Ziyech ameangushiwa tu jumba bovu wachezaji karibia wote walikuwa underperform mfano mount kuna wakati unamuona kabisa hayupo mchezo anacheza huku anamawazo, kai alikuwa anafanya poor decision making, fofana pia hakuna chochote alichofanya angalau koulibaly kidogo ndio alionesha uhai na Auba kamtengenezea nafasi nzuri sterling, sterling akafanya utumboNilichek 1st half tu,
2nd half sikuangalia
Nimejaribu kupitia mitandaon naona watu wengi wanamlalamikia Ziyech,
Wengine wakienda mbal wakisemq ziyech ni km anafanya maksudi kwa kumkatalia kuondoka

