EheeeeeBado tatizo la chelsea linabaki kuwa common,
Kumalizia.....
Tumecheza vizuri, We deserve to win.
Hii shida mda mrefu tuko nayo, na hata tukipata goal 1 nikama tunaridhikaBado tatizo la chelsea linabaki kuwa common,
Kumalizia.....
Tumecheza vizuri, We deserve to win.
Ukweli tukubali hatuwezi kushindania kikombe chochote kwa hii timu sioni tukivuka hatua ya 16 labda iwe bahati na hata tukivuka itakuwa ni aibu uko mbeleni
Tumuache Potter aitengeneze timu ya ushindani ila leo lineup ndo imeamua matokeo haya kuna wachezaji hawapaswi kuanza kabisa haya ni makosa aliyofanya TT mpaka akatimuliwa
Inabidi angalie wachezaji wanaoweza kumpa matokeo sio majina makubwa inasikitisha sana


beki gani wa mwisho unafanya tackling ya kifala huwin mpira ?...!


