Turudi kwenye uchambuzi wa soka hasa mimi nimuelezee tena Christian Eriksen
Tulipohoji kwa nini Chelsea haikumchukua huyu mheshimiwa na alikuwa bure sokoni, kuna watu hapa hata hawajui mpira wakamponda sana
Ericksen kaibadilisha ile attacking department ya Man U na jana alihusika na magoli yote matatu
Alitoa pasi nzuri kabla hajafanyiwa rafu kwa Bruno ambaye naye alimpasia Rashford aliyempa assist ya kijanja Antony kufunga goli la kwanza
Alianzisha move kupeleka mpira kwa Bruno ambaye naye akamuassist Rashford kufunga goli la pili
Pia Ericksen alichomoka vizuri bila kuotea bila ubinafsi akampa assist Rushaford kwa goli la tatu
For me man of the match ni Eriksen kwa mechi ya jana