Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Our XI vs RB Salzburg
Kepa
James Azp Silva Cucurella
Jorginho Kova
Sterlinh havertz Mount
Aubameyang

Formation inaweza kuwa 352 au 4231 au 343 kama aliyokuwa anatumia wakat yuko brighton Trossard/Mount wakiwa na role sawa
Hiyo ni 433
 
4-2-3-1
 
Graham potter ameondoa ile ladha tamu ya soka la chelsea ya Tuchel. Hata mkishinda lakin pira papatu papatu.
 
Graham potter ameondoa ile ladha tamu ya soka la chelsea ya Tuchel. Hata mkishinda lakin pira papatu papatu.

Ladha tamu kama ule utumbo tuliocheza match ya Dynamo Zagreb?

Be serious mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom