Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Todd boehly ameanza kupishana maneno na kocha wake potter kuhusu Ngole Kante alivyo taka kufanyia swap na mchezaji wa miaka 20 wa Brighton kwabb, kamwambia utaniaribia timu huwezi kupata mchezaji kama Kante.

"He can never replace N'golo Kante" Todd Boehly rebuked Graham Potter's decision to swap him with 20 year old Brighton star #footballchallenge #Chelsea
Hizi habar mbona hazipo boss, au ndio chuki kwa potter.

Issue ya Kante iko hivi,
Kante amereject mkataba wa 2 year +1, huku yeye akitaka 3yrs +1yrs
According to David Ornstein

Sasa wewe sijui hiyo habar yako unaitolea wapi au ndio chuki
 
Mkuu akiwa Brighton alichukua kombe gani? Ili alichukue pia akiwa Chelsea
Sawa Potter ajawahi chukua Kombe lolote wakat yuko Brighton, je wakat sarri anatoka Napol alikuwa na kombe gani??

Au wakat Pep anaichukua Barce alikuwa na kombe gani kashinda??? Au ndio chuki kwa Potter
 
Its all about consistence mkuu, Tim yetu inahitaj Rebuilding, na si 1 summer utegemee ukacompete toe to toe na city, Rather than utry kuclose gap lilopo na wale mnaotafuta top 4

Ni msim wa 5 or wa 6 sasa hatujawa na team hata iliyowah fika top 2 tangu conte aondoke. O iliyowah pigania ubingwa halaf ije lost kwa dakika za mwisho.

Team yetu inahitaj rebuilding, man utd ukiwaaangali katika spending table ya misim 5 iliyopita wako juu ila now wamekubal wanahitaj rebuilding, n kidogo kidogo unaona hata wanaanza kurudi
Mkuu ni kweli unalo sema ila rebuilding na kuchukua vikombe viende sambamba bila moja kuacha kingine otherwise potter atafukuzwa asipo leta vikombe

kwasabb timu itapoteza mvuto na thamani...... Chelsea ina utamaduni wa kuchukua kikombe chochote kila msimu au kucheza finali yoyote FA carbao au uefa mbali na hivyo mashabiki hawatamvumilia hata Boehl
 
Covax tatzo upo kwenye matazamo Negtve sana kuhusu potter
Hapana mkuu usinge ni jaji hivyo wewe leta mtizamo wako positive kwa hoja nta upokea vizri.

kama mashabiki ni vizuri tuwe na mitizamo tofauti bila kutukanana wote goli ni moja furaha kwa kushida mechi nyingi na kuchukua vikombe.

Ila mimi binafsi Potter na mpenda na ni kocha mzuri kiwastani, ila jukumu la kujenga timu kubwa kama chelsea yenye pesa na kuchukua vikombe naona kama ni kubwa kuliko uwezo wake, timu kam Brighton haina pressure za mashabiki na tajiri ni rahisi kuzihedo ila sio hizo Big 4 teams
 
Hapo mkuu umemalizia vizri akishindwa atafikunzwa mapema tu,.......kwangu Potter ni kocha mzuri ila majukumu na mategemeo alio nao ni mengi na makubwa kwa uwezo wake

1. Licha cha kutokua na kombe lolote hajawahi ku-managi timu kubwa kaliba ya Chelsea.
2.hawezi akalea wa academy na kuwakuza kwa kuwapa mechi za epl na kwa wakati huo huo alete vikombe lazima atapoteza moja.
3. Ameaanza epl akiwa analinganishwa na makocha wenye uzoefu mkubwa kama TT Pep Klop na Conte wakati kimbinu hawafikie hata nusu.

Kwa hapo lazima atashindwa akijitahidi sana atamaliza msimu hu wote na nusu msimu ujao ndo atimliwe tu.
Ila mada yangu ya msingi hujagusa, Klopp na TT uzoefu wao kwenye timu kubw uko wapi?
 
Todd boehly ameanza kupishana maneno na kocha wake potter kuhusu Ngole Kante alivyo taka kufanyia swap na mchezaji wa miaka 20 wa Brighton kwabb, kamwambia utaniaribia timu huwezi kupata mchezaji kama Kante.

"He can never replace N'golo Kante" Todd Boehly rebuked Graham Potter's decision to swap him with 20 year old Brighton star #footballchallenge #Chelsea
Kiukweli tunamwitaji Kante hili wala si la kupinga naungana na Tajiri
 
Ndo maana wa lifukuzwa mapema mkuu, tena kumbuka mkuu Di matteo alikua masaidizi wa kocha mkuu wa Chelsea kwa mda mrefu ndo maana aliweza ata kubeba Uefa alikua na uzoefu kiasi.
Arteta kawa msaidizi wa Guardiola je Unaweza ukasema Anaweza kushinda epl au Uefa?
 
Todd boehly ameanza kupishana maneno na kocha wake potter kuhusu Ngole Kante alivyo taka kufanyia swap na mchezaji wa miaka 20 wa Brighton kwabb, kamwambia utaniaribia timu huwezi kupata mchezaji kama Kante.

"He can never replace N'golo Kante" Todd Boehly rebuked Graham Potter's decision to swap him with 20 year old Brighton star #footballchallenge #Chelsea
Kwani walisemaje? lete full mazungumzo/hoja
 
Sawa Potter ajawahi chukua Kombe lolote wakat yuko Brighton, je wakat sarri anatoka Napol alikuwa na kombe gani??

Au wakat Pep anaichukua Barce alikuwa na kombe gani kashinda??? Au ndio chuki kwa Potter
Umemjibu vizuri Sana
 
Hapana mkuu usinge ni jaji hivyo wewe leta mtizamo wako positive kwa hoja nta upokea vizri.

kama mashabiki ni vizuri tuwe na mitizamo tofauti bila kutukanana wote goli ni moja furaha kwa kushida mechi nyingi na kuchukua vikombe.

Ila mimi binafsi Potter na mpenda na ni kocha mzuri kiwastani, ila jukumu la kujenga timu kubwa kama chelsea yenye pesa na kuchukua vikombe naona kama ni kubwa kuliko uwezo wake, timu kam Brighton haina pressure za mashabiki na tajiri ni rahisi kuzihedo ila sio hizo Big 4 teams
Watu wengine wanaona tayari mabadiliko chanya anayofanya Potter kwa timu katika mechi yake tu ya kwanza. Akipewa muda anaweza kufanya makubwa. Atahitaji wachezaji wake wayajue na kuyakubali maelekezo yake, wafahamiane (gelling) and hit the ground running.

Angalia Pep na Klopp katika misimu yao ya kwanza na pili walifanya nini. Lakini with time wanafanya nini sasa na wameachieve kiasi gani. Hata sisi bado tupo na muda wa kutosha. Kila timu/club itaonja umauti (slump) in form. Lakini kufufuka pia kupo. Angalia Arse na Manure. Walijua watapita katika hayo mapito? Kila kaya italia msiba kwa wakati wake.
Screenshot_20220918-101223_OneFootball.jpg
 
Ila mada yangu ya msingi hujagusa, Klopp na TT uzoefu wao kwenye timu kubw uko wapi?
Mkuu umesahau kwamba TT na Klop kabla ya kuhamia epl walisha wahi kuongoza timu kubwa na wachezaji wenye vipaji na pesa kama Neyma mshahara wake ulikua mkubwa kuliko wa kocha pia kumbuka hao ma kocha sio wa ingereza mataifa yao yali wabeba sana kwa kua kocha wa zuri tofauti na kocha kutoka Uingereza wana dhaurika sana kwa kua na poor technicalities za mpira bila ubunifu, siku hizi kila kocha lazime awe na falisafa yake ya mpira.
 
Kwani hiyo ndio inampa kocha uzoefu wa kufundisha timu kubwa? Nikutaarifu tu kuwa kuongoza timu isiyo na ushindani kama PSG hakuna lolote analogain kocha. Ushindi unapatikana kwa juhudi na uzoefu wa wachezaji. Kocha anaweka mikono nyuma akijua tu ushindi upo hakuna kuumiza kichwa

EPL ndio kiboko yao, hata Potter kuwepo tu Brighton atakuwa na uzoefu mkubwa kuliko kocha anayefundisha timu kubwa kule Farmer League

Tumpe Potter muda afanye kazi na tumuombee pia virusi visimuharibie kazi
 
Todd boehly ameanza kupishana maneno na kocha wake potter kuhusu Ngole Kante alivyo taka kufanyia swap na mchezaji wa miaka 20 wa Brighton kwabb, kamwambia utaniaribia timu huwezi kupata mchezaji kama Kante.

"He can never replace N'golo Kante" Todd Boehly rebuked Graham Potter's decision to swap him with 20 year old Brighton star #footballchallenge #Chelsea
Huyo mchezaji atasainiwa kama anafaa na Kante atapewa mkataba wa miaka mitatu, ngoma imeisha hapo
 
Todd boehly ameanza kupishana maneno na kocha wake potter kuhusu Ngole Kante alivyo taka kufanyia swap na mchezaji wa miaka 20 wa Brighton kwabb, kamwambia utaniaribia timu huwezi kupata mchezaji kama Kante.

"He can never replace N'golo Kante" Todd Boehly rebuked Graham Potter's decision to swap him with 20 year old Brighton star #footballchallenge #Chelsea
Hii taarifa haipo popote, ni hoax iliyotungwa kwa ajili ya chuki binafsi
 
Chelsea EPL Standings

2017/18 - 5th
2018/19 - 3rd
2019/20 - 4th
2020/21 - 4th
2021/22 - 3rd
2022/23 - ?

Aisee hapa angebaki Roman Abramovich, Marina angemsajili labda DECLAN RICE, KOUNDE n.k, na labda Rudger, Lukaku, Werner, Christensen, Alonso wangebaki ila Kwa TT huu ungekuwa ni msimu wake wa mwisho kama asingebeba EPL.
Kounde ni mchezaji wakawaida Sana kama tungemsajili tungekuwa tunaongeza majina tulipigwa
 
Chelsea EPL Standings

2017/18 - 5th
2018/19 - 3rd
2019/20 - 4th
2020/21 - 4th
2021/22 - 3rd
2022/23 - ?

Aisee hapa angebaki Roman Abramovich, Marina angemsajili labda DECLAN RICE, KOUNDE n.k, na labda Rudger, Lukaku, Werner, Christensen, Alonso wangebaki ila Kwa TT huu ungekuwa ni msimu wake wa mwisho kama asingebeba EPL.
Juzi juzi alifungwa goli la kwanza kijinga dhidi ya Bayern kwa sababu ya ufupi wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom