Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sisi wa kwetu wa miaka 19 hadi 23 tunawaona bado, waende mkopo au wauzwe kabisa, hawajatosha kuchezea timu kubwa kama yetu. Halafu tukikutana nao hao wa miaka 15 wakiwa kwa wenzetu wanatutesa hadi raha. Mkumbukeni Lamptey, Musiala n.k. Tuwape watoto confidence, watakuwa kama simba mbarara. Throw them on the pitch and let them have fun.
Screenshot_20220918-161536_OneFootball.jpg
 
Naona kwenye huu uzi karibu kila mchezaji ni takataka...!
Kuna mtu kule kwenye uchambuzi wa epl kaandika hivi:

Haaland has scored 11 goals (tapins) in 7 games while having De Bruyne, Cancelo and Silva behind him. If he thinks that's a record, he should come to Chelsea, take the number 9 jersey while Having Jorginho, Havertz, Loftus cheek behind him and Koulibanus at the back, and then prove himself .

Kumbe watu wengi wanaona tuna wachezaji taka taka. Loh inauma sanaa blues yetu
 
Sisi wa kwetu wa miaka 19 hadi 23 tunawaona bado, waende mkopo au wauzwe kabisa, hawajatosha kuchezea timu kubwa kama yetu. Halafu tukikutana nao hao wa miaka 15 wakiwa kwa wenzetu wanatutesa hadi raha. Mkumbukeni Lamptey, Musiala n.k. Tuwape watoto confidence, watakuwa kama simba mbarara. Throw them on the pitch and let them have fun.View attachment 2360756
Hivi aligusa mpira kweli, naona Arteta akitaka tu kuvunja hiyo rekodi
 
Kuna mtu kule kwenye uchambuzi wa epl kaandika hivi:

Haaland has scored 11 goals (tapins) in 7 games while having De Bruyne, Cancelo and Silva behind him. If he thinks that's a record, he should come to Chelsea, take the number 9 jersey while Having Jorginho, Havertz, Loftus cheek behind him and Koulibanus at the back, and then prove himself .

Kumbe watu wengi wanaona tuna wachezaji taka taka. Loh inauma sanaa blues yetu
Muwe na subira, hata hiyo city ilijengwa Kwa miaka 7 wakati wao wanajenga sisi tulikuwa tunalewa
 
Tumefungwa leo na Liverpool 2-1 WSL, kwa taarifa zaidi Liverpool women wame
 
Wakuu angalieni mechi ya Atletico Madrid na Real Madrid muone nini maana ya project
Pale wana kocha bora, tena hiyo timu imeboreshwa dani ya mwaka moja kwa asilimia kubwa Madrid ya mwaka jana sio hi........sisi tumeanza kujuficha kwenye kujenga timu, nani asie jenga timu?
 
Pale wana kocha bora, tena hiyo timu imeboreshwa dani ya mwaka moja kwa asilimia kubwa Madrid ya mwaka jana sio hi........sisi tumeanza kujuficha kwenye kujenga timu, nani asie jenga timu?
Hata Arsenal wana koicha bora na alianzia ukocha hapo Arsenal
 
Wakuu angalieni mechi ya Atletico Madrid na Real Madrid muone nini maana ya project
Mkuu nimecheki mechi yote
Wale simba mbarara wa Real Madrid ni hatari na playing style ndio inawabeba pamoaj na talents
Wakipoteza mpira wameurudisha kwa udi na uvumba, pasi fupi fupi na za kwenda mbele sijawahi ona back passes nyingi au sideways passes. Wanapiaga zile throgh passes katikati yua miguu ya opponent bila kujali watanyang'anywa. Tchouameni ni kiungo copy and paste wa Fab at this young age. Akikaa pale Barnabeu 5 yr sijui atakuwaje

Kwa ufupi ujenzio wa Real Madrid ya safari hii umejengwa katika vijana wadogo wa pale academy wakichanganya na majina makubwa ila bado ni young age

Na sisi Chelsea tutatoboa tu pamoaj na kuna mashabiki wengine wasioamini juu ya hii project. Wamezoeshwa na Abramovich kununua wachezaji waliovia timu nyingine na makocha wa majina makubwa. Bila kusahau kuwa hao makocha kuna sehemu walianzia na mfano halisi ni PEP na sas Xavi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom