Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie cheltako wajinga nyie yani leo nilijua uwakika mnashinda nikaweka mzigo wa kutosha yani mpaka sasa siamini takataka nyie mmechana mikeka yangu zaidi ya 8 umbwa nyie takataka chafu za dampo bladiful,fuseki.
01323d600e724ab797bb4ad3ab8c53a7.jpg
 
Tuchel Ni kocha wakawaida Sana , alibahatika kubeba UCL kwa kikos alichoandaliwa na Lampard,

Kwenye michuano ya Tournament hata Julio Jamhuri kiwelo anaweza kubeba UCL ,

Michuano ya Tournaments mara nyingi huwa ya ubahatishaji Sana, ndio maana Ni rahisi timu iliyokuwa mbovu kubeba kombe , Ulishawahi jiuliza Ferguson miaka 26 aliyokaaa man u amebeba UCL mara 2 tu Tena chupu chupu yote mawili

Ndio maana Tuchel amefanikiwa kufanya vzr kwenye michuano ya Tournaments Kama FA,CARABAO akifika fainal NA UCL akabeba, wapo makocha wa hivi wengi

Ndio maana leo unaweza kujiuliza yupo wapi Dimateo, yupo wapi Avram Grant aliyefika fainal UCL? muangalie Unai emery mpira atakaokupigia kwenye tournaments, mlete kwenye mbio ndefu anavyopoteana

Hivi unaweza kuamini unai emery aliyefanya vzr kwenye Europa League mara kibao ,na UCL kufika nusu Fainal msimu huu anacheza conference league? Na miaka yote kwenye Ligi ya Spain ameingia top 4 mara 1 tu 2010.

Makocha wa hivi ndio kina Tuchel, mpira wa Knockout stages anauleta kwenye league mbio ndefu ,
Hivi unaweza kuwa mwanaume kamili ukasimama mbele ya watu ukakaza na msuli wa matako ukawatamkia mpira ni bahati? Mpaka sasa bado mnaamini kwenye mpira ni bahati? Kweli???
 
Chelsea na kubounce back ilikuwa zama za akija Drogba hapa kuna mgomo baridi mpaka TT atimuliwe
Yaani kwa staili ile, TT kaweka strong team na bado wachezaji hawajitumi lazima wachezaji wanampa ujumbe Todd Boehly
 
Kamanda nakupinga ulivyosema TT kabahatisha kuchukua Uefa kwasababu ukiangalia team zote tulikutana nazo tuliwadominate mfano A.Madrid tulimpiga nje ndani na si kufunga tu natulipa mpira mwingi, Angalia game na Real Madrid kama unakumbukumbu nzuri tulimpiga kwa kudominate tulitoka sare ya 1 kwa 1 lakini tulipiga mpira mwingi hata walivyokuja darajani kama tungetumia nafasi vizuri ile game Madrid angefungwa si chini ya goal 4 hata final na Man city tulicheza vizuri na ndio msimu tulimfunga city game zote tatu tulizokutana nae.Shida ya TT kinachomcost nikuacha aina ya mpira uliyotupa mataji sasa hivi hatuchezi lile soka Tena tumekuwa slow, back pass na side pass nyingi.
Hajabahatisha ila kwa sasa wachezaji ni dhahiri hawamtaki kabisa
 
Tuchel Ni kocha wakawaida Sana , alibahatika kubeba UCL kwa kikos alichoandaliwa na Lampard,

Kwenye michuano ya Tournament hata Julio Jamhuri kiwelo anaweza kubeba UCL ,

Michuano ya Tournaments mara nyingi huwa ya ubahatishaji Sana, ndio maana Ni rahisi timu iliyokuwa mbovu kubeba kombe , Ulishawahi jiuliza Ferguson miaka 26 aliyokaaa man u amebeba UCL mara 2 tu Tena chupu chupu yote mawili

Ndio maana Tuchel amefanikiwa kufanya vzr kwenye michuano ya Tournaments Kama FA,CARABAO akifika fainal NA UCL akabeba, wapo makocha wa hivi wengi

Ndio maana leo unaweza kujiuliza yupo wapi Dimateo, yupo wapi Avram Grant aliyefika fainal UCL? muangalie Unai emery mpira atakaokupigia kwenye tournaments, mlete kwenye mbio ndefu anavyopoteana

Hivi unaweza kuamini unai emery aliyefanya vzr kwenye Europa League mara kibao ,na UCL kufika nusu Fainal msimu huu anacheza conference league? Na miaka yote kwenye Ligi ya Spain ameingia top 4 mara 1 tu 2010.

Makocha wa hivi ndio kina Tuchel, mpira wa Knockout stages anauleta kwenye league mbio ndefu ,
TT kocha mzuri kwa mbinumbinu za mjini, na kombe la UCL hakubahatisha ila wachezaji wamemchoka ana tabia mbovu
 
Nilichek 1st half tu,

2nd half sikuangalia
Nimejaribu kupitia mitandaon naona watu wengi wanamlalamikia Ziyech,

Wengine wakienda mbal wakisemq ziyech ni km anafanya maksudi kwa kumkatalia kuondoka
Ziyech hana confidence kabisa alicheza utopolo original, kang'ang'amia kupiga free kick mbili nzuri sana akaharibu kizembe zote na nafasi chache alizopata utadhani sijui kalogwa
 
Hii tim haiwezi kaa na kocha 2yrs inavyoonekana, hata leo hii tuchel akiomdoka stil hii tatizo halitoisha..

Bahat aliyonayo Tuchel mmiliki sio Roman, if angekuwa Roman sahiv tungekuwa tunaanza kumuhesabia mechi,

Uchezaj wetu badala ya kuimprove kutoka pale tulipoishia msim uliopita ni kama tumerudi nyuma kama wakat ule wa lampard.

Either kuna wachezaj(ziyech+pulisic) wanasambaza sumu kwa wenzao, since walihitaj kuondoka na kubakia kwao ni kama kosa

Mechi 5 zijazo zitatoa picha kamili
Ndg uko wapi ktk hii sayari, kwa uwekezaji wa kununua timu na usajili, HAKUNA MPUMBAVU DUNIANI atakayemvumilia kocha asiye na matokeo mazuri. Nakuhakikishia huyu ameshaanza kuhesabiwa kabisa. Matokeo haya ambayo yanakuwa afadhali asubuhi jioni kilio hatamaliza miezi miwili. It is Sept now, Oct au November atafungashiwa virago
Tena Boehly ni mbaya maana yeye ndie kila kitu
  1. Mmiliki
  2. DOF
  3. Fan - kila mechi yuko uwanjani
Halafu uje kuniambia yeye sio Roman, ni zaidi yake
Kumbuka pia alimletea kila mchezaji aliyemtaka
Alimuacha kila mchezaji ambaye hakumpenda
Atajiteteaje?
Huyu atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa bila notisi
 
Hii inaweza kuwa ni kosa ama wachezaj washamchokaa na kuingia kwenye kundi lile lile la makocha waliopita. Kama nikweli hata aje nani hii cycle itajirudia na hatutoweza win premier league, kuwin premier league sasa inahitaj uwe bora na uwezo kukusanya 90+pts, liverpool tunayoiona bora imewin 1epl, tunahiyaj tutatue hiyo shida otherwise tusahau kushinda premier league hii aliyepo pep. Tutaendelea win fa,carabao hata uefa, ila kwa ligi tusahau kama ndio shida ni ileile iliyowaondoka makocha waliopita.
PEP anachofanya kwa sasa, mchezaji akishagundua hayuko happy anamruhusu kutoka mapema au kufagia
Arteta alichafanya kwa AUBA ilikuwa ni hii hii, AUBA aliacha kuwa happy na akaonekana ni sumu kwqenye dressing room
Alipoondolewa Auba timu ikarudi kuwa na matokeo

TT alichokosea na bado anakosea ni kuwasema vibaya wachezaji wasioendana na utaratibu na maelekezo yake ya uchezaji kama akina Ziyech, Werner, Lukaku na wengineo badala ya kuwaondoa mapema bila ya kuwasema
Wachezaji wanakuwa kama familia moja pale dressing room. ukimnyanyasa mmoja wote wanachukia na wakichukia matokeo yake ni kwenye mechi utaona cha mtema kuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom