana cio creativity pil hatengenez nafas,hawez hat kumdrible mchezaj sas namba kum gan huyo jarbu ku refer namba kum wa chelsea kabla ya mount na huyo chz havertz

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Akipatikana calibre kubwa zaidi yake hakuna mtu atapinga kabisa. Nikweli nafasi kama ya kwake inamuhitaji kiungo mbunifu sana kama akina Modric au Tchouameni
 
"Nimedanganywa na Conte"

Batshuayi afunguka na kumshutumu kocha wa zamani wa Chelsea Antonio Conte kwa kumshawishi kuja kujiunga na klabu hiyo ya mjini London kwa kumuahidi kuwa angemtumia kama striker wa pili sambamba na Diego Costa. Batshuayi aliamini kabisa kwa sababu tangu aanze kazi yake ya ukocha Conte amekuwa akitumia mfumo wenye washambuliaji wawili mbele.

Batshuayi alisajiliwa mwaka 2016 siku chache baada ya Conte kupewa kandarasi ya kuifundisha klabu hiyo ya darajani. Kacheza tu mechi 53 na katika hizo mechi kacheza wastani wa dakika 33.4 kila mechi kwa muda wote akiwa chini ya Conte.

Kwa sasa mshambuliaji huyo wa timu ya taifa la Ubelgiji amehama Chelsea na kusajiliwa na klabu ya Fenerbahçe ya Uturuki
1663818674498.png
 
Chelsea virusi viko vingi bado, Hii ni kipindi kile tulivyobeba UCL 2021.

Screenshot_2022-09-22-10-29-32-795_com.twitter.android.jpg
 
Antonio Rudiger amuelezea Carlos Ancelotti kama Untouchable baada ya Kocha huyo kumtembelea nyumbani kwake wakala chakula pamoja na familia ya Rudiger na kuchat kwa masaa mawili na ushenzi.

Sasa anasema kwa kudeal na wachezaji, Ancelotti ni "UNTOUCHABLE"

Antonio Rudiger on Calrlos Ancelotti


‘untouchable’

He told German outlet Sport1:

‘I had only been in our new house with my family for a few hours – we were just barbecuing – and the doorbell suddenly rang.

‘I opened it and Carlo Ancelotti was just standing in front of me. A wow moment. He sat down at the table with us, ate with us and got to know my family.

‘Very normal, very down-to-earth. He was there for two hours, we talked about everything.

I’ll be honest, I’ve never experienced anything like it, no coach has ever done something like that for me. After the few months with him,

‘I have to say: When it comes to dealing with players, Ancelotti is untouchable. Stop Don Carlo, a coaching legend – he already collected Champions League titles when I was a child.

‘Working with him every day now and at the most successful club in the world is wonderful.’

1663837199168.png
 
Huu ujinga wa Pulisic huwezi kuona wala kuusikia Man city.

Angekuwa pale CITY angeongea huu ujinga over Grealish, Marhez, Foden

Pep angempiga benchi msimu mzima na angemuondoa kwa makofi.

Pulisic anajiamini kuongea hivi kwa sababu nafasi yake anayocheza THE BLUES, mbadala wake bado ni low quality players.

Mpaka leo namlaumu sana Marina kutujazia magarasa mengi kikosini.

Potter anafanye juu chini awaondoe kikosini Pulisic, Ziyech, Azipuculeta, Jorginho.
Na kwa taarifa yako Pulisic alikuwa garasha toka BVB, hakuwahi kuwa quality player, ndio maana mimi simuwekagi Pulisic kwenye wachezaji walioflop hapa Chelsea bora hata Ziyech na Werner tukiwaita flops
Garasha + Majeruhi =Takataka kweli kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom